wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa nchini yananukia...

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kuna tetesi kwamba endapo mabadiliko katika tume ya uchaguzi na mambo mengine yanayopigiwa kelele endapo hayatafanyiwa marekebisho kutakuwa na hamasa kubwa mtandaoni kuhimiza watu kutojitokeza. Sintofahamu ni kubwa na inaelezwa CCM wamepanga kuzima...
  2. M

    JamiiForums Tanzania MASHINE YA AJABU INAYOVUNJA RECORD YA KUTOTOLESHEA VIFARANGA WENGI ZAIDI.

    (full Automatic egg incubator). ■INAUWEZO WA KUBEBA MAYAI 120. ● Mashine hii inatumia solar/umeme pamoja na betri ●Ukiwa na solar ya watts 60 hadi 80 unaweza tumia pasipo kuwa na invetor ●Ukiwa na betri la gari pia N70 unaweza kuunganisha. ●Inatumia umeme kidogo sana wastani wa 5000 hadi...
  3. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Nafundisha kusponsa matangazo yaruke Facebook na Instagram yawafikie watu wengi sana kwa wafanyabiashara

    Kama unataka kujifunza kusponsa matangazo yaruke Facebook na Instagram yawafikie watu weng saana kama wewe ni mfanyabiashara utanichek inbox nikuunge kwenye group hilo la watu wenye nia hiyo tu 0743 257 669 Nichek whatsapp
  4. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Bara lipi linaongoza kwa kuwa na madikteta wengi kwa sasa?

    Enzi za Nyerere, kwa mujibu wa moja ya hotuba zake, madikteta wengi walikuwa barani Afrika. Hali ikoje kwa sasa? ANGALIZO: Ibrahimu Traore si dikteta bali mpigania maslahi ya watu wake.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Chimbo la wasaliti wengi hili hapa wanapotoka mtoko na wapenzi wao

    Simu huchuja meseji na calls, ni watu fulani tu simu zao zinaweza kuita na meseji zao kuingia, wengine wakiwemo michepuko missed call zao na meseji zitaonekana hadi do not disturb itapoondolewa.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Ndoa za waliovuka 30 hazidumu, wengi huwapati nafasi ya uchaguzi sahihi, wanajitupa kokote kupunguza maneno

    Vijana wengi wanaovuka miaka 30 bila ndoa hukumbana na pressure ya matarajio na maswali mengi kutoka kwenye jamii inayowazunguka: Unaoa lini? Kwanini hujaoa/hujaolewa? Wenzako wanaoa/kuolewa, wewe unasubiri nini? Hivi kaka/dada, usingizi unautoa wapi huna ndoa? Unasubiri nini? Huko kwenye...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini wadada wa kiafrika wengi mnachukia asili ya nywele zenu ? mmekazana na mawigi, weaving, rasta, n.k. Please acheni kujichukia, love yourself.

    Huko masaluni na maduka ya vipodozi hugharamika sana kununua nywele za watu wengine kwa mtindo wa mawigi, weaving, rasta, dreds, n.k. nyingine zinazalishwa viwandani. Ukitaka ugombane na mwanamke alievaa wigi basi mvue, yani ataonyesha kuzichukia nywele zake kwa kuziziba. Nywele zinavyovutwa...
  8. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Tabia hizi zina kera watu wengi

    Tabia hizi zina kela watu wengi 1) Mtu anaekula na unamsikia kabisa anavyo tafuna Mdya mdya mday Hii sio sawa tena mbele za watu ase 2) Unywaji wa chai hii shida ya taifa anaivuta kabisa fvuuuu fvuuu Inashusha heshima sana unakuta mtu kaulamba vizuri unywaji wa chai ndio uho 3) Mtu anae...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kosa wanalofanya watu wengi ni kuitupa fimbo iliyowasaidia walipokuwa Vipofu.

    KOSA WANALOFANYA WATU WENGI NI KUITUPA FIMBO ILIYOWASAIDIA WALIPOKUWA VIPOFU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Unakuta kijana kasoma kimazabe kutokea shule za kayumba, mwalimu mmoja, hakuna maabara wala maktaba. Lakini kijana akakaza akafaulu na hatimaye alifika chuo kikuu na kuhitimu shahada...
  10. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Tozo ni kilio cha wengi; zifuatazo ni njia ambayo ntatumia kuondoa au kupunguza kabisa tozo kwenye miamala ya bank na simu

    Msisitizo utakuwa kwenye kupunguza informal sector
  11. Brayan_Jk

    JamiiForums Tanzania Unataka Kuku wanaotaga Mayai mengi? Hawa ndio 5 bora wanaokuachia mpaka 318 Mayai kwa mwaka!

