waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waziri wa zamani Raphael Tuju aliyedaiwa kutekwa alikuwa amejificha kukwepa madeni

    Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) imemtia nguvuni Waziri wa Zamani Nchini Kenya, Raphael Tuju, ambaye Familia yake ilidai ametekwa kabla ya kujitokeza na kukiri alikuwa mafichoni siku ya Jumamosi baada ya kuhisi kuwa kuna watu waliokuwa wakimfuata. Akizungumza baada ya Tuju kuonekana...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu Uganda aanguka hadharani. Afrika ni ya waafrika wenyewe na laana zao.

    Over 85 yrs bado linang'ang'ana na madaraka!
  3. hamis77

    JamiiForums Tanzania Israel yasema imemuua Waziri wa ujasusi wa Iran, Esmail Khatib

    Iran’s intelligence minister Esmail Khatib Israeli Defense Minister Israel Katz says Iran’s intelligence minister Esmaeil Khatib was eliminated in an overnight strike in Tehran. Katz warns of “significant surprises” expected today across multiple arenas, signaling further escalation against...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi Israel asema wamemuuwa Mkuu wa Ulinzi wa Iran, Ali Larijani

    Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz, amesema leo Machi 17, 2026 kuwa mkuu wa usalama wa Iran, Ali Larijani, ameuawa katika shambulio la Israel. Ali Larijani amekuwa akijulikana kwa miongo kadhaa kama kiongozi mwenye msimamo wa wastani na mtazamo wa kimkakati ndani ya uongozi wa Iran...
  5. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa anamjibu Mamba Dudubaya kuhusu mashine ya MRI

    https://www.youtube.com/live/46Sy9QdFj7Y?is=de5o1xbYrhPjwSgH Yupo Live TBC. Anawaambia wana habari wawe makini wanaporipoti hiyo taarifa ni kinyume na sheria za nchi Naona Dudubaya kachangiwa
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Waziri Mkuu anapofanya ziara, awakumbuke watumishi wa Halmashauri

    Waziri mkuu katika ziara zake atenge mda wa kuwasililiza watumishi Kuna kero nyingi hasa Halmashauri zetu, Kuna wakurugenzi na baadhi ya wasaidizi wake hawatimizi wajibu wao ipasavyo. Katika kusikiliza Watumishi wenye vyeo wasiwe kwenye Hilo jumuiko
  7. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu aweka jiwe la msingi shule ya Sekondari Mgombe yenye mkondo wa amali ya kihandisi, Katavi

    WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI SHULE YA SEKONDARI MGOMBE YENYE MKONDO WA AMALI YA KIHANDISI, KATAVI WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Machi 15, 2026 ameweka jiwe la msingi la Shule ya Sekondari Mgombe yenye mkondo wa Amali ya Kihandisi iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Mlele, mkoani...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu aagiza uchunguzi wa mfumo wa upatikanaji wa dawa hospitalini

    WAZIRI MKUU AAGIZA UCHUNGUZI WA MFUMO WA UPATIKANAJI WA DAWA HOSPITALINI ▪️Akemea watumishi wanaowaelekeza wananchi kununua dawa nje ya hospitali ▪️Aonya utapeli wa ardhi za vijiji ▪️Akemea wakandarasi wanaolipwa fedha za miradi lakini hawawalipi mafundi WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu aagiza kiongozi wa CCM aliyetajwa kwenye mgogoro wa ardhi akikutwa na hatia avuliwe madaraka, siyo chama cha kunyang'anya

    Akiwa katika yake Nsimbo, Katavi Waziri Mkuu amepokea malalamiko ya mwananchi aliyedhulumiwa eneo lake na kumtaja kiongozi mmoja wapo wa CCM kuhusika katika mchakato huo ambapo Waziri Mkuu ameagiza kiongozi huyo achnguzwe na akibainika ameshiriki avuliwe uongozi. Amesema chama hicho siyo cha...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu asisitiza amani, maadili na ushirikiano na taasisi za dini

    WAZIRI MKUU ASISITIZA AMANI, MAADILI NA USHIRIKIANO NA TAASISI ZA DINI ▪️Asema taasisi za dini nguzo ya maadili na amani nchini ▪️Aonya migogoro ya ardhi inaweza kuvuruga mshikamano wa Taifa WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaendelea kushirikiana kwa karibu na taasisi za...
  11. The introvert

