wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. Four-Star General

    JamiiForums Tanzania Nimepita Msoga, majirani wengi wa "Mstaafu" wanaishi kwenye nyumba za tope

    Nyumbani kwake pana magorofa na majengo yamepangiliwa vizuri ila majirani zake wana nyumba za tope na nyasi. Hii kitaalam imekaaje? Au ndio kukaa karibu na mahakama sio kujua sheria?
  2. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na Watanzania waliosoma Ulaya, hawana kumbukumbu nyingi za social life, ni wengi wapo kama hawa?

    Kutokana na mazingira nayofanyia kazi zangu kuwa karibu na taasisi flani inayo husika na walengwa, nimeweza kujuana na baadhi yao waliosoma majuu sanasana wale wa ulaya ambao kwa sasa wapo Bongo. Wengi wana mengi ya kushare hasa kwenye suala zima la elimu jinsi walivyoweza kupata sponsorship...
  3. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Joto la kisiasa lililopo litawahamasisha vijana wengi kutaka mabadiliko. Pongezi kwa Rais Samia

    Mabadiliko ya kweli kwenye nchi huletwa pale tu vijana wanapohamasika kujihusisha na siasa. Vijana wanaweza kubomoa au kujenga nchi. Kiongozi dhalimu Charles Taylor aliwatumia vijana kujiwezesha kurudi madarakani huku akiwa kamwaga damu za watu wengi wasio na hatia wakiwemo wazazi wa hao vijana...
  4. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Nini kimefanya Rwanda na Burundi kuwa na watu wengi namna hii?

    Rwanda inaeneo la kilomita za eneo 26,000 na inawatu 13m. Burundi inaeneo la 27,000. na ina watu 12m. Jumla ya watu wa nchi hizi mbili ni 25m kwenye eneo la km za eneo 53,000. Tanzania yenye ukubwa wa 945,000 ina watu milioni 60. Tanzania ni kubwa kama mara kumi na nane ya ukubwa wa nchi hizo...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania NBS: Wanawake wengi Tanzania wana vitambi

    Licha ya jitihada zinazofanywa na wanawake waishio mjini ikiwamo jijini Dar es Salaam, ripoti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) inaonyesha idadi ya wanaoelemewa na uzito inaongezeka. Ripoti hiyo ya utafiti wa Ufuatiliaji wa Kaya (NPS) ya mwaka 2020/21 inaonyesha asilimia 47 ya wanawake wenye...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nemes Tarimo alikuwa ni shujaa japokuwa alivunja sheria za nchi. Wasomi wengi hawana ajira na wapo frustrated, CCM hawajali

    Maisha yamekuwa magumu. Degree zimetapakaa uraiani kama njugu. Ajira hakuna. Mabazazi wa CCM wanakula nchi na familia zao. Vijana mashujaa wanajilipua huko nje kusaka maisha.
  7. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Ripoti yaonyesha vijana wengi nchini hawana heshima

    Ripoti ya utafiti wa stadi za maisha na maadili kwa vijana imeonyesha asilimia kubwa ya vijana nchini hawana heshima, hawajitambui na hawana ushirikiano kwenye mambo mbalimbali ya kijamii. Utafiti uliozinduliwa Leo Januari 26, 2023 na Taasisi ya Regional Education Learning Initiative (Reli) kwa...
  8. Mystery

    JamiiForums Tanzania Ni sababu zipi za msingi zilizosababisha Wakuu wa Wilaya wengi kiasi hiki kuhamishwa vituo vyao vya kazi?

    Nimestushwa Sana na taarifa iliyotolewa Ikulu, ikionyesha kuwa wakuu wa wilaya 48, wamehamishwa vituo vyao vya kazi. Hivi Rais anawezaje kuwahamisha wakuu wa wilaya 48, Ili waende kwenye vituo vyao vipya vya kazi? Pia nimuulize Rais, je alipokuwa anafanya uteuzi huo, hakujua mapungufu ya...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini wakuu wa Wilaya wengi vijana wameshindwa kuuweka ujana wao kwenye matendo?

    Tulitegemea uteuzi wa vijana uwe chachu ya mabadiliko lakini imekuwa kinyume chake; most of them it's like wakishateuliwa wakaingia ofisini wanaanza kujiandaa kutumbuliwa au kustaafu. Hatuoni kasi ya viongozi vijana kwenye maeneo yao ya utawala. Leo Rais amewatumbua baadhi nakuweka sura mpya...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa kuliokoa Taifa letu la sasa lenye Vijana 'Nyoro Nyoro' wengi naomba Mafunzo ya JKT yawe ni ya Lazima

    Utakuwaje na Taifa lenye Watu Shupavu ( tena kwa Vijana ) kama unakutana na Kijana wa Kiume kapanda DalaDala kutoka Makonde Mbezi Beach na anashukia Kituo kinachofuata cha Goigi huku akijiona ni Mjanja? Nilikuwa najiuliza sana tu ni kwanini Vijana wengi wa Kiume Siku hizi ni Wavivu, hawapendi...
  11. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Wachaga wengi wanapenda kupata huduma au kwa bei ya chini

    Ni jambo lialoshangaza sana kwa wateja kabila la kichaga wanapenda kitonga Sana kila huduma au bidhaa wanataka bei ya punguzo ni kero Sana Hawa watu kama unabiashara yako watu wakwanza kuwa kwepa ni Hawa wachaga sio wakuwaweka kwenye list kabisa . Kitu kingine wachaga wengi sio waaminifu unaweza...
  12. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mbona kuoa wake wengi kama hoja kuu ni ulafi wa ngono tu?

