wazo

  1. R

    Wazo la kuanzisha Jamiiforums Veteran

    Habarini wakuu. Nimekaa nikawaza. Binafsi napenda sana kucheza soka la kujifurahisha. Nimekaa nikawaza tunaweza humu watu kadhaa tukajipanga tukaja na timu yetu ya maveteran umri kuanzia miaka 27 kwenda mbele ambapo tutajipanga na kukubaliana kwa lengo la kutafuta mechi za kirafiki na timu...
  2. Wazo la biashara mtaji wa Milioni 5 hadi 6 Mkoa wa Tanga au Dar

    Habari Naomba wazo la biashara kwa mtaji wa milioni 5 mpaka 6. Biashara gani itakidhi kwa kiwango hiki cha pesa? Uzoefu nilionao, katika maswala ya ICT kwa level ya kawaida na kazi za stationery. Shukrani.
  3. Nitamuita Shujaa wa Taifa Mbunge yeyote atakayependekeza kodi kwa Wabunge

    Kwa kweli wananchi wa Tanzania hasa wafanyakazi wa serikali wamesota sana kwa miaka 6 iliyopita. Kuiishi miaka yote hiyo bila kuongezewa mshahara wakati ghalama za maisha zikiendelea kupanda kwa kweli siyo mchezo. Hapa lazima tuwapongeze hawa wafanyakazi. ingekuwa nchi za wenzetu has kama za...
  4. CHADEMA yatangaza kumwaga mishahara kwa watendaji wake wote kuanzia ngazi ya chini Kabisa

    Kauli hii ya kishujaa imetolewa na Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe alipokuwa anahitimisha mpango wa Operesheni Haki Mkoani Morogoro. Mbowe ambaye sasa anaitwa Mtemi Isike, baada ya kusimikwa huko Tabora , amesema kwamba Chama chake sasa kinataka viongozi wake wafanye kazi moja tu ambayo ni...
  5. Kwa hili wazo Vodacom,Tigo,Airtel na Halotel Mnasemaje? Tufaidike sote

    Wadau. Mimi ni mmoja ya watu ambao huwa tunapata muda wa kufikiri. Mara nyingi nikiwa nmeshamaliza kazi zangu za ujenzi wa Taifa. Nmekula na Kunywa napata angalau masaa kadhaa ya kufikiri. Nmekuja pata ideas kadhaa za namna ya kufanya kazi na haya makampuni ya Simu. Sasa wasiwasi wangu ni je...
  6. F

    Nahitaji kuhama fani kutoka uhasibu na kuhamia fani nyingine, mwaka wa masomo ujao. Hatua ipi nifanye?

    Habari za wakati huu, Mimi ni Mwanafunzi wa Chuo kikuu, mwaka wa kwanza katika fani ya uhasibu. Naomba msaada katika mambo yafuatayo: 1.Nahitaji kuhama fani kutoka uhasibu na kuhamia fani nyingine, mwaka wa masomo ujao. Hatua ipi nifanye? 2.Nina mkopo kutoka HESLB, nitaweza vipi kubaki kuwa...
  7. Nina wazo la kufungua tuition na nursery School

    Taaluma yangu ni mwalimu, Sina ajira lkn naipenda kazi yangu Sana, Nina wazo la kufungua tuition na nursery School ambayo nitahitaji kufundisha kwa kutumia projector, ila nashindwa mtu wa kunisupport, NAHITAJI support, Contact, Email. wilsonmwamakalapya@gmail.com Whatsup: +25576736103
  8. T

    Naombeni wazo bora la biashara

    Habari zenu ndugu, Natafuta wazo bora la biashara ambayo nategemea kuwekeza mtaji takribani million arobaini na tano za kitanzania na return yake napenda kushauriwa itakuaje kwa mwezi. Msimamizi, mimi mwenyewe Eneo: Dar es Salaam Jinsia yangu ni mwanaume Makazi-Dar es Salaam Umri miaka 26...
  9. "Wazo zuri, ila kampuni haina budget"

    Habari wakuu? Ninapopeleka proposal kwenye makampuni mbalimbali nimekua nikipata mrejesho wa namna hii mara nyingi kuwa, "Wazo ni zuri, lakini hatuna bajeti" Kwa upande mmoja naamini kweli huenda hakuna bajeti, lakini kwa upande mwingine naona kama vile ni namna waliyoamua kutumia watu wa...
  10. H

