Baada ya 'Kulikoroga' na kuona hapati 'Sapoti' ya Wanafiki wengi, hatimaye Haji Manara apanga Kuomba Radhi na Kuwaaga Wana Simba SC

Poisonous

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
42,477
2,000
Taarifa ikufikie popote ulipo kuwa muda wowote ule kuanzia sasa aliyekuwa Msemaji wa Simba SC Haji Manara anapanga Kuzungumza na Vyombo vya Habari Kuwaomba Radhi na Kuwaaga Wana Simba SC wote.

"Mimi ni Binadamu sijakamilika na siyo Malaika hivyo yawezekana nina Mapungufu yangu na kuna niliowakosea hivyo napanga Kuzungumza na Waandishi wa Habari Kuwaomba Msamaha wale niliowakwaza na wana Simba SC wote" alisema Manara.

Pia alipoulizwa kuwa ana maoni gani juu ya Kitendo cha Mwekezaji wa Klabu ya Simba Mohammed Mo Dewji jana kuweka Shilingi Bilioni 20 ya Uwekezaji aliyekuwa Msemaji wa Simba SC Haji Manara alisema.

"Nitakuwa ni Mwendawazimu leo hii Mtu kama Mimi Haji Manara ambaye nilizunguka nchini Kuwaelimisha Watu juu ya Uwekezaji huu mkubwa na mzuri uliofanywa na Mo nianze Kuupinga au Kuukosoa kwani nikifanya hivyo hata Malaika wa Mbinguni watanishangaa. Nimefurahi sana kuona lile nililolipigania pamoja na Viongozi wenzangu na wana Simba SC limetimia"

Chanzo: Ukurasa wake wa Facebook

Nami GENTAMYCINE namalizia tu kwa kutoa ANGALIZO kwa Haji Manara kuwa tafadhali katika hiyo Press Conference yake ya Kuomba Radhi na Kuwaaga wana Simba SC awe makini sana na Maswali ya Mitego ambayo Waandishi wa Habari wapenda Uchochezi wamepanga Kumuuliza ili Kumgombanisha zaidi na wana Simba SC kisha yakawa mengine na akajikuta anaharibu zaidi.

Na wenye Hasira nae (GENTAMYCINE nikiwemo) kwa Usaliti aliotufanyia tutafuatilia hiyo Press Conference yake Kiumakini kabisa na tukiona tu anaichafua Simba SC yetu basi zile Silaha zetu Hatari za Maangamizi dhidi yake ambazo tuliamua Kuzihifadhi tutazitoa na tutamporomoshea Makombora kutoka kila pembe mpaka atajuta kutufahamu wana Simba SC tunaomjua vyema (ndani nje) kuliko anavyojijua Yeye au kutujua Sisi.

Tunamshukuru tu kwa Kazi aliyoifanya.
 
fimboyaasali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,016

Kwa taarifa yako kwa asili yake,haji manara ni yanga damu,simba alifata pesa tu,hata simba wenyewe wanajua,na wala sitashangaa kama,atatangaza kurejea yanga

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom