Wanaume wengi wakifikia 40+ huanza Kupiga Moko tu

Hakuna mwanaume amewahi kushindana na hiyo kitu akashinda, hayupo.

Kwa vile at 40 ndio maisha yanaanza, hata hiyo Moja sio mbaya kama pande zote mbili zimeridhika, kwani ugomvi?

Vijana wanaotuma nauli, kulipia guest/lodge na kununulia chips kuku ndio wanataka kufidia gharama zao.
 
Hii ikawe vunzo kwa vijana from 18+yrs chakateni mbususu za kila aina vibaya mno
Mda sio rafiki kwetu
Inategemeana na mloo na lifestyle ya mtu Kuna mzee hapa kwetu ana 76 anambato mademu Kama mweu Ila nimmaasai yupo slim mrefu mweusi ana mbato hivi vi teenagers mpaka basi yupo fit Sana anasema yeye kila siku anapiga maziwa na kitunguu swaumu (2) kwanzia akiwa 30 Hadi Leo ni mshakiji wangu japo kanizidi 57 years sema ni mwana Sana kwaiyo hamna Cha umri Wala nn ni afya tu mzee
 
Ndio maumbile Yao story na mashost saloon utasikia akipiz tu kule. Analala.

Utasikia yaani ana 48 akifikisha 50 basi tena Nitakuwa Sina mume mwenzenu

Sex is a combination of many factors. Katika ujana before 40, majukumu ni machache na energy levels zinatofautiana.

After 40, focus inahamia kwenye kujenga sustainable future kwa familia hivyo sex inaplay role ndogo sana kwenye maisha ya mwanaume. Pia kuna wapendanao kuzoeana, hapa utashangaa huyo huyo mwanaume wa shot moja akikutana na mchepuko, anazunguka uwanja mara kibao.

So sex is more of a psychology than just attraction.
 
Umri haujawai kumuacha mtu salama.

Zamani wanaume walikuwa wanafunga ndoa wakiwa 18 ama 20.. mpaka mwanaume unafika 35 umeshazalisha sana na kupiga mitii sana wake zako.

Nguvu zinavyoanza kuyoyoma na wake zako nao nguvu zinayoyomaaa..

Hakuna masikitiko.

Sasa siku hizi. Mwanaume wa miaka 35 ama 40 ndio anafunga ndoa ya kwanza.

Na hapo ameoa binti wa 25 kushuka chini.

Lazima mwanamke akushangae why kimoja tu unalala, anasahau kwamba hampo umri sawa
 
Ndio maumbile Yao story na mashost saloon utasikia akipiz tu kule. Analala.

Utasikia yaani ana 48 akifikisha 50 basi tena Nitakuwa Sina mume mwenzenu
Kuna ukweli flani hapa
Hii yote ni kwa kiasi kikubwa kutokana na mtindo mbaya wa maisha.

Wapo wanaume 60's na Wako Njema katika sekta hiyo.

Hii ni kwa jinsia zote ,tutunze afya zetu mazoezi hayakwepeki Mwana wane. Tufanye mazoezi ,tule vizuri.

Kutokea pande za Bunju hapa.

Nawasilisha.
 
Inategemeana na mloo na lifestyle ya mtu Kuna mzee hapa kwetu ana 76 anambato mademu Kama mweu Ila nimmaasai yupo slim mrefu mweusi ana mbato hivi vi teenagers mpaka basi yupo fit Sana anasema yeye kila siku anapiga maziwa na kitunguu swaumu (2) kwanzia akiwa 30 Hadi Leo ni mshakiji wangu japo kanizidi 57 years sema ni mwana Sana kwaiyo hamna Cha umri Wala nn ni afya tu mzee
Duuh... Kwamba una miaka 19
 
Back
Top Bottom