Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amefanya mazungumzo na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dkt. Sidi Ould Tah kando ya Mkutano wa 61 wa Mwaka wa Bodi ya Magavana wa Benki ya Maendeleo ya Afrika unaofanyika leo Jumanne Mei 26, 2026 katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Kintele...
Aliyekuwa waziri wa ulinzi wa Uganda Jacob Oboth-Oboth ameapishwa kuwa spika wa Bunge la 12 la nchi hiyo.
Oboth aliteuliwa na chama tawala cha NRM, kuwania nafasi ya spika iliyokuwa na wagombea watatu na alipata kura nyingi kati ya kura 519 za wabunge waliopiga kura.
Anachukua nafasi hiyo...
Kama waziri mkuu mwenye kubeba zamana ya nchi na unajifanya mwenye uchungu na nchi kuvaa bendera kumbe sivyo.
Tuna fahamu uchaguzi ni batili na bado mkajipa vyeo kama wewe kuwa waziri mkuu.
Kitendo cha kutuambia utekaji na mauwaji ni maigizo ina maana mpaka mlipo jiweka mshatuona nguchiro...
Yaan unajiita Mchumi, mara msomi, alafu kwenye Mkutano Unasema TUKIO la Lissu lilitengenezwa??
Yaan wewe unaona Watanzania ni Mazwazwa ?
Au TU umeamua kuwatia Watanzania Hasira wachukie zaidi?.
Niku challenge? Kwakua Ni TUKIO la kutengenezwa kwa Lengo la kuchafua Serikali, Toka 2017 Hadi...
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema jamii inapaswa kurejea katika misingi ya malezi ya pamoja na uwajibikaji wa kijamii ili kujenga kizazi chenye maadili, kinachoheshimu viongozi, wazazi pamoja na taasisi za jamii.
“Tunataka kujenga jamii inayoguswa na changamoto za wengine. Maadili mema...
Ni miaka na mikaka sasa bado mnatafuta chanzo cha kwanini WATU wanatekwa na kupoteza
Lakini haitoshi bado mnatafuta nani alimpiga TUNDU LISSU risasi pale Dodoma had kumsababishia ulemavu wa kudumu
Sasa katika hali ya kushtua mbele ya umma wa WATU wa IRINGA WAZIRI MKUU wa JAMHURI ya MUUNGANI WA...
Kero yetu sisi wafanyakazi wa Kampuni ya BCEG Construction. Tunaomba Waziri wa Ujenzi au Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam afike kwenye mradi wetu uliopo Mbezi Beach, karibu na Ramada au Whitesands—ni mradi wa waste water treatment. Kuna mambo mengi yanayoendelea hapa ambayo siyo sahihi, na hatuna...
Anonymous
Thread
beach
dar
haki
mbezi
mbezi beach
tusaidieni
ujenzi
wafanyakazi
walilia
waziriwaziri wa ujenzi
Msigwa wadanganye watoto wako tu star mkubwa wa ball duniani aje bure ajilipie gharama zote za passport kuja tanzania kisa ameitwa na Makonda?
Usikute hata ulaya hawamjui msukuma Makonda 😂 😂 na hilo trako lake kubwa 😂
Tusifiche ukweli tuwambie watanzania pesa zao za kodi wanalipwa hawa mastaa...
Itamar Ben Gvir alisababisha malalamiko ya kimataifa baada ya kuchapisha video inayoonyesha akiwadhihaki wanaharakati wa meli za Gaza zilizokuwa zimefungwa katika bandari ya Ashdod.
Katika kipande hicho, Ben Gvir anapeperusha bendera ya Israeli huku wanaharakati wakipiga magoti chini huku...
Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imefanikiwa kujenga kilometa 1,495.45 za barabara kwa kiwango cha lami pamoja na madaraja makubwa 18 ndani ya kipindi cha miaka mitano, hatua iliyoelezwa kuwa mafanikio makubwa katika sekta ya miundombinu nchini...
Wakuu,
Ni ya kweli haya au ndo Ulega anapenda kujiamulia mambo :BBRUHH:
Sasa kwa nini watu wanasafiri kwenda Dubai wakati tayari tuko Dubai,
Na lile vumbi la Nanjilinji je?
--------------
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega (Mb.), akiwasilisha Bungeni Mpango na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya...
Mijadala ya Act wengi walikiri uchaguzi haikuwa huru na haki
Hadi Walifikia hatua ya kusema tume ilipodadilisha JINA ilipoteza uhalali kikatiba
Sasa wanapoteua mawaziri vivuli Ili wasimamie serikali ipi
Mpina amekuaje siku hizi
Wananchi wanahanhaika kupata hata maji safi, dawa na hata chakula tu.
Alafu Waziri mwenye dhamana na wizara ya afya anaenda Bungeni na mkoba wenye thamani ya mil 14.
Hayati Magufuli alikuwa na uchungu na wananchi wake. Asingekubali jambo kama hili.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akipanda mti pembezoni mwa Mto Mkondoa uliopo Kata ya Kasiki Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, Mei 15, 2026.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Hamad Masauni amesema Usimamizi na uhifadhi wa mazingira...
Waziri Mkuu wa Latvia, Evika Siliņa, ametangaza siku ya Alhamisi kuwa atajiuzulu, hatua inayosababisha kusambaratika kwa serikali ya muungano nchini humo kabla ya uchaguzi muhimu wa bunge unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba.
Siliņa, ambaye ni kiongozi wa mrengo wa kati-kulia, alitangaza uamuzi...
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na Rais wa Kenya Dkt. William Ruto wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Ushirikiano kati ya Afrika na Ufaransa (Africa Forward Summit: Africa-France Perternship for Innovation and Growth) unaofanyika jijini Nairobi Kenya, leo Mei 12...
afrika
dkt. mwigulu
dkt. mwigulu nchemba
hafla
kati
kenya
mkutano
mkuu
mwigulu
mwigulu nchemba
na rais
rais
rais wa kenya
ruto
ufunguzi
ushirikiano
wakati
waziriwaziri mkuu
william
william ruto
Wizara ya Afya pamoja na taasisi zake imeendelea kuimarisha utoaji wa huduma za afya nchini kupitia ukusanyaji wa mapato na matumizi ya fedha katika utekelezaji wa miradi na huduma mbalimbali za afya kwa wananchi.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa leo Mei 11, 2026, wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.