wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Ukiitisha maandamano kupinga Tozo za Simu na Kodi za Majengo kupitia LUKU, watu wengi wanaweza kujitokeza

    Ni imani yangu hivi sasa yakiitishwa maandamano ya amani kupinga hizo tozo, maandamano hayo yanaweza kuwa makubwa na yakaweka historia katika hii nchi. Iwapo nguvu zitatumika kuzuia maandamano hayo, si ajabu hata askari walafanya kazi yao chini ya kiwango kwani nao ni wahanga wa hizi kodi...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini waajiri wengi wanaamini vyeti?

    Hasa shule hizi za watu binafsi wanaamini sana vyeti. Unaweza kuta mtu alimaliza form four akapata A's za physics na mathematics lakini akaamua kwenda kusoma HGL just kwa kupenda tu lakini siyo kwa kufeli. Ila unakuta labda uliamua kusoma sheria na huna ajira na baadae ukaamua uaply kufundisha...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mbona Simba na Yanga wanasajili wachezaji wengi hivi?

    Jamani Simba na Yanga why wachezji wengi kiasi hicho, nimeona AL AHLY wamesajili wachezaj watatu. Sisi kama wanaocheza ni 11 why sasa tumesajili kama wachezaj 15 ina maana kuna wengine tutawaacha au Labda mimi sielewi!!! Kuna wengine watakuwa ni benchi msimu mzima sasa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kuanzisha biashara ya diapers na sanitary pads

    Waungwana habari ya leo....? Bila shaka wengi wetu tu wazima na Mungu katupatia neema ya kuiona siku ya leo na walio wagonjwa Mungu aendelee kuwapigania. Nakuja kwenu kuomba msaada wa kujua ni wapi naweza kupata hizi bidhaa/ product (diapers and sanitary pads) kwa makampuni mbali mbali kama...
  5. JamiiForums Tanzania Huyu mchezaji ametukwaza, sijapenda kauli yake kuhusu timu yetu

    Very stupid football player. Anaongea mbele ya wenzake akidhani sisi wote hatufahamu Kifaransa. Kuwa yeye ameamua kuchezea Yanga sababu kule Simba kuna ushindani sana wa namba. Hivyo anaona akija Yanga kuna uhakika na watampa namba wakati wote. Yaani professional player anakimbia changamoto...
  6. JamiiForums Tanzania Afghanstani viongozi wengi wana uraia pacha na wanaiharibu nchi hiyo. Diaspora wengi wenye pasi mbili hawana upendo wa dhati/ uzalendo na nchi zao

    Marekani na Uingereza na nchi zingine washiriki wametuma vikosi vya jeshi kurudi tena nchini Afghanistan ili kufanya operesheni ya kuwaokoa raia wa nchi hizo pamoja na raia wa Afghanistan wenye pasi mbili za kisafiria. Marekani inatuma vikosi vya wanajeshi wapatao 3000 huku Uingereza ikituma...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Wanaokufa ni wengi ila wanaojulikana na kurushwa katika mitandao ni wale wenye hadhi katika jamii

    Kumekuwa na vifo vingi sana vinavyotokea kuanzia wimbi hili Delta lianze ila wengi wanakufa lakini wachache ndio wanaorushwa katika mitandao ya kijamii , hii ni kutokana na wadhifa wa marehemu mwenyewe mfano marehemu alikuwa nani , alikuwa anafanya nini? Uchumi wake na biashara zake kama...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Wasomi wengi watafariki kwa kung'ang'ania mishahara na hisani zisizowaacha na amani

    Kwa mfumo unavyokwenda Sasa hivi tutegemee wasomi na viongozi wetu waandamizi wengi kupoteza maisha kutokana na kuajiriwa au kupewa madaraka ambayo kwa kiasi kikubwa hayawaruhusu kumaliza siku wakiwa na amani, awatumii taalumu zao na awazalishi kwa ajili ya nchi kama walivyotamani kufanya kwa...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere na Huduma mbovu za Mtandao na huduma

    Kwa mwezi Sasa nimepita Uwanja wa ndege wa Dar kwenda na kurudi, siku ya kwanza nilikuta mrundikano wa watu nikasikia network imekata sijui mifumo mibovu. Ukiwasikiliza watendaji hasa waliovaa kirahia wanavyolalamikia mifumo ya uwanja ikiwemo TTCL nadhani ndo mtoa network utadhani siyo...
  10. JamiiForums Tanzania As a software engineer, what can you tell them, if you can't solve a problem?

