wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. The Zanzibar Echo

    Uchaguzi Tanzania 2025: Kwa nini watia nia wengi wanakimbilia CCM?

    Mbio za kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 zinazidi kushika kasi. Ni uchaguzi ambao Watanzania watamchagua rais wa Jamhuri ya Muugano, wabunge, madiwani na upande wa Zanzibar, watachagua rais, wawakilishi na nafasi sawa na za Tanzania bara. Huu ni uchaguzi wa saba tangu kurudi kwa mfumo wa...
  2. Setfree

    Mjue Mtekaji huyu mahiri duniani: Ameteka watu wengi bila pingu wala silaha!

    Hii sio chit-chat wala chai. Ni habari ya ukweli. Kuna mtekaji mahiri duniani anayewateka watu kwa urahisi kabisa bila vitisho wala silaha. Mtekaji huyu ameteka mamilioni ya watu, wazee kwa vijana, maskini kwa matajiri, na hata wasomi wenye PhDs. Ajabu ni kwamba anaowateka hawalii, wanacheka tu...
  3. Alloyce PR

    Amri ya Mungu ilivyopotoshwa na wengi

  4. K

    Kwa nini Masheikh wengi wanatetea Amani,badala ya Haki?j wakati Mtu Muhamad S.A.W ilibidi kuitafuta Haki kwa upanga?

    Hiki kitu nimekuwa nikijiuliza sana Masheikh wengi wamekuwa wakitete Amani badala ya haki,huku ukiangalia kwa maksudi serikali na chama tawala haitaki kukubali kubadili baadhi ya vifungu vya katiba na sheria vya tume ya uchaguzi vitakavyotupeleka kwenye haki ya kumchagua kiongozi, siyo amani ya...
  5. Pfizer

    Wengi wavutiwa Banda la TPA maonesho Sabasaba

    Serikali imeendelea kuweka mazingira wezeshi yanayozidi kuvutia wawekezaji wa kigeni kuja kuwekeza hapa nchini hususani katika sekta ya usafirishaji. Akizungumza na wandishi wa habari kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo Bw Plasduce Mbossa, Afisa Mwandamizi wa Masoko Bw Nocha...
  6. W

    Kwa hiki kibaridi ! mwezi wa tatu na wa nne hauwezi kuwa na mpinzani kwa idadi kubwa ya watoto wanaozaliwa.

    Kwa hiki kibaridi mwezi wa tatu hadi wa nne utaendelea kuwa na rekodi ya foleni kubwa wodi za kujifungua
  7. stakehigh

    Watu wengi walipoteza akaunti zao katika sakata la kucomment "No reform No ELection'

    Sio la kushangaza ila wengi walikua hawajui ukicomment neno moja mara nyingi nyingi insta wanaichukulia kama violation of policy, wanaichukulia kama ni BOT, however baadhi ya vijana tuliwaonya mapema kabla ya kuchukua zile pesa ila hawakuskia leo hii akaunti zao zimekua ban kwa hela ya vocha tu!
  8. Setfree

    Zijue nchi saba zenye Walokole wengi

    Walokole hapa namaanisha watu wenye sifa zifuatazo: waliotubu dhambi zao na kumpokea Yesu awe Bwana na Mwokozi wao, waliobatizwa ubatizo wa maji mengi na kujazwa Roho Mtakatifu. Ibada zao zina shangwe ya kiroho, kunena kwa lugha, shuhuda za miujiza na uponyaji, na mahubiri/mafundisho...
  9. W

    Mafundisho ya kisabato yanadumaza mafanikio, utajiri, umaarifu, ni ngumu sana kuwakuta wasabato wenye mafanikio makubwa.

    Naweza kukubali kwamba wasabato wengi hujulikana kwa nidhamu na uadilifu, jambo ambalo ni sifa ya kupongezwa. Hata hivyo, pamoja na sifa hizo nzuri, bado kuna sintofahamu ya wazi kuhusu uwakilishi wao katika ngazi za juu za maamuzi na ushawishi kama vile siasa, uchumi, mfumo wa utawala...
  10. Samia atosha tukutane2030

    Nawakumbusha tu vijana, hizo nafasi mnazozitaka kwenye majimbo na kata wengi wenu zitawatokea puani. CCM nawajua vizuri

    Ikitokea Jimbo au kata mbunge au diwani wa CCM amekufa hapo kijana ingia chap unapata nafasi, ikitokea mbunge au diwani ametangaza kutoendelea na madaraka hapo kijana usizubae chukua nafasi haraka. Ikitokea mbunge au diwani ndugu yako sana msihi akutupie taulo akiridhia chukua nafasi haraka...
  11. X

    Hivi kwa nini wafanyakazi wengi wa halmashauri hawana uweledi?

