waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Rais wa Tunisia amfuta kazi Waziri wa Nishati

    Rais wa Tunisia, Kais Saied, amemfuta kazi Waziri wa Nishati, Fatma Thabet, leoJumanne ya Aprili 28, 2026. Hatua hii imekuja huku kukiwa na mzozo mkubwa kuhusu miradi ya nishati mbadala inayotarajiwa kupigiwa kura bungeni. Rais Saied amemteua Waziri wa Nyumba na Miundombinu, Salah Eddine...
  2. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Iran Abbas Araghchi akutana na Putin.

    Leo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi alikutana na Rais wa Urusi Vladimir Putin huko St. Petersburg kujadili kuongeza uratibu kati ya nchi hizo mbili, kwani mataifa yote mawili sasa yamepeana ndege zisizo na rubani, hasa ndege zisizo na rubani za Shahed-pattern, na ujasusi katika...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe amshukuru Waziri Mkuu kuadhimisha Miaka 62 ya Muungano kwa kukagua miradi, kutatua kero za wananchi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe, amemshukuru Waziri Mkuu Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba kwa kuadhimisha miaka 62 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kukagua ujenzi wa miradi ya maendeleo ya daraja jipya la...
  4. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu alikutana na Wanajeshi na Makamanda Wakristo

    Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu alikutana na wanajeshi Wakristo na makamanda kutoka kwa vitengo mbal8mbali vya IDF. Maelezo muhimu kutoka kwa kauli yake: Hili ni kinyume kabisa na kile kinachoenezwa huko nje. Sio tu kwamba Israeli inapigania haki za Wakristo kote Mashariki ya Kati...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel ashtushwa sana na jaribio la kumuua Rais Trump, amshukuru Mungu kuwa Trump na mkewe wako salama

    Netanyahu ‘shocked by the attempted assassination’ of Trump Today, 9:56 am ) Prime Minister Benjamin Netanyahu says he is “shocked by the attempted assassination” of US President Donald Trump at a gala dinner in Washington DC. Netanyahu says he is relieved that Trump and the first lady are...
  6. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu afichua kwamba alikuwa ametibiwa saratani ya tezi dume!!

    Netanyahu afichua kwamba alikuwa ametibiwa saratani ya tezi dume; daktari anasema uvimbe ulipatikana 'miezi michache iliyopita,' Waziri Mkuu alipata tiba ya mionzi miezi 2.5 iliyopita, na ugonjwa huo umetoweka. Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu afichua kwamba alifanyiwa matibabu ya saratani ya...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndejembi, Makamba Wakutana na Viongozi wa Puma Energy Tanzania

    Waziri wa Nishati Mhe. Deogratius Ndejembi na Naibu Waziri wa nishati Mhe. Salome Makamba wakiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Puma Energy Tanzania. Bi. Fatma Abdallah pamoja na Mkuu wa Idara ya Sheria na Mahusiano wa Puma Energy, Bw. Emmanuel G. Bakilana
  8. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Maji-shikamoo!

    Shikamoo mzee. Nilikuwa nakujulia hali tu ,kiongozi! Hali ya maji maeneo ya Mbezi Beach jana jioni.
  9. H

    JamiiForums Tanzania Huruma ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba kwa Mwenyekiti wa ALAT anayemaliza muda wake.

    Huruma ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba kwa Mwenyekiti wa ALAT anayemaliza muda wake.
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndejembi: Nchi yetu imeendelea kuwa na uhakika wa upatikanaji wa Mafuta

    Akiwasilisha Makadirio ya mapato na Matumizi ya Wizara kwa mwaka 2026/2027 Bungeni Dododma leo Aprili 22, 2026, Waziri wa Nishati nchini, Deogratius John Ndejembi amesema; "Nchi yetu pia imeendelea kuwa na uhakika wa upatikanaji wa bidhaa ya mafuta ya petroli; yaani petroli, dizeli, mafuta ya...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Karibu kusoma Jarida la Ofisi ya Waziri Mkuu, Toleo la 9 la Aprili 2026, linalopatikana kupitia tovuti ya www.pmo.go.tz.

