Ukiachana na mambo ya katiba, uhuru wa kuongea, hiii ndio Tanzania ambayo vijana wengi wanatamani kuiona kipindi hiki cha uhai wao
1. Tanzania yenye viwanda tele ikiwemo viwanda vikubwa vya magari, laptop, simu na pikipiki. Viwanda viajiri watanzania wengi na bidhaa tuuze nchi jirani. Malighafi...
Nimesikitishwa sana na huyu msomi ambaye ni motivational speaker kuamini imani za hovyo zisizo na uthibitisho wowote wa kisayansi. Mwenyewe anadai ni vibaya kumruhusu mtu alale kitandani kwako au kumpa mtu nguo zako. Kwa madai yake ya kishirikina ni kuwa ukifanya hivyo utapatwa na majanga mabaya...
Niliona documentary ya watu wa Madagascar wanajipa rangi nyeupe usoni na mikononi, kwenye narration yake anayesimulia makala hayo, aliweka wazi kabisa siyo kwamba ni "Assimilation" Assimilado kwa kifaransa lakini ni obsession ya watu wa huko kuonekana ni weupe. Nilishangaa kidogo, nimeishi na...
Inasikitisha sana kuona watu waliosoma elimu ya juu ni kama wamechanganyikiwa na kuwa na msongo wa mawazo hali inayowafanya kuwa na hasira muda wote. Kuna tatizo gani huko Marekani?
Kuna ndugu yetu alienda kama mwanamichezo mwaka 1990 ila kila akijaga bongo likizo mwonekano wake ni kama kibaka...
Walianza na singeli kuwa waandamanaji ni watu wa nje
Wakaja na singeli kuwa waliahawishiwa
Wakamalizia na singeli kuwa wamelipwa.
Mara eti wamechoma mali, mara wameua polisi.
Wanaulizwa swali moja tu. Mmeua wangapi ? Wanashindwa kujibu.
Uzuri mshaelekea kibra na ICC wanawasubiri kwa hamu...
Majibu ya kitaalamu sana! Hili la polisi kugeukana wenyewe kwa wenyewe na kuuliwa itakuwa ni kweli, maana tunasikia polisi wamekufa lakini mtaani hakuna taarifa hiyo, itakuwa waliuawa kipindi tupo kwenye lockdown ambako walikuwa wamebaki wenyewe barabarani!
Tuna ndugu na jamaa polisi, na...
Hapo Mkutanoni wapo Mawaziri wa Saudi Arabia na UAE (Umoja wa Falme za Kiarabu)
Waziri Wa UAE: Na niruhusu niseme hili kwa Kiingereza ili uweze kuelewa ninachosema. Siku itakuja ambapo tutaona wanamgambo na magaidi wenye misimamo mikali zaidi wakitoka Ulaya, kwa sababu ya ukosefu wa kufanya...
Habari wakuu. Dada wa taifa anadai tar 29/10 siku ya uchaguzi askari na wanajeshi walikua wanauwana wenyewe kwa wenyewe na walikufa wengi tuu, swali ninalojiuliza mbona hatujaona hata picha au video hata moja ya askari au mwanajeshi kafa???? Btw namuamini Mange kimambi.
Jeshi letu ni la kitaaluma Anayesema JWTZ nzima linaunga mkono mauwaji na utekaji nakataa wapo wengi kama wakina tesha wanaunga mkono wananchi watajitokeza. mda ni mwalimu mzuri tukutane #D9
msiogope tutashinda hii vita.
Katika awamu hii mpya ni vema serikali ikaona umuhimu wa kuongezs direct flights nyingi zaidi kutoka major destinations, mfano Kilimanjaro kwenda italy na ujerumani
https://dailynews.co.tz/tourism-boom-fuels-air-travel-surge/
Kuna kitu kinanishangaza. Natamani nijue sababu. Tangu aingie bi mkubwa, mashehe wengi wamejitokeza kuwa machawa na waimba kwaya kama wasanii walio wengi.
Je, tatizo ni njaa au uhaba wa maarifa?
Je, ni kwa vile rais ni mwenzao?
Je, huu siyo udini wa wazi kabisa?
Ina maana mashehe huwa...
Poleni sana ndugu zangu nimepata maono jinsi mioyo yenu ilivyo shuka mood kwa sasa kazeni roho ndugu zangu
1.jipende nunua nguo nzuri
2.kula vizuri
3.acha kabisa kuyatazama content za ngono ambazo kwa sasa ndo zimezidi katika mitandao ya kijamii
4.fanya mazoezi kila siku kama kukimbia jioni...
Katika siasa za Tanzania, hakuna chama kilicho na historia, falsafa, na muundo uliojengeka kwa muda mrefu kama Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ni chama kilichozaliwa mwaka 1977 kutokana na muungano wa vyama viwili vikubwa TANU kutoka Tanganyika na ASP kutoka Zanzibar. Lakini pamoja na ukubwa wake...
Utawala wa samia umeuwa watu wengi sana katika historia ya nchi yetu nzuri.!
Umewaacha watanzania wengi katika maumivu sasa inatosha ameuwa watu wengi sana na sisi kwa pamoja tupo tayari kufa.
Tukutane #D9
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.