    Katika harakati zangu za harusi nimepata idea ya App

    Ni katika wakati ambao nilikuwa nawaza ni kwa namna gani nitaweza kukusanya michango ya ahadi kutoka kwa marafiki zangu walio mbali au nje ya nchi kwa njia rahisi kwa shughuli hiyo na ndipo nikapata wazo la kutengeneza web App ambayo itakuwa ikifanya management ya weeding and kitchen party...
  11. Naomba wazo la biashara, nategemea kupata Tzs 4,000,000/= (Milioni nne)

    Habari za weekend wanajamvi, Nina tegemea kupata 4M ndani ya siku kadhaa zijazo kusema kweli natamani nifanyie jambo ili izalishe imebidi niombe mawazo kwenu wadau. Matumizi ya kawaida ninayo lakini nimeona kuiwekeza ni wazo zuri zaidi. Je , ama niwewe ungefanyia nini? Nawasilisha. Zaidi...
  12. Ufadhili wa wazo la biashara

    Wakuu naomba mwenye information ya wapi naweza kupata ufadhili wa wazo la biashara. Bado lipo kama wazo sijaanzisha chochote. Ni app ya kujifunza wakulima nimeshakusanya materials zote nilipokwama ni kugharamia technology yake maana watu wa IT wamenipigia gharama inafika million 8 mpaka 10...
  13. Kupata ufadhili wa wazo la biashara

    Wakuu naomba mwenye information ya wapi naweza kupata ufadhili wa wazo la biashara. Bado lipo kama wazo sijaanzisha chochote. Ni app ya kujifunza wakulima nimeshakusanya materials zote nilipokwama ni kugharamia technology yake maana watu wa IT wamenipigia gharama inafika million 8 mpaka 10...
  14. Weka hapa wazo lolote la Kiuchumi ambalo likitekelezwa litasaidia nchi yetu

    Niwaombe watanzania na wote wenye mapenzi mema na taifa letu kutoa mawazo yao ambayo yakitekelezwa au kuboreshwa yatasaidia: Kuinua uchumi. Kutengeneza ajira mpya. Kukuza biashara. Kuanzisha bishara. Kuvutia wawekezaji. Kuongeza ukusanyaji wa kodi/mapato. Kuboresha miundombinu. Mawazo sio...
  15. Tegeta Wazo kuna madalali matapeli tujihadhari, nilinusurika

    ...
  16. Wazo lenye manufaa kwa umma: CHADEMA waanzishe mfuko wa kuinua chama, wananchi tuwachangie

    Ni wakati sasa kwa Chadema kurudisha imani kwa wananchi ili iwe na nguvu kama ilivyokuwa wakati wa Dk Slaa. Inaonekana wakati wa awamu ya tano walikuwa hawapambani na CCM bali na mtu mmoja ambae kwa sababu alikuwa na ushawishi mkubwa kisiasa aliwamaliza kabisa kisiasa. Huyo ni hayati JPM, sasa...
  17. Salamu ya Rais Samia Suluhu 'Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano' ni salamu bomba sana

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano. Hii ni salamu bora kutokea toka tumepata uhuru. Mama endelea kutumia hii salamu kila mara. Salamu hii haina ubaguzi, ni salamu yenye kuunganisha Taifa.
  18. Nina wazo la biashara ila sina mtaji

    Wadau mambo vipi mko poa? Nina wazo ila sina mtaji wa kuanzia nikipata wa kunishika mkono nitashukuru. Plan yangu ipo hivi wazo langu ni kuwa nikiwa na kama sh 50,000 hizo zinatosha kabisa naenda kwenye duka la jumla linalouza nguo, za kiume/ kike za jumla mi plan yangu ni kuchukua zile nguo za...
  19. Wazo la biashara niliyoiyona kichwani

    Wadau mambo Vipi mko poa? Nina wazo ila sina mtaji wa kuanzia nikipata wa kunishika mkono ntashukuru. Ok. Plan yangu ipo hivi wazo langu ni kuwa nikiwa na kama sh 50,000 hizo zinatosha kabisa naenda kwenye duka la jumla linalouza nguo, za kiume/ kike za jumla mi plan yangu ni kuchukua zile nguo...
  20. Nina milioni 22, nahitaji wazo zuri la biashara kwa mkoa wa Arusha

    Habari wanajukwaa. Ee Bwana ee, nimekuja kwenu wana jukwaa, kuomba tusaidiane mawazo kama kichwa cha habari kinavyosomeka. Baada ya kumaliza chuo 2019, Mungu alinifungulia mlango nikapata kazi ya miaka miwili na NGO x hapa Nchini, kutokana na msoto uliopo kitaa niliona ni vyema nijibane niweze...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…