Mbona Simba na Yanga wanasajili wachezaji wengi hivi?

bulabo

JF-Expert Member
Aug 20, 2015
620
759
Jamani Simba na Yanga why wachezji wengi kiasi hicho, nimeona AL AHLY wamesajili wachezaj watatu. Sisi kama wanaocheza ni 11 why sasa tumesajili kama wachezaj 15 ina maana kuna wengine tutawaacha au

Labda mimi sielewi!!! Kuna wengine watakuwa ni benchi msimu mzima sasa
 
Siyo kwamba hatujui kucheza soka, malengo ya kufika ikiwezekana fainali na tutwae kabisa ubingwa wa Africa ndo tunalotaka
 
Nina wasiwasi kuna upigaji Simba unafanyika, haiwezekani timu yangu mwaka ulioisha imefanya vizuri sana alafu sasa tunasajili wachezaji wapya wengi.

Nina wasiwasi tutakuja ambiwa 10bil. zimetukika kwenye usajili na gharama za kuweka kambi.
 
Nina wasiwasi kuna upigaji Simba unafanyika, haiwezekani timu yangu mwaka ulioisha imefanya vizuri sana alafu sasa tunasajili wachezaji wapya wengi.

Nina wasiwasi tutakuja ambiwa 10bil. zimetukika kwenye usajili na gharama za kuweka kambi.
Hata ukiambiwa zimetumika 10bil, wewe kama Kitimoto katika hizo hela, umechangia shilingi ngapi?

Labda kama huridhishwi na aina ya hao hao wachezaji wanao sajiliwa. Ila kama ni wachezaji wazuri, tatizo liko wapi rafiki yangu 🐷???
 
Hata ukiambiwa zimetumika 10bil, wewe kama Kitimoto katika hizo hela, umechangia shilingi ngapi?

Labda kama huridhishwi na aina ya hao hao wachezaji wanao sajiliwa. Ila kama ni wachezaji wazuri, tatizo liko wapi rafiki yangu ???
Wachezaji wanaosajiliwa mbona ni wazuri? Hasa huyo Sadio na ule mpira wake wa kitulia kama Yaya Toure
 
Jamani Simba na Yanga why wachezji wengi kiasi hicho, nimeona AL AHLY wamesajili wachezaj watatu. Sisi kama wanaocheza ni 11 why sasa tumesajili kama wachezaj 15 ina maana kuna wengine tutawaacha au

Labda mimi sielewi!!! Kuna wengine watakuwa ni benchi msimu mzima sasa
Watauza wachezaji wengine kwa faida!
 
Sasa ndugu unafananishaje vtu wakat mahitaji ya binadam yanatofautiana kwa njia nyingi ,tu uwez kujua hao al ahly wamesajili wachezaj watatu kwa sababu gani ,mfano simba kwanza wamekua na timu ya pamoja karbu miaka minne apo apo hao wachezaj wengi umr ulikua mkubwa mpaka leo hii simba kikosa cha kwanza walikua na wachezaj weng ambao miaka inaenda 30+apo apo pia kuna viwango nyoni wa leo si wa miaka 3 nyuma je mwakan itakuaje,na ndio maana ata ukiangalia vizur simba wamasajil wachezaj weng lkn umr mdogo lengo kubwa mwaka huu wapate uzoefu sioni kama simba watajuta sana wakikosa ubingwa mwaka huu japo ni lengo lakin itakua ni tofaut na yanga au azam kwaiyo kusajiliwa wachezaji wengi kwa simba ni kama kujiandaa kwa miaka 2 mbele maana apa katika lazima watakua wasajili kwa kuziba nafasi labda ikitokea mchezaj kaondoka au kushuka kiwango simba kama wakisema wajifanye timu yao nzur bas itawapa shida sana maana wachezaji wetu wanakuja timu kubwa tayar wana miaka zaid ya 20 sasa kucheza kwa kiwango kile kile misimu 5 si kwel lazima uwe unaingiza maingizo mapya ili kwanza uzoefu lkn pia atakaefanya vzur basi anaingia kikosin moja kwa moja ukisubir timu yote iwe mbovu ndio itakuachukua muda mrefu sana kuijenga upya
 
Wachezaji kiuwastani huwa ni 30.
makombe ni yafuatayo:

1.Ligi kuu mechi 30,
2.Caf champions league ni mechi 8-10 ( hapo kajitahidi sana)

3.Mapinduzi cup
by average mechi 6,
4.Cecafa Senior Clubs 6,

5.Azam cup by averag 6,
6.Sportpesa Cup, mech 5
7.Community shield 1,

8.Local & international friendlies mechi 7,
(Simba day zipo timu zitaalikwa)
9.international assignment kwa wachezaji watakaoitwa kwny mataifa yao

Kwahyo endapo simba wakisema washiriki mashindano yote for 100% watacheza wastani wa mechi 70.

Najua hawatashiriki kwa asilimia zote either kwa kutaka au kutotaka.

Yapo mashindano hawana hiari kwao kushiriki mfano ni premier ligi, Caf na mapinduzi.

Kwa vyovyote iwavyo simba hawatacheza mechi chini ya 50.

Extension ya kikosi siyo mbaya ikifanywa kwa weledi.

Kwanza kuna departure za viungo wawili tegemezi..(chama na luis)
lazima nafasi zao zizibwe ktk zile nafasi 10.

Kahata, chikwende na kagere nao hawajapewa contract renewal hizo ni nafasi tupu 3 nyngne.

Zipo nafas nyngne 2 zimeongezwa na tff kwa foreignors jumla 7.

Bado kuna local players kwa utashi wao wamekimbia squad mfano ni ajib.

Wapo veteran ambao hawawezi tena kuhimili dakika 90
 
Back
Top Bottom