wazo

  1. sumu-ya-panya

    JamiiForums Tanzania Wazo la Biashara ya Kuuza zawadi

    Dunia inabadilika kila siku,binadamu amekua kiumbe hatari zaidi ingawa wenye upendo wapo na wabaya pia wapo. Ulimwengu huu ni wa usawa na haki hivyo kila mmoja wetu anahaki ya kupata sawa sawa na wengine kulingana na nafasi alio nayo. imekua rahisi kuonesha upendo kwa uwapendao kwa kuwatumia...
  2. RUSTEM PASHA

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA yawawekea pingamizi ACT-Wazalendo Kata ya Wazo na Kunduchi

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimewawekea pingamizi wagombea udiwani wa ACT katika kata ya Wazo na Kunduchi. Pia, huko Jimbo la ISIMANI, mgombea Ubunge wa CHADEMA Patrick Olesosopi kamuwekea pingamizi mgombea Ubunge wa ACT-Wazalendo ndugu Haonga kuwa hajui kusoma na kuandika...
  3. rajiih

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kupata wazo bora la biashara, imenisaidia sana

    IDEA ya Biashara ni moja ya mambo yanayo waumiza watu wengi sana, Na mara nyingi wazo la biashara linahitaji utafiti wa kina ili kuja na wazo lenye tija kwako na kwa jamii nzima. HIZI NI MOJA YA NJIA ZA KUPATA WAZO LA BIASHARA 1. TUMIA UJUZI ULIO NAO Ujuzi ulionao ndo sehemu ya kwanza kabisa...
  4. The Boss

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli chonde chonde muite Stephen Masele akupe wazo lake

    Nilisoma kwenye mitandao Stephen Masele amekubaliana na kampuni ya Disneyland kuja kuwekeza Simiyu nilishangaa sana. Labda ilikuwa uzushi .. Uwekezaji wa dollars zaidi ya bilioni 10 uishie Kwa mbunge.. Lakini vyovyote vile idea ya kuwaleta Disneyland kuwekeza ni golden idea ...kama kweli...
  5. chiembe

    JamiiForums Tanzania Aliyetoa wazo la kusajili YouTube Channels pia aangalie namna ya kusajili akaunti za facebook,kuna video zinarushwa tena laivu,wapinzani wamejaa huko

    Naona teknolojia inataka kuipiga kumbo sheria yetu iliyokuwa inadhibiti traditional media-magazeti-tv-redio. Hizi ilikuwa rahisi, unapiga pini tu wote kimya. Lakini sasa teknolojia inataka kuleta mchezo wa paka na panya,tunakaba huku, teknolojia inaleta hiki,unakaba hiki, inaleta hiki, ila...
  6. Equation x

    JamiiForums Tanzania Wazo la project fulani

    Closed 13/08/2020
  7. uvugizi

    JamiiForums Tanzania Akili si ya kuhifadhi wazo, bali ya kubuni wazo

    TAFAKURI …. AKILI SI YA KUHIFADHI WAZO, BALI YA KUBUNI WAZO. Unatoka kazini ukiwa na mambo mengi kichwani . Ghafla unakumbuka unatakiwa kupitia kitu muhimu nyumbani . lakini unasema nikifika tu nyumbani nitamtuma mtoto akanunue . Lakini unapofika nyumbani unakumbana na vitu vingine tena vingi...
  8. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Wazo: Eneo la Makaburi ya Viongozi na Mashujaa ya Kitaifa Haliko Tayari Dodoma?

    Watanzania wenzangu poleni kwa msiba wa Mzee Mkapa. Tunapoendelea kuijenga Dodoma Kama Makao Makuu, ule mpango wa kuwa na eneo la Makaburi ya viongozi na Mashujaa wa Kitaifa ulifikia wapi? Sidhani Kama mfumo wa kuwazika Viongozi/Mashujaa kila mtu kijijini ni endelevu kwani watasahaulika na...
  9. palahingwe

    JamiiForums Tanzania Wazo langu! Ingependeza kama zoezi la Sensa lingeambatana na upimwaji wa Virusi vya Corona

    Ningekuwa mwanasiasa au nipo kwenye kiwango cha kusikilizwa na Serikali bila kupingwa kwa asilimia kubwa, basi ningeishauri Serikali kila kipindi cha Sensa kuwe na taratibu za upimaji COVID-19 na maradhi mengine makubwa ya kuambukiza.
  10. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Tuligeuze wazo la mchina la kusambaza Bonanza nchi nzima kuwa fursa kwenye biashara

    Kwenu great thinkers, hapa Naitaji michango ya mawazo yenu namna ambavyo tunaweza kulitumia wazo la mchina katika shughuri zetu. Mchina ametumia fursa ya kuwasambazia Bonanza wahitaji halafu yeye anakuja kuchukua faida, frem ulipie wewe, umeme ulipie na mlinzi juu yako, Sasa huoni Kama...
  11. Dr Mathew Togolani Mndeme

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa kuvutia watalii wa Dkt. Kigwangalla - "Relevance" yake na wazo mbadala

    Ndugu wana JamiiForum, Leo waziri wa maliasli na Utalii, Mh Dkt Kigwangala, ameshirikisha umma kupitia anuani yake ya twitter mkakati wa kuvutia watalii kutoka nchi za kiafrika (a strategy for regional tourism). Kwa kifupi, mkakati huu umelenga kuzifikia na kuzivutia nchi zenye mapato makubwa...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Wazo Huru: CCM na Serikali yako mnakwama wapi?

