wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mollel: Watanzania wengi ni wajinga sana, wanaomshauri Rais hawana uelewa wa kutosha

    Duh === "Nchi hii imejaa watu wajinga sana, Rais anapata shida kwani wanaomshauri wengi hawana uelewa wa kutosha wa mambo" Dkt. Godwin Mollel, mbunge wa jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya
  2. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wanapenda taarabu

    Hellow Kataa kubali wanaume wengi wanapenda taarabu sema kwasababu tu ya jamii ilivyo mjengea mwanaume kuishi ndiyo ina mpa shida kushow love kwenye mziki huu. Na hili nimeliona kwenye sauti za busara wanaume tulikuwa wengi sana kuliko kawaida. Na hata Dogo Janja juzi kapost kwenye wasp...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Waafrika wengi zaidi waanza kujifunza Kichina

    Lugha ni moja ya vyanzo vikuu vya mawasiliano kati ya watu wa tamaduni tofauti, na ufahamu wa lugha unasaidia katika mawasiliano kati ya pande husika. China ni nchi ambayo imejikita katika uwekezaji katika nchi za nje, na hivyo ufahamu wa lugha hiyo ni moja ya vyanzo vya ajira katika nchi...
  4. Hold on

    JamiiForums Tanzania Matamanio ya wengi

    Ndugu ujambo Humu ndani kila mtu amejiunga akiwa na lengo lake, wapo waliojiunga na malengo yao yakatimia na wapo ambao wamejiunga hayajatimia bado lengo lao. Kundi la kwaza ni wale waliojiunga kwa lengo la kupata kazi kutokana na shuhuda za watu mbalimbali ambao walipata michongo kupitia JF...
  5. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Nilichogundua Tanzania Kuna watu wajinga wengi ndo maendeleo ni duni Sana

    Mfano unakuta Mtu kaajiriwa analipwa 600k Anafanya Kazi 8--9 hours Anamiliki nyumba vyumba 3 na choo cha nje Ana Ist used ya Mwaka 2005 Kaoa ana watoto 2 au 3 Basi utaanshangaa huyu Mtu akimcheka Kijana bodaboda Ambaye Hana nyumba Wala gari Ambaye hajaoa Sasa huyu kijana bodaboda hutumia...
  6. DOMINGO THOMAS

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi wanatumia muda mwingi kufuatilia mafao yao kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii?

    - Tanzania kuna mifuko ya hifazi ya Jamii miwili:- 1. NSSF ( huu nikwa wafanyakazi wa sekta binafsi na sekta zisizo rasmi ) 2. PSSSF ( huu nikwa wafanyakazi walio ajiriwa na serikali pekee ) Mafao ni haki ya kila mwanachama wa mfuko, pindi anapo pata Janga la aina yoyote mfano uzee, kukosa...
  7. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania TAHADHARI: Vijana wengi wanapoteza muda Dar es Salaam

    Nipo Dar es Salaam ni wiki ya pili sasa toka nimetoka Dodoma kuja huku Dar es Salaam kushughulikia mambo yangu ya kikazi. Nimefuatilia na kuchunguza kusema ukweli vijana wengi wanapoteza muda, vibarua wanavyofanya wanaishia kulipwa 4,500 mpaka 7,000 na hapo ale chakula avae apendeze na...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi wenye Digrii waliojiajiri na bado wanawaza ajira wanapata faida chini ya milioni 3, hawajaonja utamu wa biashara wa kuwasahaulisha ajira

    Wengi huwa wanafanya biashara huku wakiwaza ajira kwasababu biashara wanazofanga haziwalipi hasa ukizingatia wengi uwanja wa biashara hawana uzoefu nao na wana bagua biashara za kufanya. Nataka niseme kwamba kwa kijana mwenye degree ili aachane na ndoto za ajira ni lazima awe kaonja utamu wa...
  9. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Aisee wanawake ni wengi sana!

    Tuache kujidanganya hawa watoto wa 2000 wapo mtaani tani kwa tani. Aisee kwa huu muda unachagua mwenyewe unywe kinywaji gani; Balimi au Safari Lager au Castlel au K Vant. Kijana kataa ndoa maana wanwake wenye miaka 30 wanataka ligi na watoto wadogo wa miaka ya 2000s it pains na inafikirisha...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi "smart" wenye hela, hawajiamini kwenye mahusiano

    Hello, Nina washkaji zangu ambao kwa level za kibongo bongo kwenye swala la pesa unaweza sema wametoboa kiasi, wanaendesha magari mazuri, wana biashara kubwa kiasi, wana umri mdogo, siku moja tulikaa mahali, mwamba alitumiwa sms na mpenzi wake, mdada alituma sms ya kuomba kuzaa na mmoja wa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Watanzania walio wengi hawatumii nukta wala kituo

