Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.
Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imefanikiwa kujenga kilometa 1,495.45 za barabara kwa kiwango cha lami pamoja na madaraja makubwa 18 ndani ya kipindi cha miaka mitano, hatua iliyoelezwa kuwa mafanikio makubwa katika sekta ya miundombinu nchini...
Wakuu,
Ni ya kweli haya au ndo Ulega anapenda kujiamulia mambo :BBRUHH:
Sasa kwa nini watu wanasafiri kwenda Dubai wakati tayari tuko Dubai,
Na lile vumbi la Nanjilinji je?
--------------
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega (Mb.), akiwasilisha Bungeni Mpango na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya...
Mijadala ya Act wengi walikiri uchaguzi haikuwa huru na haki
Hadi Walifikia hatua ya kusema tume ilipodadilisha JINA ilipoteza uhalali kikatiba
Sasa wanapoteua mawaziri vivuli Ili wasimamie serikali ipi
Mpina amekuaje siku hizi
Wananchi wanahanhaika kupata hata maji safi, dawa na hata chakula tu.
Alafu Waziri mwenye dhamana na wizara ya afya anaenda Bungeni na mkoba wenye thamani ya mil 14.
Hayati Magufuli alikuwa na uchungu na wananchi wake. Asingekubali jambo kama hili.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akipanda mti pembezoni mwa Mto Mkondoa uliopo Kata ya Kasiki Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, Mei 15, 2026.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Hamad Masauni amesema Usimamizi na uhifadhi wa mazingira...
Waziri Mkuu wa Latvia, Evika Siliņa, ametangaza siku ya Alhamisi kuwa atajiuzulu, hatua inayosababisha kusambaratika kwa serikali ya muungano nchini humo kabla ya uchaguzi muhimu wa bunge unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba.
Siliņa, ambaye ni kiongozi wa mrengo wa kati-kulia, alitangaza uamuzi...
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na Rais wa Kenya Dkt. William Ruto wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Ushirikiano kati ya Afrika na Ufaransa (Africa Forward Summit: Africa-France Perternship for Innovation and Growth) unaofanyika jijini Nairobi Kenya, leo Mei 12...
afrika
dkt. mwigulu
dkt. mwigulu nchemba
hafla
kati
kenya
mkutano
mkuu
mwigulu
mwigulu nchemba
na rais
rais
rais wa kenya
ruto
ufunguzi
ushirikiano
wakati
waziriwaziri mkuu
william
william ruto
Wizara ya Afya pamoja na taasisi zake imeendelea kuimarisha utoaji wa huduma za afya nchini kupitia ukusanyaji wa mapato na matumizi ya fedha katika utekelezaji wa miradi na huduma mbalimbali za afya kwa wananchi.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa leo Mei 11, 2026, wakati...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemtaka Naibu Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Ajira na Mahusiano, Evaline Munisi kusimamia kwa karibu masuala ya haki za wafanyakazi, ajira kwa vijana na kuimarisha mahusiano kazini.
Rais Samia amebainisha hayo Jumatano Mei 6...
ajira
ajira kwa vijana
amani
evaline munisi
haki
haki za wafanyakazi
karibu
kazini
kuimarisha
kusimamia
mahusiano
masuala
tulinde amani
vijana
wafanyakazi
waziri
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Mahusiano), Dkt. Evaline Wilbard Munisi amezungumza Bungeni leo Mei 8, 2026 kuhusu stahiki za Watumishi ambao hawapo kwenye ajira na walikuwa wanachama wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii.
Pia soma
~ Sera ya NSSF kuondoa Fao la Kujitoa INAUA NDOTO ZA...
Mheshimiwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (JMT) Dr. Mwigulu Nchemba.
Kwa heshima na taadhima napenda kuchukua nafasi hii adhimu kukupa pole, katika kutekeleza majukumu yako ya kila siku, kulitumikia taifa letu la Tanzania, ili liweze kupiga hatua kubwa katika maendeleo yanayo...
Nilimkosakosa kwa picha ila nikaipata hapa.
Basi bana wakati mheshimiwa rais anamchapa mwenzake kuhusu cheo ambacho hata yeye alipewa na wananchi asilimia 97% basi bwana...
Waziri mkuu kutaka kuonyesha kaipenda engo hiyo akapeleka mikono kupiga makofi.
Gafla akajishtukia anapiga mwenyewe...
Jana akiingia Bungeni akiwa sambamba na Didier Drogba alionekana anatembea kwa shida sana. Wengine waliohusika na kumshambulia Lissu walishakufa kama Magufuli, je naye huyu ndiyo adhabu yake imeanza?
Mwenye video aiweke
Ukimuita tu dada mwenye makebo makubwa uanshangaa yeye lazima aje wa kwanza utafikir umemuita yeye, kila sehemu unakuta anamshika mkkono ila tu auze nae sura na kumpa ushauri wa kila mwanaume anaemtaka. Looh!
Yeye ndio haji manara wake, yanj muda mwingine unajikuta unakosa fursa ya kutafuna...
Umoja wa Afrika umetambua juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika kuendeleza na kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia ndani na nje ya nchi, na kumpendekeza kutangazwa rasmi kuwa kinara wa Umoja wa Afrika wa ajenda hiyo.
Hatua hiyo imefikiwa...
Kilio cha wanyonge sisi Wakazi wa Kihonda Yespa, Manispaa ya Morogoro nyuma ya tuta la mwendokasi, tunaomba maafisa ardhi waje kutatua migogoro mikubwa huku mtaani kwetu, kuna kiongozi anasema yeye ni Diwana Kata ya mabibo na ndiye Naibu Meya Manispaa ya Ubungo.
Kaja maeneo tuliojenga tangu...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza Bungeni leo Aprili 30, 2026, ameipongeza klabu ya Simba kwa ushindi wa bao 1 dhidi ya Yanga.
Klabu ya Simba ilitwaa ubingwa wa Muungano mbele ya Yanga katika fainali iliyochezwa katika Uwanja wa New Amaan Complex...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.