    Karibu kusoma Jarida la Ofisi ya Waziri Mkuu, Toleo la 9 la Aprili 2026, linalopatikana kupitia tovuti ya www.pmo.go.tz.
  12. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu atimiza ahadi ya kumpatia Kitimwendo Helena Joseph

    WAZIRI MKUU ATIMIZA AHADI YA KUMPATIA KITIMWENDO HELENA JOSEPH Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo (Aprili 20, 2026) amemkabidhi kitimwendo Helena Joseph Mwandu (mwenye mahitaji maalum), Ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma. Waziri Mkuu aliahidi kumpatia Helena kiti hicho katika...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mbunge, Maganga: TFS ni 'Disaster' kubwa, inakwamisha Biashara ya Kaboni, Waziri chukua hatua!

    Mbunge wa Katavi, Thomas Maganga, amechangia hoja ya bajeti ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), leo Aprili 21, 2026, ambapo ameeleza changamoto zinazokwamisha utekelezaji wa mipango ya mazingira na hasa biashara ya kaboni katika halmashauri mbalimbali nchini...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Abdul Nondo: Bilioni 28 za Matumizi mengine za Wizara inajumuisha posho, mafuta ya gari, chai na vitumbua n.k

    Utangulizi Ngome ya vijana ACT-Wazalendo kwa niaba ya vijana, tumefuatilia hotuba ya bajeti ya Mheshimiwa Waziri Joel Arthur Nanauka aliyoitoa jana tarehe 20 Aprili, 2026 kuhusu Mpango na Makadirio ya Matumizi ya Wizara ya Maendeleo ya Vijana kwa Mwaka 2026/2027. Katika ufuatiliaji wetu...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Ulega: Serikali itaimarisha miundombinu ya Mara, Barabara na Uwanja wa Ndege

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema kuwa Serikali itaendelea kujenga na kukamilisha barabara zilizopo Mkoa wa Mara kwa kiwango cha lami, ili kufungua fursa za kiuchumi na kurahisisha huduma za usafiri na usafirishaji ndani ya mkoa huo na mikoa jirani. Pia soma ~ Barabara ya Tarime Mjini...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Hotuba ya Bajeti ya Waziri Mkuu 2026/2027: Tusome katikati ya mistari

    "Kama baba wa familia anasema 'tutajenga nyumba kubwa mwaka huu', unauliza maswali ya msingi: Bajeti iko wapi? Fundi ni nani? Nyenzo zimenunuliwa? Tutamaliza lini?" Vivyo hivyo, tunapaswa kuihoji Serikali. Zingatia: Tarehe mosi Aprili 2026, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt...
  17. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Video : Baba Levo Alivyomtilia Shoti Waziri wa Tamisemi Kwenye Familia Yake

    Mtu kaumbuka huku Hadi akalazimika kujitetea hadharani Ili Mke wake asiliamshe timbwili 😂😂😂😂👇👇 https://www.threads.com/@radiomaarifatz/post/DXKlIPljjqq?xmt=AQF0S1U-gBF5xxJ8wC0Ju0Or1znu4YiRDB5E_9pbsApAIoQokX9KopbCuzwusbMZynTJaZxd&slof=1 My Take Mambo binafsi ya kifamilia hayapaswi kuongelewa...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na Wanafunzi wa Kitanzania Mauritius; atoa wito wa nidhamu na Uzalendo

    Aprili 13, 2026, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Kombo, alikutana na kuzungumza na wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma nchini Mauritius katika Chuo Kikuu cha Middlesex na kuwashauri wanafunzi hao kuhusu maisha yao ya masomo pamoja na wajibu wao wa kuiwakilisha...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Eti wadau, Huyu atakuwa Naibu waziri wa wizara gani?

    Huyu kajichanganya, kapita kwenye njia ambazo walipa kodi huwa wanapita huku CCM wakinadi kuwa nchi ina barabara zimejengwa kwa kiwango bora sana huku sehemu kubwa ya nchi ikiwa hoi kama hivyo licha ya kelele kuwa wamewaletea maendeleo wananchi. Haya huyu atakuwa wa wizara gani huyu?
  20. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo Akutana na Waziri wa Singapore Kuimarisha Uhusiano na Ushirikiano wa Kiuchumi

    Waziri Kombo Akutana na Waziri wa Singapore Kuimarisha Uhusiano na Ushirikiano wa Kiuchumi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb) amekutana na Waziri wa Nchi wa Mambo ya Nje na Maendeleo ya Kijamii na Familia wa Singapore Mhe. Zhulkarnain...
Back
Top Bottom