wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. O

    JamiiForums Tanzania Wengi wanaotoa ushauri wa ndoa humu sio wanandoa, sababu ya upendeleo

    Wengi wanaotoa ushauri wa ndoa huku JF si wanandoa. Unaona kabisa huyu hajaoa wala kuolewa. Neno kuoa ni kuwa na mke unayempata kihalali—iwe kidini, kimila au kiserikali—na unatambuliwa rasmi kama mume wa mtu. Neno kuolewa ni kuwa chini ya mamlaka ya aliyekuoa, yaani unakuwa mke halali wa...
  2. Tman900

    JamiiForums Tanzania Watu Wengi Hawato piga kura

    Kwa mtazamo wangu, Watu Wengi Hawato piga kura, Watakao jitokeza Wengi ni wapiga kura wapya. Kama Mimi Binafsi Sina Nia ya kupiga kura maana Mgombea wangu atashinda alisikika mzeee Mmoja akiongea. Hii ni Hadithi ya mwaka 20468483.
  3. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mrema: CHADEMA imeua ndoto za waliotaka kugombea, mpaka 2030 sina uhakika kama tutakuwepo

    Wakuu, Akiwa anazungumza leo, John Mrema amesema kuwa CHADEMA imeua ndoto za wanachama wengi waliotaka kugombea kwenye Uchaguzi ba kuongeza kuwa hana uhakika kuwa kama chama hicho kitakuwepo hadi kufikia mwaka 2030 "Jambo la pili ni chama chetu kutosaini kanuni za maadili ya uchaguzi na...
  4. BIG STONE AND CONER STONE

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi hawana huruma kwa Wanaume. True story

    Ikiwa Pasaka Inaishia niseme kisa cha Pasaka hii cha kweli sijui JF wa tafuta maana mada nyingne wanafuta mno bila actual reason. Kuna mahali huwa napenda kunywa kinywaji mida ya jioni. Soda ni kinywaji Bia ni kinywaji hata juice pia...sweki bayana n nn. Sasa Kuna M Dada mzuri huwa namkuta...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Nchi za Ulaya wafungwa magerezani wanaishi maisha mazuri kuliko binadamu wengi wa Africa.

  6. R

    JamiiForums Tanzania Huku mitaani mnapotoshana kwamba mishe ya kuuza bangi kitaa zinalipa, wapi wewe uliwahi kuona pusha aliyetajirika ? mapusha wengi wanakufa masikini

    Na hii sizungumzii kwa hear say kwamba nilisikia, NO ! nimeishi mitaa yenye mapusha wa kijiti. Miaka nenda rudi hadi nimehama hio mitaa na kurudi kusalimia nimewakuta wapo vile vile tu hakuna maendeleo kilichobadilika umri umeenda au wengine wapo jela. System ya mapusha wa bangi hapa bongo...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Kwa uzoefu wangu ni majina ya AMOSI wengi wana uelewa mdogo kiasili ,huwa hawako vizuri kwenye reasoning,ni wazito kiakili, na ni wakurupukaji sana

    Hili ni baada ya kuwafahamu kina amosi wengi sana nilio kutana nao katika maisha yangu ya kawaida , nadhan ndugu msomaji hebu na wewe wakumbuke kina amosi ulio kutana nao kwenye maisha yako kisha toa ushuhuda.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa waliohama CHADEMA ni wengi sana; kwanini ni Zitto tu anayefuatwa kishari zaidi na wana CHADEMA

    Aseme nini Zitto asishambuliwe na wanachadema? Akae kimya vipi Zitto asishambuliwe na wanachadema? Wanachadema wengi sana wamehama Chama hicho na kwenda vyama vingine. 2015 Hadi 2020 ikitia fora katika uhamaji. Kati yao wengi wameenda ccm na kuwa viongozi kabisa huko...........mashinji...
  9. Deinstein 01

    JamiiForums Tanzania Kosa kubwa watu wengi wanalolifanya maishani

    Habari Wakuu! Kama kichwa cha habari kinavyosema, kosa lenyewe ni kuishi bila mpango naam kuishi bila plans. Leo hii ukiona kijana kamaliza chuo halafu mwaka unaisha yupo nyumbani bila mishe yeyote ujue halikuwa hana mpango wa maisha yake baada ya kuhitimu. Na vijana wengi wa sasa wana hili...
  10. incredible terminator

    JamiiForums Tanzania Huu ndio ukweli ambao watu wengi wanaogopa kusema

    HUU NDIO UKWELI AMBAO WATU WENGI WANAOGOPA KUSEMA. Leo Ijumaa Kuu kwetu wakristo tunaiita ni siku ya kumbukizi ya Mateso kwa mwana wa Mungu. Nami nimeona sio vibaya niseme maneno ambayo baadhi ya watu wanaogopa hata kuyasikia. Lengo langu sio kuhimiza uasi wala ubaya ila napenda kusema...
  11. 3 Angels message

