Waislamu wako vizuri kwenye suala la ndoa

Magoya2000

JF-Expert Member
May 7, 2017
575
1,131
Habari za humu!

Naukubali sana utaratibu wa wenzetu wa dini tofauti. Kwao unaweza kuoa na kuingiza mke kwa 200k au hata 100k. Niliwahi kuwa mshenga, kuna dogo alitoa 50k akachukua mke mapema sana maana ilikuwa kipindi cha Ramadhani mwendo wa maandazi tu harusi imeisha.

Nimeishi Kusini yaani kipindi hiki cha Ramadhani ndoa kama zote. Kwetu sisi wa Christ hali ni tete, maana budget ya mali tu kama 2.5mil ukianza maandalizi yaani budget ya chini mil 15, unasumbuka na michango hadi shida bado mwanamke naye anaweza kukusumbua, ukizingatia gharama ulizoingia hata Mahakama haisemi urudishiwe pesa yako.

Kuna wakati natamani nibadili dini nihamie upande wa pili, shida tu itikadi na malezi niliyokulia naamini life is useless without Christ.

Hapo ndio tunatofautiana Imani. Kama wenzangu wengekuwa wanamuamini Christ ndio everything ningehama. Otherwise nikae pale niangalie team kataa ndoa.
 
Yakobo kwenye bible alisotea mke mmoja miaka 7 kwa kuwa mjakazi kwenye nyumba ya mjomba wake...

Mwanzo 29
18 Yakobo akampenda Raheli akasema, Nitakutumikia miaka saba kwa kumpata Raheli, binti yako mdogo.

19 Labani akasema, Afadhali nikupe wewe kuliko mtu mwingine; kaa kwangu.

20 Yakobo akatumika miaka saba kwa kumpata Raheli. Ikawa machoni pake kama siku chache tu kwa vile alivyompenda.
 
Ni kweli wako vizuri na ndoa zao zipo simpo sana hamna mbwembwe za ukumbini labda utake wewe ila ndo wana ongoza ndoa kuvunjika.

Upande wangu Nina mifano hai mingi tu nimeshuhuduia watu wakiachana wakristo ghalama ya mahari kubwa inasaidia ndoa kudumu ukifikiria huyo ulie mtolea hiyo mahari unajikuta unamvumilia tu kitu ambacho wao hawana ni uvumilivu.

Mkishazinguana talaka sasa embu jiulize swal huyo ulie muacha nani amuoe wakati umeshamtumia vya kutosha.
 
Ni kweli wako vizuri na ndoa zao zipo simpo sana hamna mbwembwe za ukumbini labda utake wewe ila ndo wana ongoza ndoa kuvunjika upande wangu Nina mifano hai mingi tu nimeshuhuduia watu wakiachana wakristo ghalama ya mahari kubwa inasaidia ndoa kudumu ukifikiria huyo ulie mtolea hiyo mahari unajikuta unamvumilia tu kitu ambacho wao hawana ni uvumilivu mkishazinguana talaka sasa embu jiulize swal huyo ulie muacha nani amuoe wakati umeshamtumia vya kutosha.
Huo utafiti wako uliufanyia wapi? weka details hapa tuone.
 
kuna kipindi nilikua naangalia kwenye tv mwanamke analilia ndoa kwa mahari ya juzuu na msaafu aisee hapo ndonilipotambua vyarahisi havina thamani....chunga imani yako kijana
Kwahiyo kulilia ndoa kwa juzuu ndio kutokua na thamani? huyo alikua anafuata sunna za Mtume,so ukioa mke kwa mahari ya Milioni 100 ndio huyo mke anakua mke bora au wa thamani? thamani ya Mke haipimwi kwa mahari yake.
 
HOJA niliyokuelewa ni Moja tu kuwa Maisha bila Yesu ni Bure kabisa.

1. Ndoa ni gharama sana ukiwa umependa kweli Mahali hata iwe M 10 huoni kama ni chochote.

2. Ndoa za WAISLAMU ni za muda wa Mwezi mmoja Tu. OGOPA sana vitu VYA Bure Bure. No free lunch in America.

3. Hakuna Binadamu anayeridhia kutoka MOYONI mme wake kuwa na wake wa nne.
Ndoa ni watu wawili kuwa mwili mmoja. Nyama Katika nyama mfupa Katika mfupa.

4. Mohamed alioa katoto ka miaka SITA Alikapiga MITI kakiwa na miaka 9 HUO NDIO UISLAMU.

N:B USILINGANISHE UKRISTU NA MAMBO YA DINI. UKRISTO SIO DINI.
 
Back
Top Bottom