    Asalam aleykum wapendwa wana siasa na wajenzi wa uchumi wa nchi yetu Tanzania. Hongereni kwa Waislam tunaoendelea na ibada yetu ya mwezi mtukufu wa Ramadhani huku tukikabiliwa na janga kubwa la Mlipuko wa Covid-19. In sha allah mwenyezi Mungu atatufanyie wepesi katika hili. Hoja yangu ni fupi...
  13. Tulimumu

    JamiiForums Tanzania Wazo la Makonda siyo baya ila lianze na Serikali kuonesha mfano

    Wazo la RC wa Dar kuwasihi wenye nyumba kupunguza kodi hasa wakati huu wa janga la Korona siyo baya kutokana na hali mbaya ya uchumi kwa wengi kwa kuwa biashara nyingi zimesimama au kufa, ofisi na taasisi nyingi zinashindwa kulipa wafanyakazi wao. Kwa sasa wenye uhakika wa kipato ni watumishi wa...
  14. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Hili ni wazo bora la kiongozi kuliko kuweka watu karantini kwenye hoteli za nyota nne tena kwa gharama zao

  15. Bonde la Baraka

    JamiiForums Tanzania Kama wazo la kujinyonga linakujia mara kwa mara kwasababu ya ugumu wa maisha, pitia hapa

    Habari! Nimesikitika sana kusikia habari ya mwanaJF mwenzetu kujinyonga kisa ugumu wa maisha. Tafsiri ya ugumu wa maisha hutofautiana kutoka mtu mmoja hadi mwingine kulingana na background ya mtu. Mwingine akisema ninapitia maisha magumu anamaanisha hata kula yake ni ya kimuujiza, mwingine...
  16. O

    JamiiForums Tanzania Natafuta Ufadhili wa wazo la biashara

    NATAFUTA MFADHILI AU MUWEZESHAJI, MTU BINAFSI AU TAASISI Habari zenu wakubwa kwa wadogo. Naitwa Omar. Mimi ni mjasiriamali mdogo najishughulisha na perfume napatikana Mwanza. Malengo yangu ni kukuza biashara yangu na kuifanya biashara katika hadhi inayowapendeza wengi. Nahitaji mtu binafsi...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Kilimahewa Wazo anusurika kupigwa na wapiga kura wake. Akimbilia karandinga la Polisi kuokoa maisha yake

    Hii ni kali wakazi wa Kilimahewa huko Wazo Tegeta wamemshambulia kwa kipigo Mwenyekiti wao wa mtaa ambaye alilazimika kukimbilia karandinga ya polisi. Mwenyekiti huyo anatuhumiwa kubadili mipaka ya viwanja vya wakazi hao kinyemela na baadaye kuwadai rushwa. Wakazi wamedai hawamtaki mwenyekiti...
  18. Barbarosa

    JamiiForums Tanzania Nina wazo, Serikali ichukuwe hiyo hela kutoka kwa Watalii!

    Nimeona Tanzania inaingiza kama Watalii milioni 1.5, ili kupata hizo milioni 500 tulizonyimwa tuzichukuwe ktk kwa Watalii, ni Dola ~USD 330/Mtalii tunaipata hiyo milioni 500. Ni swala la kutafuta vitu 30 anavyofanya Mtalii hapa kwetu na kumuongezea Dola 10, kwa Muzungu wa first World country...
  19. Askarimtu

    JamiiForums Tanzania Wazo la kijinga nililolipata leo.

    Paap...! Nimeamka asubuhi nikawaza jinsi tu waafrika tunavyojidharau. Nikasema kwa nini tusiwakomeshe wazungu siku moja?? Tuchukue madini yetu, tutumie kama pesa...yaani nipe dhahabu nikurudishie chenchi almasi tatu. Toa Tanzanite, nikurudishie rubi 100. Kwanza tunaishije masikini, si...
  20. Am a star

    JamiiForums Tanzania JamiiForums inavyobadilisha maisha yangu kwa kunipa wazo la (THD)

    TOPTRUST HELP DESC (A standby force) “ 0693354479 “ Baada ya kupitia nyuzi nyingi humu nilipata wazo! nikachukua hatua ya kukusanya taarifa zote muhimu za jiji la DAR ES SALAAM kuhusu huduma wanazohitaji watu ili kurahisisha maisha yao na kuokoa muda. sasa naweza kukusaidia Kila eneo...
Back
Top Bottom