Wazo la biashara mtaji wa Milioni 5 hadi 6 Mkoa wa Tanga au Dar

Zum

Member
Feb 11, 2014
33
4
Habari

Naomba wazo la biashara kwa mtaji wa milioni 5 mpaka 6. Biashara gani itakidhi kwa kiwango hiki cha pesa?

Uzoefu nilionao, katika maswala ya ICT kwa level ya kawaida na kazi za stationery.

Shukrani.
 
Huo mtaji mkubwa sana labda kwa kuanza unaweza pitia uzi mbali mbali umu ndani zimesheheni mawazo tofauti tofauti na sehemu sahihi ya biashara husika.
 
Usifanye biashara kwa sababu umesikia flani inamlipa Sana au Ina faida Sana au Ni rahisi Sana uendeshaji wake.

Fanya zaidi kile unachokipenda kutoka moyoni,
hata Kama Ni kigumu kiasi gani nakuapia hakika mafanikio utayaona.
 
shukran kwa ushauri,,lakini katika moja ya nipndvyo ni kufanya kama mojawapo ya utoaji wa huduma za kiofisi. kama mtaji unaruhusu, sina hakika sana kama naweza wekeza apo na mtaji ukatosha
 
Fungua onestop center yenye taasisi za serikali za uwekezaji utakula pesa ndani ya kiyoyozi
asante kwa ushauri wako, lakin unaweza nifafanulia kidogo hasa huduma ambazo naweza toa na vifaa vyake vinaweza hitaji kiasi gani.
 
asante kwa ushauri wako, lakin unaweza nifafanulia kidogo hasa huduma ambazo naweza toa na vifaa vyake vinaweza hitaji kiasi gani.

Pombe hasa k vant na konyagi, condom, hizi ndio huduma za kiserikali mkuu, kila la kheri
 
Back
Top Bottom