wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ni member yupi una uhakika yupo katika ignore list ya wanachama wengi humu?

  2. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Nimeota polisi wengi wamekufa kwenye ajali, mashuhuda wanashangilia!!

    Ndugu zangu sipo hapa kupiga siasa au kuchochea chuki, bali ni kuleta ndoto yangu niliyoota usiku wa kuamkia leo Nimeota gari la askari limepata ajali, wakafariki askari wengi sana. Basi watu walioshuhudia ajali ile wakaanza kushangilia kwa kuruka ruka. Wanaonekana kufurahia ile ajali na vile...
  3. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Watu wengi wanapoteza fursa kwa kuwa wazito ktk kufanya maamuzi ya ki Biashara/ mapenzi

    Ktk vitu ambavyo vinafelisha watu wengi ni kuwa wazito ktk kufanya maamuzi pale wanapikuwa approched kwa malengo ya ki biashara, kazi au hata mahusiano Unaweza ukakuta mteja kawaka kweli kuna kitu anataka kununua halafu muuzaji anaanza kujivuta anamsubilisha subili kwanza nikajadili na fulani...
  4. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wakijipata huwa na dharau sana hasa waliotokea maisha ya chini

    Wadau nime experience hiki kitu baadhi ya wanawake tena kwa idadi kubwa hasa wanaotokea kwenye familia za kawaida wakijipata hujenga dharau na kuona watu wengine hawana thamani. At least wadada wanaotokea kwenye familia za kishua kidogo huwa na heshima kuliko hawa waliojipata na walitokea...
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Viongozi wengi wakitolewa madarakani hulalamika wanaonewa

    Wakiwa madarakani wanakuwa na viburi, kejeli, ubabe na dharau kwa wananchi wao. Ikifika muda wakaondolewa wanaanza kuona kama wanaonewa kwa sheria walizoziweka wao au mambo waliyopelekea kufikia hapo. Tumeona kwa Marehemu Mugabe, Ali Bongo, Saddam na n.k
  6. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Ujinga ni biashara kubwa ambayo imetajirisha wengi

    Biashara ya ujinga ndo imetajirisha watu hapa Africa The same person anachukua madini yako at lowest price Ila anarudi na msaada wa Vyandarua na Condoms na unampigia makofi na kuamini Una deni juu yake Watu walewale waliowatesa babu zako na kukutengeza mifumo kandamizi ndo unaamini...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi wanakosa taarifa sahihi juu ya mikopo inayotolewa na halmashauri kwa ajili ya kujiajiri, hali inayowarudisha nyuma kiuchumi na kuchangia

    Ukosefu wa Uhamasishaji wa Kutosha: Wengi wa vijana hawajui kuwa halmashauri hutenga asilimia 10 ya mapato yake ya ndani kwa mikopo ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu (kila kundi asilimia 4, 4, Viongozi wa halmashauri hawafanyi kampeni za kutosha kuwafikia vijana katika kata, vijiji au...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wabongo wengi ukiwasaidia wanaamini kuna kitu unapata. Hivyo usimsaidie MTU burebure

    WABONGO WENGI UKIWASAIDIA WANAAMINI KUNA KITU UNAPATA. HIVYO USIMSAIDIA MTU BUREBURE Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Wabongo wengi wanaamini huwezi kuwasaidia burebure. 2. Wanaamini wanastahili uwasaidie kwani nawe unakitu utapata unapowasaidia. 3. Kwamba wewe ndio unashida kuliko...
  9. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Viongozi wengi kuoa Uchagani. Kuna nini huko?

    Toka Uhuru viongozi wengi wameoa wenza wao toka Uchagani. 1. Dr. Mwigulu Nchemba, MP, PhD. 2. Dr Salmin Amour, 3. Fredrik Sumaye, 4. January Makamba, 5. Jumaa Awesso, MP 6. Nehemiah Mchechu, 7. Dr Faustine Ndugulile, 8. Daniel Silo, MP 9. Lawrence Mafuru, 10. Prof Kitila Mkumbo, MP, PhD. 11...
  10. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Wabongo wengi hawana mikazo, wameshaanza kuwashobokea tena wasanii licha ya kudhihakiwa

