Kwanini Pro West humu jukwaani wengi wanamchukia Captain Ibrahim Traore?

Kwanini Pro West humu jukwaani wengi wanamchukia Captain Ibrahim Traore?

Magayor Mongolian

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2024
Posts
1,205
Reaction score
2,998
Mzuka wana jamvi ??

Nashangaa sana chuki zimekuwa nyingi kwa Kamanda Rais wa Burkinafaso Captain Ibrahim Traore kutoka kwa Pro_West maarufu humu jukwaani tena chuki za kipuuzi sana.

Tukianza na Hawa ;

Yoda ; huyu ni chawa mkubwa wa Marekani na matendo yake ameshika usukani kwa vinyuzi yake uchwara vingi kumsema Kamanda wetu.

MK254 ; huyu anampiga vita sana humu Mwamba Putin , operation ya Russia Ukraine pamoja na kusapoti Marekani nae amefuata mkumbo katika kumsema Kamanda wetu.

Nyani Ngabu ; huyu ni Mmatumbi mwenzetu lakini anajikuta Mmarekani na kuwa DieHard chawa wa USA na yeye anaendeleza kampeni chafu dhidi yake

Exception

Maghayo The Mongolian Savage ; hili ni chawa la kutupwa la Netanyahu na USA lakini kwa hili la Ibrahim Traore nampongeza kusimama kidete kutetereka Umatumbi na kumsapoti Kamanda wetu mzalendo.

My Take

Captain Ibrahim Traore hajalipa mtu am promote wala awe chawa wake bali kazi na misimamo yake inajiuza ndio maana amekuwa trending Duniani haswa Afrika na kupendwa na vijana wengi , sasa Pro_West kama mmekosa mada achaneni na propaganda dhidi ya Kamanda wetu kazi zipo nyingi hata Magimbi mnaweza mkalima na kuwa mmefanya la maana
rtslzvs8.jpg

#Nyau de adriz
 
Kumbuka pro west ni 🏳️‍🌈🏳️‍🌈
Lakini sio wote mkuu , Mimi sipendi kufanya Generalization napenda haki maana wapo ambao hawasapoti hilo mfano Maghayo The Mongolian Savage , japo wengi wanasapoti kupitia nyuzi zao na post zao mfano Yoda .

Ila kwa Wazee wa Russia na China sijaona yeyote anayesapoti hayo mambo.
 
Mzuka wana jamvi ??

Nashangaa sana chuki zimekuwa nyingi kwa Kamanda Rais wa Burkinafaso Captain Ibrahim Traore kutoka kwa Pro_West maarufu humu jukwaani tena chuki za kipuuzi sana.

Tukianza na Hawa ;

Yoda ; huyu ni chawa mkubwa wa Marekani na matendo yake ameshika usukani kwa vinyuzi yake uchwara vingi kumsema Kamanda wetu.

MK254 ; huyu anampiga vita sana humu Mwamba Putin , operation ya Russia Ukraine pamoja na kusapoti Marekani nae amefuata mkumbo katika kumsema Kamanda wetu.

Nyani Ngabu ; huyu ni Mmatumbi mwenzetu lakini anajikuta Mmarekani na kuwa DieHard chawa wa USA na yeye anaendeleza kampeni chafu dhidi yake

Exception

Maghayo The Mongolian Savage ; hili ni chawa la kutupwa la Netanyahu na USA lakini kwa hili la Ibrahim Traore nampongeza kusimama kidete kutetereka Umatumbi na kumsapoti Kamanda wetu mzalendo.

My Take

Captain Ibrahim Traore hajalipa mtu am promote wala awe chawa wake bali kazi na misimamo yake inajiuza ndio maana amekuwa trending Duniani haswa Afrika na kupendwa na vijana wengi , sasa Pro_West kama mmekosa mada achaneni na propaganda dhidi ya Kamanda wetu kazi zipo nyingi hata Magimbi mnaweza mkalima na kuwa mmefanya la maanaView attachment 3333329

#Nyau de adriz
Kamanda wenu Ibrah Traore ni limbukeni mshamba ambaye Warusi wanataka kumpanda kwenye akili za Waafrika wengi ambao ni wajinga wajinga kwa propaganda uchwara za kudharau akili zetu watu weusi.
 
