wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. MBOKA NA NGAI

    JamiiForums Tanzania Kwa nini watanzania wengi wanasota, huku fursa za mauzo nje zikiwa nyingi?

    Nimekuwa nikiona vitu vingi vinavyouzika nchi za Ulaya na uarabuni. Hasa parachichi, viazi mbatata, matunda mengine yakiwemo machungwa, tikiti maji nk. Bila kusahau maua. Ukiangalia uhitaji wa hivi vitu, utagundua asilimia kubwa ya vyakula vya asili, vinavyouzika, kwa gharama kubwa, vinatoka...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mbona hawa 'Mabodigadi' wengi wa Wasanii wa Muziki Tanzania ukiwatizama kwa Jicho Kali la 'Ndege Tai' wanaonekana ni 'Pancha' siku nyingi?

    Kwa mfano nikimuangalia huyu wa Ali Kiba hasa alipokuwa Samia Cup Mikocheni anaonekana kabisa ni Pancha zamani.
  3. kyagata

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wanapenda kusifia sauti yangu kuwa ni nzuri.

    Sijui kwa nini kila nikiongea na mwanamke yeyote kwenye simu lazima anisifie eti nina sauti nzuri. Kituko kimetokea jana kuna manzi nilikua namtongoza kwenye simu,wakt tunaingea eti akaniambia nina sauti nzuri mpaka pichu yake imelowa. Wakuu hivi sauti nayo inaweza ikakufanya ukapendwa na...
  4. Magical power

    JamiiForums Tanzania Gari lililowahi kumilikiwa na watu wengi eneo fulani utakapopita nalo linahitaji moyo kulifurahia

    Gari lililowahi kumilikiwa na watu wengi eneo fulani utakapopita nalo linahitaji moyo kulifurahia. Maneno ya waliwahi kulitumia yanaweza kukuamiza sana Kila utakapopita nalo, utakutana na watu wanaojitapa kulijua vizuri kwa sababu walipata kulitumia; wapo watakaelezea namna walivyokuwa...
  5. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini watu wengi wanaona aibu kuongeza chakula kwenye sherehe?

    Habari za wakati huu wana jukwaa, swali langu ni hilo hapo juu nimehudhuria sherehe kadhaa utakuta mtu amepakuliwa chakula kidogo amekula na hajashiba linapotolewa tangazo la wanaohitaji kurudia wakaongeze chakula kipo cha kutosha unaweza usione wanaoinuka, shida inakuwaga nini?
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania Phonebook imejaa namba za watu wengi ambao sio faida kwako.

    Unakuta umepata tatizo la kifedha,afya,sheria hata connection ukiangalia namba za simu hata mjomba wa katibu tarafa tawi la ccm huna. Namba zilizojazana sasa: Phonebook: 1.Athuman mchonga majeneza 2.Aisha mabiliani 3.Mangi jirani wa duka la kukopa. 4.John muuza mali za wizi 5.Aisha chupi kubwa...
  7. X

    JamiiForums Tanzania Kitchen na dining rooms za watanzania wengi hazitumiki inavyotakiwa. Hivi ni kwa nini?

    Inapendeza kuona nyumba nyingi za Watanzania zikiwa na jiko na chumba cha kulia, ila cha kushangaza kitchen (jiko) na chumba cha kulia (dining room) ni kama mapambo tu. Kwa familia kadhaa au wengi utakuta wanatumia chumba cha nje kupikia maarufu kama jiko la nje wengine wanapikia nje tu tena...
  8. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wabongo wengi wana ujinga mwingi?

    Hili suala sijui ni kwanini yani asilimia kubwa ya wabongo ujinga wana upuuzi since enzi za Nyerere mpaka Karne hii ujinga haujaisha!
  9. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Wachagga wengi huwa wanafikiri mbege ni noma mpaka siku wanapojaribu togwa

    Asilimia 90 ya wanama huwa wanadhani hamna kinywaji cha asili kinachoifikia mbege kwa hapa Tanzania mpaka siku wanapofanikiwa kuonja togwa. Japokuwa togwa sio kinywaji namba moja kwa umaarufu nchini lakini kinashika namba mbili kikiwa nyuma kidogo ya gongo wakati mbege ikishika namba tatu...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Olengurumwa: Kuna watu wengi hawajui kama zoezi la kujiandikisha linaendelea Dar es salaam, hakuna hamasa ya kutosha

    Akizungumzia zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ambalo limeanza kufanyika katika Mkoa wa Dar es Salaam Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa ameonesha wasiwasi wake, kwamba zoezi hilo limekosa hamasa ya kutosha ya...
  11. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Hiki chakula kimeua ndoto za mabinti wengi sana

    katika vyakula vilioondoka na ndoto za mabinti wengi ni hiki. Muunganiko wake labda pamoja na mitinda nyeusi vinatosha kuondoka na ndoto za binti mmoja mmjinga. Tafakari chukua hatua. Fundisha mtoto wako wakike aache ushamba wa tumbo
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Onesmo Olengurumwa: Sina uhakika kama Watu wengi wanafahamu kuhusu Uandikishaji