    Wasalaam wana JF Hivi katika hali ya kijamii au kiimani mbona hiki kibali cha kuoa wake zaidi ya mmoja sioni mantiki zaidi ya starehe ya ngono, kama nguvu kazi ya kiuchumi mfano kilimo so unaweza kukodi vibarua, je, mwanamke ni chombo cha starehe kwa mwanaume? Kwanini yeye mwanamke pia asiwe na...
  13. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mbowe ajiuzulu nafasi ya Uenyekiti. Wana CHADEMA wengi hawana imani naye

    Mi najua wakati wa Magufuli alipitia wakati mgumu sana. Na Mama akaamua kwanza kumuonesha action kidogo. Jamaa akatepeta. Ni binadamu. Umri umeenda na ameshachoka. So akatepeta. Wananchi wameona, wanaona. Mbowe wa jana siyo Mbowe wa leo ....ona, ona, ni kweli alipata maumivu. Wananchi, wana...
  14. happyxxx

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa CHADEMA VS Mapokezi ya Mandonga: Kwa nini Mandonga kapata watu wengi zaidi?

    Wiki hii kumekuwa na matukio mawili yaliyokusanya watu. Tukio la kwanza ni la bondia Mandonga ambaye alipokellewa na maelfu ya watu wa Morogoro. Tukio lingine ni mkutano wa Chadema uko Mwanza ambao mwenyekiti alitoa hotuba akiwa chakali. Kilichoshanzaga watu ni Mandonga kupata watu wengi...
  15. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wa nyakati hizi kutokuwa na haiba ya kike, tatizo lipo wapi

    Tunashuhudia katika nyakati hizi Wanawake wengi kutokuwa na haiba ya kike, wengi kuota ndevu, na pia wengi kuwa na haiba za kiume, ubaunsa, ukaidi, ubishi, baadhi utemi, kuvuta bange na N. K, Nini chanzo cha tatizo hili, maana wanawake kwa jinsi ya uumbaji walipaswa kuwa tulizo kwetu akina...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi tuna uraibu wa kukopa

    Suala la kuchukua mikopo ni muhimu na ni Chachu ya Maendeleo ya mtu na biashara yake kiujumla. Ila Kuna watu hawastaili kuingia kwenye hii mikopo ambayo inasababisha vilio vya Kila siku hasa Kwa kina mama, huku wengi wao wakibaki kutumika kimapenzi bila shurti hasa Kwa mikopo midogo. Nimekuja...
  17. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Nimefika Dar es Salaam watu wengi ninaowafahamu wamekonda, tatizo nini?

    Baada ya miezi kadhaa kukimbia Jiji na kurudi, hivi karibuni hii ndio Hali niliyoiona uswahilini kwangu. Hawajui kula kiafya? Wanaumwa? Hawana pesa, wanamawazo na hawata kurudi mikoani kujipanga upya? Wamezoea kula ubwabwa na Sasa umepanda Bei hawako flexible kula manumbu. Wakuu vipi au...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Sababu kuu zenye Mantiki zilizowafanya na zinazowafanya Wayahudi wengi Wasimuamini Yesu Kristo

    Anaandika, Robert Heriel Kuhani. Leo Taikon atajadili sababu zinazopelekea wayahudi wengi kutokumuamini Yesu Kristo Kama Masihi wao na waulimwengu. Andiko hili lijadiliwe Kwa Hoja zisizo na mihemko ya kidini. Kama unajijua Akili yako imefungwa fungwa hii mada haitakuhusu. Hivi uliwahi...
  19. Fbn

    JamiiForums Tanzania Sipendi kuwa na marafiki wengi sababu marafiki ni maadui zako wa baadaye

    Kuwa na marafiki wengi siyo sifa bali unatengeneza ugumu wa kujua adui wako, kikulacho, mfitini na n.k, sababu una marafiki wengi. Wengine wanaweza kuwa marifiki sababu mbalimbali kwa idadi uliyonayo, ni bora rafiki wasizidi wawili wengine kuwa mnasalimiana tu. Ukizungukwa na marafiki ni mzigo.
  20. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini wanasayansi wengi walifuga nywele ndefu?

    Salaam wakuu, katika kujifunza kwangu nimekuwa nikijifunza Mambo mengi kuhusu uvumbuaji wa vitu mbalimbali. Lakini kuna kitu kimoja mpaka Sasa sijakielewa?, hii ni kuhusiana na wanasayansi wengi wanaosifika kuwa na akili kubwa, basi wengi wao walifuga nywele ndefu. Je, kuna siri yoyote...
Back
Top Bottom