The Eric
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 5,059
- 8,188
Hello,
Hii biashara imeanza tangu zamani sana, ndiyo imefahamika kama Slave trade.
Kuna kitabu kaandika Robert Kiyosaki anasema katika maelezo yake "The High Paid Slave is Still A Slave."
Kuuza watu kwa namna moja au nyingine ni aina ya utumwa, au kumuuza mtu kwa yeye kutaka kipato na wewe unufaike. Mifano halisi kwa leo ipo indirectly au in a neo-colonialism way. Shida zinafanya Waafrika tuwe wapumbavu sana na kutupelekea kuwa na janga la umasikini, maradhi na ujinga.
Yaani nowdays hakuna tofauti ya literate person na illiterate person, unaweza ambiwa mtu kaenda shule na usiamini kutokana na matendo yake kuwa kama layman.
Nisiandike sana wakuu najua wabongo wengi tuna uvivu wa kusoma vitu kwenye maandishi.
Mifano halisi ya utumwa hii hapa, kama hujui ndiyo ujue na utafakari:
1. Kulipwa kipato cha hand to mouth e.g 5000Tsh. A day (e.g kama unaweza save na ukawa na akiba sawa). Watu watasema vijana mnachagua kazi ila nowdays na Tsh. 5000 how can you save? Hapa boss kapata zaidi na wewe kakuuza kwa kazi zake na muda wako.
2. Kazi za kufanyishwa muda mrefu au masaa mengi ni utumwa na umeuzwa na boss yeye lazima atajirike.
3. Utumwa mwingine ni hawa vijana mabeki tatu na houseboy wanakuwadiwa na madalali kwa wazazi wao, madalali wanapiga pesa. Wanawatupa mijini kwa majumba ya watu, na ushamba wao wanatumikishwa hadi kufikia sex harassment, level of their education is poor, tuwaonee huruma.
4. Sex workers as usual, yapo madanguro watu wanapiga cool cash mzee. Yaani watoto wanauzwa kwa wanaume wao wanalipwa hewa, yaani daah hali hii ni utumwa.
Mi nashangaa kijana graduate kukimbilia kuajiriwa badala ya kujiajiri, by the way natoa huduma free ya ushauri kwa graduate ambaye bado kashindwa kujiajiri.
Wengi wanaouza watu ni matajiri na hawa matajiri hawatakuambia kama wewe ni mtumwa na unawapa pesa.
Hakuna tajiri atasema hili.