    Hello Wafugaji wenzangu 👋🏽, Nimeona kuna watu wengi wanaanzisha ufugaji wa kuku, hasa kwa lengo la kupata mayai ya kutosha kwa matumizi au biashara, lakini ndani ya miezi michache wanakata tamaa. Nimeona hii mara kwa mara, na mara nyingi chanzo kikubwa ni kununua kuku bila utafiti sahihi...
  12. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Leo Askari kanzu wengi wamefanya Ibada bila kusinzia

    Ni jambo jema watu kufanya ibada na kumkumbuka mungu wetu anayetupa pumzi na kila lililojema.
  13. mshale21

    JamiiForums Tanzania Je, Kuna sheikh yoyote mwenye masters au phd kama ilivyo kwa maaskofu wengi?

    Saalam! Mimi binafsi sijawahi husikia kuna sheihk mwenye bachelor degree, masters au hata phd kama ilivyo upande wa maaskofu wa madhehebu mbalimbali. Sasa pengine mimi ndiye sijui au niko nyuma ya wakati kama ambavyo nafahamu ya kuwa sijawahi kumsikia wala kumwona sheikh msomi kwa kiwango...
  14. Webabu

    JamiiForums Tanzania Askari wa Israel waendelea kufa Gaza.Maelfu watakiwa kwenda kupigana, huku wengi wakigoma.Netanyahu avunja safari ya nje.

    Waziri mkuu wa Israel amevunja ghafla safari yake iliyopangwa kwenda Azerbajan wakati wito wa maelfu ya askari wa akiba umetolewa ili waende kuongeza nguvu kupambana na huko Gaza. Hali hiyo imekuja ikiwa ni zaidi ya miaka miwili ya vita na jeshi la Israel likiwa limefunga mipaka yote ya Gaza na...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini askari wetu wengi hawajui kuwasiliana kwa Kiingereza?

    Hellow! Hili limesababishwa na Nini? Kama huamini, nenda kituo Cha polisi halafu switch language uone kama utahudumiwa kwa haraka, Je, Nini kifanyike kuondoa Hali hii? Karibuni 🙏
  16. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania Utafiti mdogo ungezeko la makaka poa Dar ambao wengi wanatokea mikoa ya bara

    Kwa utafiti wangu mkubwa niliofanya hapa jijini dar ni kua makaka poa wengi au maa uncle wengi sio watu wa pwani kiasili wengi ni wavamizi kutoka bara hasahasa mbeya, iringa njombe na kaskazini mwa Tz, pia Kwa asilimia michache ukanda wa kati. Pia kumekua na tabia za maa Uncle kujinasibu ni...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Kuweka Spare Parts Halisi kutoka jerry spare parts and services Tanzania – Je, Watumiaji Wengi Wanaelewa?

    Kama fundi ambaye nimekuwa kwenye hii fani kwa muda sasa, nimegundua jambo moja ambalo linaumiza wateja wengi – matumizi ya spare parts zisizo halisi kwa sababu tu ya bei kuwa ndogo. Watu wengi wanapokuwa kwenye harakati za kutengeneza magari yao, hasa kwenye maeneo muhimu kama brake system...
  18. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Damu ni kimiminika chenye nguvu sana na hubeba uhai hata ikiwa imekauka kau

    Kuna vitu huwa havichezewi Uumbaji wa Mwenyezi Mungu Ardhi Damu ni kimiminika chenye nguvu sana na hubeba uhai hata ikiwa imekauka kau! Damu zinatofautiana nguvu.. Kina damu kali na kina damu dhaifu Kina damu yenye kusamahe lakini kina damu yenye malipizi... Na kuna damu yenye maagano na...
  19. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Kesho watumishi wengi hawataingia kazini watakua wakisherekea kuongezwa posho

    Ingekua enzi za Magu kwanza kusingekua na sherehe pili angetoa tamko gumu kumeza la kuchapa kazi lakini huyu mama ndio kwanza kesho watumishi kibao hawataingia kazini mpaka jumatatuuuu na kodi zetu zimewalipa leo kwenda Singida
  20. Heritage123

    JamiiForums Tanzania Pata Status views wengi Katika Whatsapp Account Yako !

    Kwenye dunia ya leo ya kidigitali, WhatsApp siyo tena app ya kuwasiliana tu na marafiki — ni fursa ya biashara. Ukiitumia vizuri, unaweza kujenga audience kubwa ya watu wanaoaminika, wanaojali bidhaa/huduma zako, na ambao wako tayari kununua. 👇🏽 Hapa chini nitakuonesha hatua kwa hatua jinsi ya...
Back
Top Bottom