Waziri wa TAMISEMI endelea kuwatimua watumishi wa ovyo, hiyo Tamisemi ni shamba la bibi, imekuwa ni kawaida kwamba bila kutoa chochote hupati chochote, uhamisho kwa mtumishi ilikuwa ni suala na haki ya mtumishi lakini leo bila kutoa chochote mtumishi kuhama kutoka kituo kimoja kwenda kituo...