waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hongera kwa Naibu Waziri Mkuu: Upatikanaji wa Umeme na Mafuta vimeimarika sana

    Hakika naona utendaji kazi mzuri sana. Huna kelele lakini hupumziki na kazi zako zinaeleweka. 1. Hapo nyuma kukatika kwa umeme kulikuwa hakuna formula, sasa hivi angalau - japo kaza tena ili mambo yaende. 2. Hapo nyuma upatikanani wa mafuta ulikuwa wakusua sua. Na bei zilikuwa zinapanda...
  2. JamiiForums Tanzania Paul Makonda amtaka Waziri wa Ujenzi kuharakisha ujenzi wa njia nne za barabara Mwanza yenye urefu wa km 32

    MWENEZI MAKONDA ABAINISHA KUWA SERIKALI YA CCM CHINI YA RAIS SAMIA YAIELEKEZA WIZARA YA UJENZI KUJENGA BARABARA ZA NJIA NNE - MWANZA Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda ameendelea na ziara yake katika mikoa ya kanda ya ziwa ambapo leo tarehe 12...
  3. JamiiForums Tanzania Video: Waziri na mbunge wa Tanga akila kwa anasa huku akisahau wananchi jimboni kwake wana dhiki

  4. JamiiForums Tanzania Mwenezi Makonda amwambia waziri wa Maji ndani ya wiki 3 tatizo la Maji katoro liwe Historia

    📌📌 WAZIRI WA MAJI MHE. AWESU AMTHIBITISHIA MWENEZI MAKONDA NDANI YA WIKI 3 MAJI KUPATIKANA KATORO - GEITA Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa , Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda amempigia simu Waziri wa Maji Mhe. Juma Awesu na kumtaka kutolea ufafanuzi kero ya upatikanaji wa Maji...
  5. JamiiForums Tanzania Askofu Mwanakula, Pd. Kitima, na Askofu Bagoza wakutana na waziri mkuu!

    Post Ofisi ya Waziri Mkuu @TZWaziriMkuu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Maaskofu Emaus Mwamakulwa wa Kanisa la Uamsho la Morovian (Kushoto) Askofu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe Benson Bagonza. Kulia ni Padri Dokta Kitima ambaye ni Katibu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa...
  6. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Dkt. Dugange: Milioni 900 Kukarabati Hospitali ya Wilaya ya Mbozi

    NAIBU Waziri anayeshughulikia Afya Ofisi ya Rais-TAMISEMI , Mhe Dkt. Festo Dugange amesema Serikali katika mwaka wa fedha wa 2023/24 imetenga kiasi cha Sh Milioni 900 kwa ajili ya ukarabati wa Hospitali Kongwe ya Mbozi. Mhe. Dkt Dugange ameyasema hayo leo bungeni jijini Dodoma wakati akijibu...
  7. JamiiForums Tanzania Ofisi ya Waziri Mkuu yatangaza Fursa ya Kusoma bure katika fani mbalimbali

    Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Imetangaza Programu ya Kukuza Ujuzi Nchini inayowezesha nguvu kazi ya Taifa kupata ujuzi na stadi za kazi stahiki ili kumudu ushindani katika soko la ajira. Ofisi imeingia makubaliano vyuo mbalimbali kutoa mafunzo mafunzo ya ufundi...
  8. JamiiForums Tanzania Mbunge Norah Waziri Mzeru (Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Morogoro) Atembelea Katika Shule ya Sekondary Lupanga Mkoani Morogoro

    Mbunge Norah Waziri Mzeru (Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Morogoro) Atembelea Katika Shule ya Sekondary Lupanga Mkoani Morogoro Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri Mzeru amewaasa wahitimu wa Kidato cha Nne Katika Shule Ya Sekondary Lupanga Mkoani Morogoro wasome kwa bidii kwa...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha-Kenya: Serikali imeelemewa na Madeni, Mzunguko wa Fedha umekuwa mgumu

    Waziri wa Fedha na Hazina wa Kenya, Njuguna Ndung’u ameiambia Kamati ya Fedha na Mipango ya Taifa kuwa Madeni ya Mikopo ya muda mfupi yanayoendelea kuiva, kushuka kwa thamani ya Shilingi na viwango vya juu vya riba vimesababisha nchi hiyo kuwa katika hali ngumu ya Kifedha. Prof. Ndung’u amesema...
  10. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Sagini amuwakilisha Waziri Mkuu katika Uzinduzi wa Idara ya JMAT

