waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kaimu Waziri wa Afya-Saada: Hatuwezi Kuwatibu wasio Wazanzibari

    Kaimu Waziri wa Afya Zanzibar, Saada Mkuya Salum amesema Serikali ya Mapinduzi Zanzibar haiwezi kugharamia matibabu kwa Watu wasio Wazanzibar. Saada ametoa kauli hiyo Juni 8, 2026 wakati akijibu hoja kwenye Baraza la Wawakilishi Zanzibar kupitia vikao vinavyoendelea vya kujadili bajeti...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Naibu Waziri wa Vijana, Hassan Khamis: Wanaofanya kazi kwenye Mahotel Zanzibar siyo wazawa inabidi tufanye Mapinduzi

    Naibu Waziri wa Vijana, Ajira na Uwezeshaji, Zanzibar Hassan Khamis Hafidh, akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Bajeti ya Vijana katika Baraza la Wawakilishi Juni 6, 2026, alisema licha ya kuwepo kwa hoteli 1,184 zilizosajiliwa Zanzibar, idadi kubwa ya wafanyakazi katika baadhi ya...
  3. JamiiForums Tanzania Kesho Buddhist Temple Upanga, Dar es salaam, itakuwepo sherehe. Waziri Mkuu atahudhuria

    Sherehe ya Vesak. Ni birthday ya Buddha. Ndiyo Christmas. Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba atahudhuria.
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Huduma kwa Wananchi Heshima na Ufanisi

    Kuwa kwenye nafasi ni huduma, Wananchi wanapofika katika ofisi za umma wanapaswa kuhudumiwa kwa heshima, haraka na kwa ufanisi-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Isimani-Iringa 🗓️Juni 5, 2026 ——————————— Amesema hayo wakati alipozungumza katika mkutano wa hadhara na wakazi wa Isimani, Mkoani...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu akutana na balozi wa uingereza nchini Tanzania

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba leo Ijumaa, Juni 5, 2026 amefanya mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Mhe. Marianne Young, ofisini kwake Bungeni jijini Dodoma. Mazungumzo hayo yalijikita katika kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na ushirikiano kati ya Tanzania na Uingereza...
  6. JamiiForums Tanzania Kundo Mathew: Mkurugenzi wa DAWASA fanyia kazi suala la Maji Segerea, Tusizowee changamoto za Wananchi

    Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Mathew, ametoa maelekezo kwa Mtendaji Mkuu wa DAWASA kuhakikisha changamoto ya upatikanaji wa maji katika Jimbo la Segerea inapatiwa ufumbuzi wa haraka na wa kudumu. Akijibu swali la Mbunge wa Segerea (CHAUMMA), Agnesta Kaiza, bungeni Juni 3, 2026, Mhandisi...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Ni vyema Waziri Mkuu akabadilisha style ya ziara zake

    Ziara za Waziri Mkuu zimekuwa kama ziara za katibu mwenezi wa chama. Kwa waziri mkuu kwenda kujaribu kudili na matatizo binafsi kwenye ndoa za watu ukiwa juu ya gari inashusha hadhi ya kiti hiki. Waziri mkuu ajihusishe na masuala mapana ya maendeleo ya nchi yetu na sio ziara za kujitafutia...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na jumuiya ya diaspora ya Tanzania nchini Korea

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo amekutana na Jumuiya ya Diaspora ya Tanzania wanaoishi katika Jamhuri ya Korea na kuwahimiza kuendelea kuwa mabalozi wazuri wa Tanzania kwa kuitangaza nchi na fursa mbalimbali zilizopo katika sekta za...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba hafiki 2030 akiwa Waziri Mkuu

    Kwa tabia na mwenendo wake wa sasa akiwa Waziri Mkuu, amini nawaambia, haitafika 2030 akiwa Mtendaji mkuu wa Serikali Kukalipia, kuonya na hata anavyo hangaika kujifanya/kumwiga Magufuli kwa vitendo, ni kazi bure! Atasukiwa zengwe litakalo zidi la mwendazake Lowassa na atalazimishwa ku-resign...
  10. JamiiForums Tanzania Ziara za Waziri Mkuu Mwigulu Mchemba: Je, ni utatuzi wa kweli wa kero au ni Usanii na Kiini Macho? Mbona hatuoni mrejesho?

    Wana-JF, Kumekuwa na utaratibu uliozoeleka wa Waziri Mkuu, Mheshimiwa Mwigulu Mchemba, kufanya ziara mbalimbali sehemu mbalimbali nchini. Katika ziara hizo, pamoja na mambo mengine, amekuwa akitenga muda wa kusikiliza na kutatua kero za wananchi. Katika utatuzi huo, tumekuwa tukishuhudia mambo...
  11. JamiiForums Tanzania Hekaya za Idu: ziara za Waziri Mwigulu Nchemba zinatafakarisha sana. Ni kama taifa halina waziri mkuu na limepotea.

