Diamond: TRA wananifanya kama mkimbizi

mirindimo

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
821
1,343
D47A5F2B-8D5B-453C-AF67-080DC7A627D7.jpeg

“Kuna wakati sipendi kuongea ila TRA wamekaa kama wanataka kuiua WASAFI, sio sawa nadhani viongozi waliangalie hii kwa namna nyingine.”

“Kama juzi account zangu zote zilishikiliwa bila hata sababu maalumu inaumiza,” Diamond.

Pia soma;

TRA: Taarifa kuhusu madai ya Diamond Platnumz kwa TRA
 
View attachment 2463774

“Kuna wakati sipendi kuongea ila TRA wamekaa kama wanataka kuiua WASAFI, sio sawa nadhani viongozi waliangalie hii kwa namna nyingine”

“Kama juzi account zangu zote zilishikiliwa bila hata sababu maalumu inaumiza” Diamond
Sasa babalevo watu hawataki kulipia Kodi Kwa hiari tufanye vipi eti fundi manyumba?
 
View attachment 2463774

“Kuna wakati sipendi kuongea ila TRA wamekaa kama wanataka kuiua WASAFI, sio sawa nadhani viongozi waliangalie hii kwa namna nyingine”

“Kama juzi account zangu zote zilishikiliwa bila hata sababu maalumu inaumiza” Diamond
Aendelee kukatia mauno CCM. He is having a taste of his own medicine. Kwani wakereketwa na wanachama wa chama tawala na wao wanalalamika 'barabarani' kama wapinzani? Si akalalamike ndani ya vikao vya chama huko?
 
View attachment 2463774

“Kuna wakati sipendi kuongea ila TRA wamekaa kama wanataka kuiua WASAFI, sio sawa nadhani viongozi waliangalie hii kwa namna nyingine”

“Kama juzi account zangu zote zilishikiliwa bila hata sababu maalumu inaumiza” Diamond
Shetani hana Rafiki , Wewe umetumika mara kadhaa kuibeba CCM , sasa laana ya Mungu imekushukia .

Utavuna ulichopanda
 
Back
Top Bottom