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini amemuwakilisha Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa katika Halfa ya Uzinduzi wa Idara Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT) iliyofanyika Novemba 8, 2023 katika Ukumbi wa Mikutano wa Karimjee Hall Jijini...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu: Tunatazamia kuwakopesha Wafanyakazi wenye sifa Magari ili kupunguza Matumizi ya Serikali

    Serikali iliwahi kusema inatumia Bil.550 Kwa mwaka Kuagiza magari, vipuri, mafuta na matengenezo Kila mwaka. -- Akijibu swali la Mbunge Asia Abdulkarim Halamga aliyehoji sababu za Serikali kutumia Wakala wa Huduma za Ununuzi Serikalini (GPSA) ambaye ananunua Magari kwa gharama kubwa kuliko bei...
  12. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Waziri asimulia alivyotishiwa kwa kuwekewa Bastola kichwani kisha wezi wakamuibia

    Waziri wa Uchukuzi wa Afrika Kusini, Sindisiwe Chikunga amesimulia tukio la kuibiwa wa kusema wezi walimtishia kwa kumuwekea bastola kichwani kisha wakamuibia wakati alipokuwa akibadilisha tairi la gari lililopasuka Jijini Johannesburg. Amesema wezi waliwafamia wakati walinzi wake wakibadilisha...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Makamba afanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel, Eli Cohen

    Kupitia ukurasa binafsi wa mtandao wa X (Zamani Twitter) wa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika. Mashariki, January Makamba ameandika ujumbe kuwa mapema leo amefanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel, Eli Cohen Ujumbe huo umeeleza kuwa Waziri Cohen ameahidi Serikali ya...
  14. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna harufu ya rushwa kutoka Fedha za Mikopo ya Wanafunzi wa Degree. TAKUKURU chunguzeni

    Miaka ya nyuma tokea nchi ipate uhuru huu mwaka bajeti ya kutoa mikopo Kwa WANAFUNZI WA degree ilikuwa kubwa sana, ilikuwa TZS bilioni 700+. Serikali ikakatangaza WANAFUNZI wanaonza degree (fresh students) watapata wanafunzi 75,000 lakini majina mpaka sasa yametoka 73,000 ambayo yamegharimu Sh...
  15. JamiiForums Tanzania Baba Levo ashangaa Mwana FA kutopenda mafanikio ya Diamond

    Kwa mujibu wa Babalevo ni kitu cha ajabu Mwana Fa ambae amepewa dhamana ya kuongoza wizara ya sanaa kuonyesha chuki za wazi wazi kwa Diamond Platnumz. Wengine walifikiri akishakuwa kiongozi wa serikali chuki zake za miaka yote angezisimamisha kwa muda. Lakini ameshindwa kujizuia. Watu...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu akikata mauno baada ya Yanga kushinda 5

  17. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Nkenda ajitathimini kama anapaswa kuendelea kuwa waziri wa Elimu au la kwa maamuzi yake ya kukurupuka

    Waziri Nkenda ajitathimini kama anapaswa kuendelea kuwa waziri wa Elimu au lah kwa maamuzi yake ya kukurupuka. Kwa kilichonadiliwa Bungeni na Hoja zilizotolewa tunapofanya maamuzi tusifanye kwa kukurupuka Kuna taratibu za kufata ona sasa unapata Aibu za bure, utamfukuza mtu vipi bila kumpa...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ndumbaro: Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Michezo wa Malya Uko Pale Pale

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesema Wizara anayoiongoza itaendelea kutekeleza mradi wa ujenzi wa Kituo Cha Michezo katika Chuo Cha Maendeleo ya Michezo Malya mkoani Mwanza kama ilivyopanga. Dkt. Ndumbaro amesema hayo Novemba 6, 2023 Bungeni Jijini Dodoma...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia Apokea Ujumbe Maalum Toka kwa Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed Tarh 06/11/2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amepokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Waziri Mkuu wa Ethiopia Dkt. Abiy Ahmed uliowasilishwa kwake na Waziri na Mshauri – Sera wa Ethiopia Mhe. Taye Atske-Selassie Made mara baada ya kuwasili Ikulu, Dar es Salaam 6.11.2023.
  20. JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha: Serikali inatarajia kukusanya na kutumia Tsh. Trilioni 47.424 Mwaka 2024/2025

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) amesema kuwa Serikali inatarajia kukusanya na kutumia jumla ya shilingi trilioni 47.424 katika mwaka 2024/2025. Dkt. Nchemba alisema hayo Bungeni jijini Dodoma wakati akiwasilisha Mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…