    Waziri mkuu kwa mujibu wa katiba JMT ndio msimamizi wa shuguli zote za serikali. Sasa Msimamizi wa shughuli za serikali anapokuwa namna hii taifa letu linaenda wapi? Limepotea na shughuli za serikali zimekwama. Huwezi kuwa waziri mkuu alafu unatatua kero za wanancho kisanii namna hii. Mfano...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Damu haikauki; Raul Castro (94), ashtakiwa kwa mauaji ya miaka 30 iliyopita akiwa Waziri wa Ulinzi

    Wakati kakaake Fidel akiwa Rais ye ndo kidume cha utekaji, utesaji, ufiraji, ubakaji na mauaji Lakini hizi jinai za damu huwa haziozi. Methali za mavi ya kale hayanuki ni uongo tulikaririshwa shule. Shule zetu zile zilikuwa mbovu, ndo maana tunaagiza viberiti Kenya. Charge sheet, hati ya...
  13. JamiiForums Tanzania Hatimaye thread yangu kuhusu Terence Crawford imemfikia waziri wa utalii na maliasili na amempa ubalozi wa utalii Tanzania

    Niliandika thread hapa kushangaa kwa nini mtu kama Terence Crawford kuonesha mapenzi yake ya dhati kwa Tanzania kuitangaza kimataifa na kupost kila hatua anayopita kuonesha ni kwa namna gani Tanzania imebarikiwa lakini viongozi wa nchi walimkalia kimya kana kwamba ni mtu wa kawaida tu. Kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo: Kote tulikokwenda nimeulizwa, "Kwanini hamkuja mapema? Tumedanganywa sisi, taarifa tulizoletewa siyo alizoandika Samia"

    Hivi Kombo anatuchukulia sisi watani zake eeeeh? :BearLaugh::BearLaugh: Halafu hapo hapo anakwambia tumewaalika Maseneta waje wahakikishe kama hatuuani kidini! Sasa kama walielewa somo kwanini mmewaalika? Halafu hivi Maseneta walisema nchini kuna vita ya kidini? Serikali kuambiwa mnakandimiza...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri mkuu mgeni rasmi kongamano la wadau wa mazingira, miaka 40 YA NEMC

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Mei 28, 2026 amewasili kuwa Mgeni Rasmi katika Kongamano la Kitaifa la Wadau wa Mazingira pamoja na maadhimisho ya miaka 40 ya Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) yanayofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC)...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu ateta na Rais wa benki ya AfDB

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amefanya mazungumzo na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dkt. Sidi Ould Tah kando ya Mkutano wa 61 wa Mwaka wa Bodi ya Magavana wa Benki ya Maendeleo ya Afrika unaofanyika leo Jumanne Mei 26, 2026 katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Kintele...
  17. R

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi Jacob Oboth-Oboth aapishwa kuwa Spika wa Bunge Uganda

    Aliyekuwa waziri wa ulinzi wa Uganda Jacob Oboth-Oboth ameapishwa kuwa spika wa Bunge la 12 la nchi hiyo. Oboth aliteuliwa na chama tawala cha NRM, kuwania nafasi ya spika iliyokuwa na wagombea watatu na alipata kura nyingi kati ya kura 519 za wabunge waliopiga kura. Anachukua nafasi hiyo...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri mkuu Mwigulu, hivi hotuba zako ni kwa ajili ya CCM au taifa?

    Kama waziri mkuu mwenye kubeba zamana ya nchi na unajifanya mwenye uchungu na nchi kuvaa bendera kumbe sivyo. Tuna fahamu uchaguzi ni batili na bado mkajipa vyeo kama wewe kuwa waziri mkuu. Kitendo cha kutuambia utekaji na mauwaji ni maigizo ina maana mpaka mlipo jiweka mshatuona nguchiro...
  19. JamiiForums Tanzania Bwana Mwigulu, Mchumi wa Makaratasi, uliyetembelea 'Uwezo wa Mzee Mpango", Acha Siasa za 1900, Unabwabwaja, Watanzania wa Sasa sio wa kuambiwa Upuuzi

    Yaan unajiita Mchumi, mara msomi, alafu kwenye Mkutano Unasema TUKIO la Lissu lilitengenezwa?? Yaan wewe unaona Watanzania ni Mazwazwa ? Au TU umeamua kuwatia Watanzania Hasira wachukie zaidi?. Niku challenge? Kwakua Ni TUKIO la kutengenezwa kwa Lengo la kuchafua Serikali, Toka 2017 Hadi...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu ahimiza Mlezi ya Kimaadili na Ushirikiano wa Kijamii

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema jamii inapaswa kurejea katika misingi ya malezi ya pamoja na uwajibikaji wa kijamii ili kujenga kizazi chenye maadili, kinachoheshimu viongozi, wazazi pamoja na taasisi za jamii. “Tunataka kujenga jamii inayoguswa na changamoto za wengine. Maadili mema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…