Waziri Nkenda ajitathimini kama anapaswa kuendelea kuwa waziri wa Elimu au lah kwa maamuzi yake ya kukurupuka.
Kwa kilichonadiliwa Bungeni na Hoja zilizotolewa tunapofanya maamuzi tusifanye kwa kukurupuka Kuna taratibu za kufata ona sasa unapata Aibu za bure, utamfukuza mtu vipi bila kumpa nafasi ya kujitetea?
Kama tukio lilifanyika week kadhaa zilizopita basi na wabunge wote na wakuu wote wa idara waliowahi kufanya sherehe au kuhudhuria sherehe katika mashule nao wakacheza nyimbo hizo na wanafunzi basi NAO wachukuliwe hatua. Kwanini iwe walimu.
Nashangaa chama cha walimu kimekaa kimya hakijajitokeza kutetea walimu ila Hadi watu wa mitandaoni na wabunge walipoamua kuhoji.
Wakati wa Prof Ndalichako mambo haya hayakuepo kabisa