Kwanini wanawake na mabinti wengi wana vipelepele na makovu mwilini hasa kwenye makalio?

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,432
11,101
Hii kero imezidi sijui ni mimi nakutana nao wa aina hii au ni mnyumbuliko kwa ujumla wake, ni aibu sana unakuta mdada au binti kasura kazuri kana kishepu, salale ikija kwenye kiota cha mnyanduo vipele na makovu kama yote, kwenye makalio ndio usiseme ni hatari.

Mimi na kinyaa changu naahirisha mechi naishia kumpa majukumu ya ndani kama kufua, deki na kupiga pasi, kupanga nguo, kupika na kuosha vyombo, anachoka hadi basi then namwambia mpenzi leo sitaki uchoke sana asante kwa kazi nzuri.

Basi naingia mfukoni namkatia elfu20 namwambia nauli hio mpenzi wangu, nambusu shavuni kwenye paji la uso na shingoni, mwishoni nambeba kupima uzito wake kisha naita Toyo/yebo/boda tunaagana. Hapo ndio basi tena.

Namchunia hatari akiforce next time akija Nampa mikazi kama yote, ili kujenga heshima ntamuomba aninyonyo dushelea langu najifanya ndio nainjoi sana hako kadraft kamdomo.

Hiyo ndio imeisha awamu ya tatu ndio ntamuuliza maswali kuhusu mapele na makovu yake chanzo chake nini, hapa ndio nashuhudia vituko vingi.

Mabaharia nawashauri hata demu aje ghetto usiwe na haraka ya kupiga shoo mchunguze body yake vizuri usiwe na papara huku kitaa ni hatari wanawake wengi wanajali uso, mavazi na kichwa nywele zao basi. Unakutana na mbususu pia ina mapele na makovu kama imetelekezwa.

No hate please, ni elimu tu naamini kuna baadhi ya wanaume mnakutana na hii hali pia.
 
MakeUp(Ma lotion ya ngozi) zinawaharibu itakuwa.
Mwamba kuna shida nadhani wanaugua sana magonjwa ya zinaa na wanachelewa kupata tiba, na pia ni wabahilu kujitibia. Kuna mmoja kumradhi nilimtimua hakukaa hata dakika nilimwambia wewe mjinga unaumwa halafu unachukia maisha poa, usoni mrembo halafu mavipele kama yote nilimchana nilimtimua mbio.
 
Inategemea nini? Wewe umeanzisha mada kwamba unakutana na mademu wenye majipele kwenye **** ukataka ushauri ni Kwa nini,
Nikakushauri kwamba wewe unabeba mamalaya tena ya bei rahisi , unasema inategemea .
Sawa basi inategemea
kuna shopping center ya Malaya, sema possible huyo hayo mavipele kayapata kwa umalaya, by face how do I know ni malaya, na hawanitajii bei kwa maana sinunui.

Na ndiomana wenye hivyo mapele na makovu hua sipigo shoo nakwepa shoo
 
Back
Top Bottom