    JamiiForums Tanzania Pombe, Viduku, Milegezo Vimini Chanzo cha Wengi kushindwa Usaili Serikalini

    Habarini wakuu Nimeona hii habari ikieleza sababu za wengi kushindwa Usaili wa ajira mbalimbali zinazotangazwa serikali Sababu hizo zilizotajwa ni pombe, uvaaji usiofaa na mitindo ya nywele kwa wale wanaoitwa hasa kwa usaili wa mahojiano Nukuu kutoka kwa Waziri Simbachawene "Mwalimu anakuja...
  12. cutelove

    JamiiForums Tanzania Hapa ndipo wanawake wengi tunapofeli

    Mwanamke Kama mwanamke uliyeolewa na mwanaume wako akakuheshimisha tulia visasi havisaidii badala yake vinabomoa Angalia hapa: Mwanamke unaamua kulipa kisasi kwa mumeo kwa kucheat kwa sababu na yeye alikucheat Unaamua kumnyima mumeo unyumba kwa hasira zako unazozijua kwa bahati mbaya unapata...
  13. Nusratt

    JamiiForums Tanzania Nimegundua Wanaume wengi huku JF ni Wapweke Mno na Wamekosa Utulivu

    Kwa muda wangu mfupi niliojiunga humu Jf nimegundua wanaume wengi mno humu ni wapweke. Upweke ninaomaanisha hapa sio ule wa kukosa mpenzi/mchumba/mke bali upweke ninaouzungumzia hapa ni ule wa kung'ang'ania kuchati na Id ya kike ili aweze kumtawala kila jukwaa. Kwa ambao hamjanielewa ni kwamba...
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kwa miaka mingi watu wengi tulidhani Mikka Mwamba ni jamaa fulani jeusi la Kigoma kumbe jamaa ni chapa ya Trump kabisa

    Wakongwe tulimjua tangu awali ila hadi sasa watu wengi ukiwaambia kwamba mwamba ni mzungu wana bisha kabisa
  15. R

    JamiiForums Tanzania Ulikuwa mwerevu kuondoka kabla hujaumia ? Ni kitu gani kilikusukuma uache lifestyle, tabia au watu wa karibu wabaya / Toxic kabla ya majuto ?

    Hakuna shimo gumu kutoka kama tabia zilizokolea, Lifestyle uliyoizoea na Mahusiano yaliyoshamiri, Tatizo linakuja vitu hivyo vikiwa vibaya vinaweza kuathiri maisha yako negatively, unakuja kustuka baadae unajutia, Ila kuna matukio kadhaa huwa yanatugusa, Akili inasema "SASA BASI" na kuamua...
  16. Shobi

    JamiiForums Tanzania Tanzania ndio nchi inaongoza kwa kuwa na wengi Simba Duniani, Kwanini waliweka mnyama mpole kwa Twiga kuwa Nembo

  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuna taifa la magharibi lenye wazungu wengi wajinga kama Marekani ?

    Inasemwa kwamba asilimia kubwa ya raia wa Marekani hasa rednecks ni watupu sana kuhusiana na mambo ya nje ya taifa lao. Kwa hapa bongo wazungu wa aina hiyo, Ni kama wanafunzi wa wanaosoma shule ya msingi ya kijijini, sekondari ya kata, chuo cha kata na kuishia kufanya kazi maisha yao yote kwenye...
  18. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Mabosi wengi wana bible/quran kwenye droo kushoto kulia wana power bank

    unaweza hisi n utani yaan hizi ofisi zina mengi sana kuna jamaa nilikwenda ofisin kwake nilipofika akaniomba kantolee kitu kwenye drw br kufika pale doh kushoto nkakutana na bamboo nkatoa alichontuma nkasema niangalie kulia sikutaka hata kuendelea zaidi lol wacha turidhike na madoggo...
  19. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Utawala wa Sasa watu wengi hawana amani pesa ipo kwa wachache na mfumuko wa bei uko juu

    Sina mengi ya kusema ila kiukweli Utawala huu watu hawana furaha hawana amani, maisha magumu pesa na maisha mazuri viko kwa wachache na hakuna anaejali. Mfumuko wa bei uko juu, usafi kwenye mitaa na barabarani, kwenye mitaro , harufu hovyo hovyo kwenye miji mingi nchi haina Serikali za mitaa...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mollel: Utafiti unaonesha Wagonjwa wengi wa Ocean Road wanatokea Kanda ya Kaskazini si Kanda ya Ziwa

    Akijibu swali la nyongeza kutoka kwa Mbunge Joseph Michael Mkundi Bungeni leo Aprili 14, 2025 aliyehoji “Takwimu zinaonesha Wagonjwa wengi wa Saratani waliopo katika Taasisi ya Ocean Road wanatokea Kanda ya Ziwa, kwa nini Serikali isiboreshe Hospitali ya Rufaa ya Bugando Kitengo cha Saratani ili...
Back
Top Bottom