    Watanzania wengi wa elimu katika ngazi tofauti tofauti si watumiaji wa nukta au kituo katika uandishi. Habari inaandikwa paragraph nzima mistari kumi no mkato no nukta. Je, changamoto ni wazazi wetu, waalimu au ni utamu wa Kiswahili?
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Matetemeko ya Ardhi yaliyoua watu wengi Zaidi Duniani ndani ya Miaka 10

    Taasisi ya National Earthquake Information Center (NEIC) inayochunguza Taarifa kuhusu Tetemeko la Ardhi, inakadiria kuwa Matetemeko 20,000 ya ukubwa tofauti yanatokea duniani kote kila mwaka sawa na wastani wa Matetemeko 55 kila siku. Mwaka 2021, Dunia ilipigwa na Matetemeko 2,200 yenye ukubwa...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini waumini wengi wa Dini ya Kikristo wanaamini mkristo aliyefanikiwa ni mchawi au anatumia nguvu za Giza?

    Wakristo wengi wanamwomba Mungu awape maarifa ya kutafuta Mali.Wengi wanafanikiwa; wakifanikiwa Tu wenzao uacha kumtukuza Mungu Kwa kumpa utajiri mwenzao badala yake umwita freemason. Wachungaji wote waliofanikiwa nchini wanaitwa freemason. Wafanyabiashara nao freemason. Je, Mungu wa wakristo...
  14. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Kama tunamuomba Mungu atuepushe na majaribu ni kwanini aliruhusu unywaji wa pombe ambao umefanya wengi kuwa walevi?

    Wasabato mkae pembeni hili haliwahusu Sijawahi kuelewa hata kidog haya mambo ya unywaji na ulevi, huwa naonaga ni kama tiketi tu ya kuhalalisha ulevi. Kama ni mlevi ama uliwahi kuwa mlevi wa sigara, bangi, pombe, ngono zembe, kamali, n.k. basi unajua fika kwamba siku ya kwanza huwa ni kujaribu...
  15. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini nguvu za waganga wa kienyeji wengi wakianza ufuska/umalaya nguvu zao za tiba zinaisha?

    Wasalaam nyote, Tukubbali tukatae Rais Hassan. Anaupiga mwingi, 🙏🙏🙏🙏🙏 Niende kwenye mada moja kwa zote, katika harakati zangu za kuchangamana na watu mbalimbali sehemu nyingi katika mizunguko ya kikazi hasa ndani ya nchi si mara moja nimewasikia wakulungwa wakisema. Mganga wa kienyeji awaye...
  16. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wanashindwa kuhudumia wazazi wao kwasababu ya vimada

    Ukweli ndio huo. Wazazi wa familia nyingi wanahudumiwa na watoto wao wa kike. Mbaya zaidi utakuta hao watoto wa kike wana kipato duni ukilinganisha na wa kiume. Wa kiume hela zao ni za kulisha na kunywesha na kustarehesha wanawake Pia wanawake tunaroga sana wanaume ili tupate control ya...
  17. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi hawajui kuandika, lakini wao hujidhania wanajua

    Hebu andika sentensi ya maneno kumi tuone uwezo wako wa kuandika Kiswahili.
  18. J

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli hayuko duniani lakini ana watetezi wengi kuliko wenye fedha walio hai

    Hayati JPM yuko kaburini mwaka wa pili sasa lakini bado anasumbua vichwa vya walioko hai na kufikia hatua ya kumshambulia na kumtukana kwa kila hali akiwa zake kaburini lakini umma wa watanzania unatetea na kuwapinga hadharani wanaomtukana. Nguvu ya Hayati Magufuli inatoka wapi wakati hayuko...
  19. McCollum

    JamiiForums Tanzania Wazazi/ Walezi pambaneni na wahitimu wa darasa la saba, kwa bahati mbaya wengi wanauelewa usioridhisha

    Habari kwa wanajukwaa, ni matumaini Yangu muwazima wa afya. Tukiwa tunaelekea kuumaliza mwezi wa January napenda kulizungumzia suala la uelewa wa wahitimu wa darasa la Saba ambao kwasasa wako kidato cha kwanza. Sitawazungumzia hao waliopita kwakuwa sina uzoefu nao, ila nataka kuwazungumzia hawa...
  20. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa kwanza kuzaliwa (first born) sipatani nao na mahusiano hayadumu. Je, ni mimi tu au tupo wengi?

    Hello mambo JF Crew!! Hatari sana, wanawake first born imetokea sipatani nao kabisa mahusiano hayadumu nawapata kirahisi mno ila naishia kunyandua tunaachana wananikorofisha ujeuri, kibri na dharau nyingi, wanapenda kunyanduliwa hovyo hovyo hasa wenye majina E, A nikisikia herufi hizi nakata...
Back
Top Bottom