    You just say that you can’t solve the problem. If somebody asks me to find an element in an unordered list with less than O(n)O(n) complexity, I’ll just tell them “sorry, this problem cannot be solved - maybe we can change the problem so that the list is kept ordered?” Or sometimes the problem...
  11. JamiiForums Tanzania Wakati GSM wakiwaficha Mashabiki 'Oya Oya' wengi wa Yanga SC, huu ndiyo Ukweli Kamili wa kuwahusu akina Kisinda, Sogne na Mukoko

    Siku zingine Wadukuzi na Wanyetishaji wa Taarifa za ndani ( za Siri ) akina GENTAMYCINE tunawaambieni Mambo hapa kwa 99.9% muwe mnatuelewa tafadhali. Ni kwamba Uongozi wa Klabu ya Yanga na Wadhamini wao Samjo Samjo ( Matapeli Matapeli ) akina GSM wanasema kuwa Wachezaji wao akina Tuisila...
  12. JamiiForums Tanzania Wanaharakati wetu wengi wao ni waganga njaa wanataka Rais wetu alindwe na Sungusungu

    Wanaukumbi. Hawa wanaojiita wanaharakati wengi wao ni waganga njaa wanasema Rais analindwa na ulinzi wa kidikteta daaah wamekosa agenda kwa hiyo walitaka alindwe na mgambo au Sungusungu ndiyo wafurahi. Wanajiita wanaharakati za haki za binadamu lakini kwenye ulinzi wa Rais wanaonyesha chuki ya...
  13. S

    JamiiForums Tanzania CCM ina wanachama wengi sana kupita maelezo

    Ni kweli CCM ilikuwa na wanachama wengi kupita maelezo na kwa sasa kusema kweli imepoteza nguvu na wanachama waliobaki ni waganga njaa ,sio wenye imani kama ilivyozoeleka, Leo hii CCM imefikia kutegemea Tume ya Uchaguzi ambayo ni lazime iwe inatokana na wao kwa maana isiwe Tume huru, wanajua...
  14. JamiiForums Tanzania Usikate tamaa, tumezaliwa tukiwa tayari ni washindi

    TUSIKATE TAMAA. Ukijiona upo duniani basi jua tayari wewe ni mshindi,usiseme huwezi chochote.uwepo wako hapa duniani ni ishara tosha wewe umeshinda ndio maana uko hapa. Wakati baba alipomwaga maji ya uzazi yenye ujazo wa kijiko kimoja basi ujazo huo ulikuwa na seli zaidi ya milioni moja wakati...
  15. JamiiForums Tanzania Kwenye chaka la vyama vingi kumejaa nguchiro wengi, kuwa makini

    Hata tufanyeje lazima tufanane na wazungu kwenye siasa za vyama vingi. Aina hii ya siasa ililetwa kwetu na wazungu kwakuwa wana kazi nayo, lakini vyama na wanasiasa waliopigania uhuru waliikubali aina hii ya siasa kwa shingo upande kwa kulazimishwa. Wakati wazungu wanaileta kwetu aina hii ya...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Hii Ndio List Ya Wasanii Wenye Wafuasi (Subscribers) Wengi Zaidi Kwenye Mtandao Wa YouTube

    Hii Ndio List Ya Wasanii Wenye Wafuasi (Subscribers) Wengi Zaidi Kwenye Mtandao Wa YouTube 1. #DIAMOND 5.44M 2. #RAYVANNY 3.03 3. #HARMONIZE 2.68M 4. #MBOSSO 1.71M 5. #ZUCHU 1.44M 6. #ALIKIBA 1.03M 7. #LAVALAVA 1.01M 8. #NANDY 847K 9.#ASLAY 805K 10. #ROMA 442K CC @chartdatatz
  17. B

    JamiiForums Tanzania Corona: Bila Makavu itaondoka na Wengi

    Mitaani misiba imekuwa mingi sana. Kwingine habari za mochwari kufurika zinasikika. Maprofesa na hata vigogo ni baina ya wahanga. Moja ya vipimo vya uhalisia wetu kuhusiana na huu ugonjwa ni hiki hapa: Babu Loliondo aliachwa kukusanya wagonjwa wa Corona nyumbani kwake pasipo na kuwepo...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Wapinga chanjo wengi wamepungukiwa na akili, jionee uthibitisho

    samahani kama nimetumia neno baya, lakini ukweli ndio huo, nimesikiliza na kusoma basdhi ya hoja na maoni ya wapinga chanjo, nimegundua taifa hili bado linamzigo wa ujimga kwa asilimia 90, soma baadhi ya sabanu zao huyu yeye anaamini alinayechoma hiyo sindano ni ummy mwalimu, kwaiyo...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Tshs 100 inasambaza COVID-19, inatumika kutuibia, inasababisha urasimu na inaweza kumnyima mwenye mamilioni huduma ya kupata fedha zake

    Utaratibu wa Sasa wa mabenki Ni lazima uwe na salio la kwenye line ya simu ndipo uweze kufanya miamala, Kwanza tu hii idea na mfumo wake unaonyesha Tanzania tuna wamiliki wa benk wasiotumia akili na wasiofanya utafiti au wanaoburuzwa. Kwasababu "Nina zaidi ya milioni kumi kwenye akaunti au hata...
  20. JamiiForums Tanzania Baada ya 'Kulikoroga' na kuona hapati 'Sapoti' ya Wanafiki wengi, hatimaye Haji Manara apanga Kuomba Radhi na Kuwaaga Wana Simba SC

    Taarifa ikufikie popote ulipo kuwa muda wowote ule kuanzia sasa aliyekuwa Msemaji wa Simba SC Haji Manara anapanga Kuzungumza na Vyombo vya Habari Kuwaomba Radhi na Kuwaaga Wana Simba SC wote. "Mimi ni Binadamu sijakamilika na siyo Malaika hivyo yawezekana nina Mapungufu yangu na kuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…