Wanao mpinga Traore na ku support western countries kwa mtazamo wangu, is either wana akili za kitumwa vichwani or hawajui chochote kinacho fanywa na Ufaransa kwa nchi either alizo zitawala or zinazo ongea Kifaransa. Same as those waliokua wakiunga mkono mwarabu achukue bandari zetu kwa kigezo tu kwamba, "Mwarabu" cause ni mwislamu mwenzetu while wanadasahau kwamba hata aliyekua anamiliki TICKS ni muislam mwenzao. Ni rahisi kumwondoa mtumwa kwenye maeneo ya utumwa but ni NGUMU or next to impossible kuuondoa UTUMWA ndani ya kichwa na akili za huyo mtumwa
 
Lakini sio wote mkuu , Mimi sipendi kufanya Generalization napenda haki maana wapo ambao hawasapoti hilo mfano Maghayo The Mongolian Savage , japo wengi wanasapoti kupitia nyuzi zao na post zao mfano Yoda .

Ila kwa Wazee wa Russia na China sijaona yeyote anayesapoti hayo mambo.
Kwa asilimia kubwa ndio hao utawakuta wanafurahia lolote linalofanywa na mataifa ya magharibi hata kama kushambulia nchi za afrika kijeshi
 
Kamanda wenu Ibrah Traore ni limbukeni mshamba ambaye Warusi wanataka kumpanda kwenye akili za Waafrika wengi ambao ni wajinga wajinga kwa propaganda uchwara za kudharau akili zetu watu weusi.
Ufaransa alikua ananunua uranium burkina faso kwa senti $.80 kwa kilo anauza $250 kwa kilo,sasa urusi ni pasu kwa pasu,unaona siyo la maana hilo!!..wewe ni uchi!
 
Huyu kijana mwanajeshi ana impose tawala mpya afrika, naam tawala za kijeshi baada ya tawala za kidemokrasia kuwa za abrakadabra tu, ila anachemka kuegemea kwa kina putin na kim. Hao eastern ni walafi kama western tu
 
Botswana ni katika Mataifa yenye income inequalities kubwa kushinda yote Duniani. Na ina watu milioni 2 na nusu tu. Kama watu milioni 2 wameshindwa kugawa keki ya Taifa nchi nzima why wasifiwe kama Hero wa Africa?

In Gdp per capita $8000 ila zaidi ya Asilimia 60 ya wananchi ni masikini kwa standard za upper income. Na asilimia kubwa ya keki ya nchi top 1% wanamiliki.

Hii study imeelezea vizuri Botswana.

Hao wanaokula Keki ya Taifa ya Botswana Ni wazungu/Wahindi ila weusi wa Botswana wengi wanaishi maisha mabovu.
 
Wasikupe shida hao wapumbavu, kikawaida waafrika wakishavuka boda na kubahatika kuishi kwenye developed countries hasa Marekani baada ya muda wanaanza kujiona na wao ni wamarekani kuliko hata wamarekani wenyewe, utakuta wanaadapt kwanzia culture,style ya maisha yaan mpaka lafudhi ya kuonge eti na wenyewe wanaanza kuongea black english kama ya akina Lil wayne.

Na wanaenda mbali zaidi eti chochote anachokichukia mmarekani basi na wenyewe wanakichukia hata kama ni mataifa waliyotoka, na ndio maana wahamiaji weusi hasa kutoka afrika ndio wanaoadharauliwa sana huko US sababu ni wajinga hakuna anayewaheshimu kama nasema waje wenyewe wakanushe hapa, black/african immigrants are the lowest class and most disrespected group of immigrants in America, they can come here and refute this claim.

Hivyo basi usishangae kabisa kuona hao akina Nyani ngabu,kiranga na wabeba box wengine wakimchukia Traore sababu yeye mwenyewe tayari ni adui wa marekani na pia ni mshirika mzuri wa Russia(ambaye ni adui mkubwa wa marekani).

Hao pro-west huwa wanaona viongozi mafisadi wa kiafrika wanaoingia madarakani kwa demokrasia ya kiini macho ni bora kuliko kiongozi mchapakazi aliyepata madaraka kwa mapindizi kama Traore, yaani wao uongozi bora ni lazima upatikane kwa zile danganya toto za kidemokrasia.. wapumbavu kweli hawa Yoda na wenzie wakafie na demokrasia yao ambayo imeshindwa kuleta impacts zozote za maana kwenye bara hili tangu uhuru.
 
Back
Top Bottom