    Nimesikitika kuona wabongo wanajirudi tena kwa wasanii kama mazezeta. Idadi ya followers kwa wasanii inaanza kurudi kwa kasi kama hapo awali. Mfano huyu diamond nyodo anawaletea na bado kuna majinga yamejirudisha kum follow upya . Marioo juzi kabla hajatoa wimbo wake alitema shiti za...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia ilijaa unyenyekevu na hisia kali sana. Imeonesha kuwa alistahili kukalia kiti cha Urais

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Ameonyesha Kuumizwa sana na Kifo cha Marehemu Jenista Mhagama Aliye tangulia mbele za Haki kwa kifo cha Ghafla kilichotokea siku chache zilizopita. Rais wetu ametoa hotuba yake kwa namna ya kipekee sana ,namna iliyogusa Mioyo ya watu wengi sana waliokuwa...
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Wapinzani kwa ujinga huu hamtaiongoza nchi hii mpaka Yesu arudi. Abadani

    Wapinzani wapo kama milofa fulani, wanasubiri tukio ndio wadandie mada kama komba. Kila tukio linalotokea Tanzania wapinzani lazima walidandie. Liwe zuri au baya. Soon sasa hivi wapinzani watapita na trend ya mgao wa maji. Serikali ikifix wanakaa kimya na kutafuta jambo jingine. Sasa mjinga...
  13. Cyclopedia

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi hawana Elimu ya uzazi

    Kwa nini ubebe mimba ya mtu ambaye hajaitaka!! Kisa kinaanza kuna mwanamke mmoja (mchepuko) nilikuwa na mahusiano nae siku moja niliruka nae ila kabla ya sex alinihakikishia kuwa ana kijiti cha uzazi wa mpango ila kushangaza siku ya jana sina hili wala lile naona sms inaingia anadai ana...
  14. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Samia, hukuna ushirikiano atakaoupata kuandika Katiba mpya, kuleta maridhiano na hata Tume aliyoiunda itasusiwa na wananchi wengi

    Huo ndio ukweli mchungu. Mambo hayo yanaweza kupatikana ai kufanikiwa tu wakati Samia na watuhumiwa wenzake wakiwa wanajitetea ICC au teyari ni wafungwa katika magereza mbalimbali duniani na si vinginenyo.
  15. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Wakuu njooni UN tupo wengi sana

    Tupo wengi sana ofisi za UN Leo lazima kiwake yaani litakufa jituuu
  16. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Hali ikiiendelea hivi tutarajie wasanii wengi kubwagwa na mameneja wao

    Wasanii wengi hapa bongo wana ma sponsors ambao pia husimama kama mameneja. Iko hivi, wasanii wengi hapa bongo wamejibweteka sana hawana kazi nyingine zaidi ya muziki na wengi wanategemea shows kuendesha maisha yao. Kula ,kunywa ,kuvaa na kulipa kodi ya nyumbakwa wasanii huwa wanawategemea...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Muziki sio safari nyepesi: Wasanii wengi huanziaga huku

  18. Mafia Island Boy

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuzimwa kwa Intaneti wakati wa uchaguzi wa 2025, kuliumiza wengi, haki ya kupata taarifa iliminywa

    Tarehe 29 Oktoba 2025, Tanzania iliingia kizani kimawasiliano baada ya Mamlaka kuzima Mtandao wa intaneti (internet), upande wa pili Serikali ikidai kufanya hivyo kumeweza kuwadhibiti waandamanaji kuhamasishana kuandamana. Kuzimwa kwa Mtandao kulisababisha madhara mengi kwa Wananchi ikiwa...
  19. N

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 SMS moja iliwanyamazisha Wanahabari wengi wa Iringa wakati wa Uchaguzi Mkuu 2025

    Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa Mwaka 2025 umeacha kovu ambalo halitafutika kirahisi si tu kwa sisi walaji wa habari, bali kwa Wanahabari wenyewe ambao wamejikuta wakivunjwa moyo, wakinyimwa nafasi ya kutumia kalamu zao, na wakidhalilishwa hadharani katika taaluma waliyoiamini. Katika kipindi...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Watanganyika wengi wakimbilia Zanzibar kuogopa Desemba 9?

    Kuna taarifa kwamba hivi sasa kupata boti ya Zanzibar imekua shida. Watanganyika wengi inasemekana wamekimbilia kwa ndugu zao na wengine mahoteli ili kukimbia December 9. Zanzibar inasemekana imekua kimbilio kubwa kwa watu wa upande wa pili Quran “Je, mnadhani kuwa mtaachwa bila kujaribiwa?…”...
Back
Top Bottom