    Nimepata nafasi ya kutembelea halmashauri mbalimbali hapa Tanzania nilichogundua watumishi wengi ni vilaza sana kwenye utendaji. Yaani idara zote za halmashauri unakuta watumishi hawana weledi katika kazi ufanisi ni zero kabisa. Nafikiri ifikie pahala serikali iangalie kwa kina vigezo vya mtu...
  12. T

    Watia nia ni wengi kuliko wapiga kura

    Wana JF Nlichokiona, ni kuwa watia nia ni wengi kuliko wapiga kura. Bunge lishakuwa shamba la bibi, kila mtu sasa anaona ndio ajira inayokua pesa na mtaji bila kutoa jasho lolote Kuna maisha baada ya uchaguzi
  13. The Palm Beach

    Mgogoro kati ya serikali na kanisa la GCTC chini ya Askofu Gwajima: Polisi wazuia waumini kuabudu, wawapiga mabomu na kuwajeruhi wengi leo

    https://www.youtube.com/live/o_B5LqZdbCY?si=omR1VXMDoSHBZPLq Honestly, nimeshindwa kuelewa hii maana yake ni nini hasa... Polisi wamezuia majengo na mali zote za kanisa la GCTC - Ufufuo na Uzima Tanzania nzima zisitumiwe na wenye Mali kwa kuwa eti "jina la kanisa" lililosajiliwa serikalini...
  14. Carlos The Jackal

    GE2025 CCM imeshusha Heshima ya Ubunge na Uchaguzi Kwa ujumla ndio Sababu watia Nia kupitia CCM ni wengi wakiamin ni lazima washinde

    Katika Uchaguzi, Mgombea anashinda Kwa mambo mawili Ama Chama chake kinakubalika, au Yeye mwenyewe anakubalika sana Ndani ya Jamii. Kwa mfano, MTU kama MPINA, LISSU, HECHE Hawa wenyewe hata wahamie ADC wanashinda Asubuhi kweupe ilimradi tu Kuna Uchaguzi wa uhuru na Haki !!. Watia Nia...
  15. BLACK MOVEMENT

    Mkuu wa mkoa anaagizwa akalinde heshima ya Spika wa Bunge Mbeya? CDM waliona mbali make vipi wangekuwa ulingoni na haya yakatamkwa?

    Bado kuna wahuni humu wanataka Sugu aende ACT wazalendo na agombee Ubunge?
  16. M

    Maalim Seif na Tundu Lissu, wanasiasa waliopewa vipaji vikubwa

    Maalim Seif alipewa kipaji cha kukubalika na kuaminika Unguja na Pemba kuliko mwanasiasa mwengine yoyote kutokea katika miaka hii 60 - 70 iliopita. Tundu Lissu amepewa kipaji cha kuwa binaadam mwenye akili sana Tanzania, asiweza kukata tamaa na Licha ya madhila makubwa aliokumbana nayo ni mtu...
  17. youngkato

    Sifa za biashara zenye wateja wengi

    Katika kila mtaa, sokoni, au hata mtandaoni, kuna biashara ambazo kila mtu huzizungumzia. Kuna foleni milangoni mwao, simu hazipokeleki kwa wingi wa oda, na wateja wa zamani hurudi tena na tena. Sifa kuu za biashara zenye mvuto wa kudumu kwa wateja, kwa kutumia marejeo kutoka kwa blogu...
  18. The Zanzibar Echo

    Ukraine: Watatu wafariki na wengine wengi wajeruhiwa katika shambulio la Urusi Dnipropetrovsk

    Takriban watu watatu wameuawa na wengine kumi na wanne wamejeruhiwa leo Ijumaa hii, Juni 27, katika shambulio la anga la Urusi kwenye mji wa Samar, katika mkoa wa Dnipropetrovsk - katikati-mashariki - gavana wa mkoa ametangaza. Watu watatu wamepoteza maisha yao katika shambulio la adui. Watu...
  19. Nyanda Banka

    MAMBO SABA MUHIMU AMBAYO WANAUME WENGI HAWAPENDI KUYAONA

    MAMBO SABA MUHIMU AMBAYO WANAUME WENGI HAWAYAPENDI KUYAONA. 1. 💘❤️MWANAMUME HAPENDI KUFOKEWA Hata Kama amekosea; jaribu kumuonyesha kosa lake pasipo kumfokea au kumvunjia heshima💘💞. 2. 💘💞MWANAMUME HAPENDI KUULIZWA MASWALI MENGI KWA WAKATI MMOJA Ukimuuliza swali halafu yeye anakua kimya au...
Back
Top Bottom