    Wakili Onesmo Olengurumwa (Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania - THRDC) anasema: Hamasa ya Undikishaji imekuwa ndogo kwa kuwa utaratibu wa kuhusisha Wadau umekuwa mdogo, sina uhakika kama Watu wengi wanafahamu kuhusu Uandikishaji, zoezi linaweza kupita na Watu wakakosa...
  13. Webabu

    JamiiForums Tanzania Trump aifuta wizara ya elimu.Kisa walimu wengi wanakiunga mkono chama cha Democratic.Mfumo anaoutaka ni K-12

    Pamoja na onyo kutoka kwa wafuasi wake wa MAGA,rais Trump ametia saini amri ya kuifutilia mbali wizara ya elimu ya nchi hiyo. Amri hiyo imetajwa itaathiri sana vyuo vya elimu ya juu na vya kitafiti na hivyo kutazidi kudidimiza fikra ya Marekani kuwa taifa kubwa lenye maendeleo makubwa ya...
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Waafrika wengi hatuja evolve katika kutafuta refreshment kirahisi kwa kusoma vitabu, walking therapy, MDT, etc bali ni mitungi na mikasi

    Au labda sio asili yetu? Au labda basi tunachukulia poa? Au basi tu utamaduni huu haujakuwa channeled katika jamii zetu? Simaanishi kuwa wazungu hawapigi mitungi na mikasi, ila wengi wao wame evolve kuburudisha nafsi na mwili kwa kufanya utalii, meditation, vitabu vya furaha, beach walking etc...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nipo kituo cha kuandikisha wapiga kura, utaratibu mbovu, kasi ndogo ya uandikishaji unawakatisha tamaa watu wengi kujiandikisha

    Nimefika kituo cha kujiandikishia wapiga kura cha Tegeta 'A' inasikitisha sana kwani mashine iliyopo ni moja tu na watu waliopo na wanaoendelea kuja ni wengi sana kiasi cha kushindwa kukidhi uhitaji. Utaratibu wa kuingia kuhudumiwa kuna namba zinatolewa, wanaopewa kipaumbele ni wanawake...
  16. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa TFF hawajui sheria za Mpira na sheria at all the same Kwa Watanzania wote

    Watu wanasema kulikua na mazingira ya Rushwa Mara kulikua na Uvunjifu wa Amani. Niwaaambie mnao raise hizo hoja sisi hatukatai hoja zenu ila tunataka mtu dhibitishie hivo vitu over... Mjue Nini Mimi nimesoma sheria na Kuna Mwalimu wakat ananifundisha Criminal aliwahi sema, kusema umefanyiwa...
  17. Crimea

    JamiiForums Tanzania Kwanini tatizo la wanawake wengi kukosa hamu ya tendo la ndoa imekuwa kubwa sana?

    Hili suala limeakaaje? Yani kukutana na mtu anakwambia ana miezi 7 haja sex ni kawaida tu na yuko kwenye ndoa! Wanawake wengi wamekuwa kama makuku ya broiler, hawana hamu kabisa ya kusex. Huu utafiti nimeufanya kwenye coments za wanawake kwenye video moja ya Criss Mauki kule facebook. Lundo...
  18. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania 'Back spinal pain', yawezekana ikawa ugonjwa unaosumbua watu wengi kwa sasa

    HI. Siku za hivi karibuni kuna ongezeko kubwa la contents za tiba ya maumivu ya viungo, matangazo ni mengi kweli kweli. Hii inaashria kwamba watu wengi wansumbuka na hii shida, nini chanzo, tiba na suluhisho lake.
  19. D

    JamiiForums Tanzania SIRI isiyo julikana na watu wengi ya Kupunguza Uzito Bila Kupambana na Lishe na Mazoezi!

    Watu wengi wanapambana na kupunguza uzito kwa miaka, wakihangaika na lishe kali na mazoezi makali… lakini bado hawapati matokeo ya kudumu. Kwa nini?... 👉 Tatizo si mwili wako—tatizo ni akili yako ya ndani (subconscious mind). 👉 Lishe na mazoezi ni 30% ya mafanikio, lakini akili yako ya ndani...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Jiandae kujimudu mwenyewe kwenye matatizo yako yakizidi wengi watakukimbia waende penye unafuu

    Huu ukweli ukubali kama ulivyo na utakuweka huru hasa pale unapokimbiwa kipindi matatizo yako yamezidi uwezo wao kuvumilia. Watu wengi hawaji kwako kupata hasara hata kama watasema wanakuvumilia jua kuna kesho wameiona ina manufaa hivyo wamepiga hesabu wakaona faida itakuwa kubwa kwao hivyo...
Back
Top Bottom