    JamiiForums Tanzania TBT: Waziri Aliyetumbuliwa Kisa kudaiwa kulewa Bungeni (Charles Kitwanga)

    Hii nchi tumepitia mengi sana aisee 😂 :::::::::::::::;;;;;;;;;:::::::::;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;; WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema uamuzi wa Rais Dk. John Pombe Magufuli kutengua uteuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani, Bw. Charles Kitwanga umefuata kanuni za utumishi wa umma ambao unakataza...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Hakutakuwepo na mchezo wala mzaha kwa anayecheza na fedha za umma

    Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, amesema hayo Machi 13, 2026 akiwa mkoani Katavi katika ziara ya kikazi, ambapo anatarajiwa kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo na kuzungumza na wananchi.
  13. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu aweka jiwe la msingi mradi wa maji wa miji 28 Katavi

    WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI WA MIJI 28 KATAVI WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Machi 13, 2026 ameweka jiwe la msingi la Mradi wa Maji wa Miji 28 katika Kata ya Shanwe, Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi. Mradi huo wenye thamani ya shilingi bilioni 22.8 umefikia asilimia...
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Utendaji wa Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu unaleta faraja na matumaini kwa watanzania

    Hakika sasa tunawaziri Mkuu mtendaji mwenye kujali kusikiliza na kutatua kero za wananchi. Anancho kifanya waziri Mkuu ndicho haswa wanacho kitaka watanzania. Sasa viongozi wengine, Mawaziri, wakuu wa Mikoa ma DC pamoja na watendaji wote mnapaswa kufuata nyayo hizo ili kupunguza kero za...
  15. Adryz

    JamiiForums Tanzania Kwa maelezo haya ya Dudu Baya ukiwa na hela bora ukatibiwe India

    Inahuzunisha sana maelezo aliyotoa gwiji na mhasisi wa bongo fleva Godfrey Tumaini Dudu Baya vipimo alivyofanya Muhimbili kuwa siyo sahihi na uhalisia. Anasema asingeenda India angepooza milele. Katumia dollar elfu 20 kufuata matibabu India. Msikilize zaidi hapo chini kwenye Video. Soma...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Nanauka akabidhi Sh Bilioni 7 Mwanza kwa Vijana 308 wanaojishughulisha na Mambo ya uvuvI

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana, Joel Arthur Nanauka, Machi 7, 2026 amezindua program ya Jenga Kesho iliyobora (BBT) upande wa uvuvi kwa kuwakabidhi hundi yenye thamani ya Bilioni 7 Vijana 308 wanaojishughulisha na Mambo ya uvuvi ili iwawezeshe kimitaji hafla iliyofanyika...
  17. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima msaada wako huku Arusha na hii kesi na ndugu wapewe funzo kupora mali za wajane

    MAMA YETU GWAJIMA SHIKAMOO POPOTE ULIPO KWANZA NIKUTAKIE HERI YA SIKUKUU YA WANAWAKE BORA KTK NCHI HII KUTOKEA UONGOZINI NISIKUCHOSHE NAJUA UKO KTK SHAMRA SHAMRA BADO TUNAOMBA MSAIDIEN HUYU MDADA MJANE MUMEWE KAFIA..NDUGU WAMEPORA HELA ZA MCHANGO NA SASA WANAPORA NA MADUKA NA NYUMBA MBAYA...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Kijaji: Serikali itatoa Shilingi Bilioni 8.1 kukarabati miundombinu Serengeti

    Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amesema serikali itatoa shilingi bilioni 8.1 kwa ajili ya matengenezo ya miundombinu ya madaraja na barabara zilizoharibiwa na mvua kubwa zilizonyesha na kusababisha baadhi ya magari ya watalii kukwama kuendelea na safari kwa muda mrefu...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo ampokea Rais wa Burundi kushiriki mkutano wa 25 wa EAC - Arusha

    Rais wa Jamhuri ya Burundi Mheshimiwa Évariste Ndayishimiye amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) Mkoani Kilimanjaro, kushiriki katika Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaofanyika leo tarehe 7 Machi, 2026 katika Makao...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo ampokea Rais Rutto kushiriki mkutano wa 25 wa EAC Arusha

    Rais wa Jamhuri ya Kenya Mheshimiwa Dkt. William Samoei Ruto amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) Mkoani Kilimanjaro, kushiriki katika Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaofanyika leo tarehe 7 Machi, 2026 katika Makao...
Back
Top Bottom