Tegeta Wazo kuna madalali matapeli tujihadhari, nilinusurika

Tukanununueni Vigwaza, Chalinze msata, Kibiti, Kkisarawe huko Wala hupigwi na unapewa likiwanja na shamba la kulima kabisaaa, tatizo kutaka kukaa mjini ndio kunatuponza
 
Wazo panakimbiliwa sana ndio maana, mimi sitaki maeneo ya mjini bora nikajifiche Bagamoyo kiroho safi.
 
Kamji ka Bagamoyo nimekapenda sana ni kazuri mara zote kuliko Kibaha na Miji mingine
hao waswahili nitapambana nao mitaizungushia ukuta nyumba nitakayojenga
Nitafutieni kiwanja
Bagamoyo Kuna waswahili sana huko
sijawahi sikia mtu kalazwanje au bado kuna ma nyau usiku?
 
Back
Top Bottom