waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. Kaka yake shetani

    waziri wa mambo ya ndani kuingilia wizara ya michezo na michezo kuingilia wizara ya afya na uchumi.

    Kwa sasa tanzania na shindwa kuelewa ni nani haramu ni nani raisi ni waziri. Leo mkurugenzi kawa mkuu wa kituo cha polisi majukumu yake.
  2. Zack Abdul

    Waziri Mkuu Nchemba Rukwa Kilele cha Mwenge

    Waziri Mkuu Dkt MWIGULU LAMECK NCHEMBA akiwa ameambatana na Mke wake, NEEMA MWIGULU NCHEMBA wakiwa wanawasili katika Kiwanja cha NELSON MANDELA Mkoa wa Rukwa, kwa ajili ya kushiriki maadhimisho ya Kilele cha Mwenge na Kumbukizi ya Miaka 27 ya Baba wa Taifa, Mwalimu JULIUS KAMBARAGE NYERERE.
  3. W

    Naibu Waziri wa Maji Mhe Mhandisi Kundo Andrea Mathew katika mkutano na wananchi wa Kijiji cha Ichemba, Ulyankulu wilaya ya Kaliua.

    https://www.instagram.com/p/DebIsVnonyy/
  4. M

    Waziri Makonda awashukia wananchi wanaotaka polisi wasipongezwe

    Hata polisi amejitahidi polisi amejitahidi kuokoa... Ah... Naomba nisikilizeni jamani. Mimi nachukua kile kilichonyooka. Mimi niko kwenye ukweli. Hatuwezi kuwa jeshi la polisi limefanya kazi ya maana kuokoa maisha ya watu hamtaki kusikia. Ila wangekosea wakafa mngekuwa wa kwanza kuanza kwenye...
  5. Echolima1

    Waziri wa Ulinzi wa Israeli Israel Katz anampa onyo kali kiongozi wa Hamas: Al-Hayya

    Waziri wa Ulinzi wa Israeli Israel Katz anampa onyo kali kiongozi wa Hamas: Tuliwaangamiza viongozi wa Hamas huko Gaza, na sasa ni zamu ya Al-Hayya kumwangamiza!! Hamas ikijibu vitisho vya Waziri wa Ulinzi Israel Katz vya kumwangamiza Khalil al-Hayya, mkuu wa ofisi yake ya kisiasa: Vitisho...
  6. Dennis Robert Shughuru

    Bashite ananikumbusha Waziri Mkuu katili wa Ethiopia, Mengistu Haile Mariam

    Daudi albert Bashite hana akili za darasani ila anajua njia za kufikia kwenye mammlaka ni watu ambao mnashtuka wameshika Urais Mengistu Haile Mariam ni moja ya marais makatili sana kuwahi kutokea east afrika hata wakina idd amini na mobutu hawamfikii mengistu haile mariam hakua na akili za...
  7. K

    Nchi ya maigizo : Makonda ni waziri wa wizara gani?!

    https://youtu.be/FYBXRFe4JS4?is=ET9l6nWGdw2FMiVn
  8. I

    Maurice Ogeta - Mlinzi Wa Aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga Afunguka Mazito Kuhusu Maisha Yake na Baba

    Karibu mwaka mmoja baada ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga, Maurice Ogeta, mlinzi na msaidizi wake wa miaka 29, amefunguka kuhusu matukio mazito aliyodai kuyashuhudia akiwa pembeni ya mwanasiasa huyo, kuanzia tukio aliloamini lingemgharimu maisha Raila hadi kutekwa kwake mwenyewe...
  9. Zack Abdul

    Waziri mkuu azungumza na diaspora Uingereza

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Oktoba 11, 2026, amezungumza na Watanzania wanaoishi Uingereza na nchi jirani (Diaspora). Katika mazungumzo hayo, Dkt. Mwigulu amewasilisha salamu za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, pamoja na kuelezea miradi ya maendeleo...
  10. Yoda

    Aliyemrithi ubunge Keir Starmer, waziri mkuu mstaafu Uingereza.

    Sagal Abdi-Wali
  11. peno hasegawa

    Waziri wa madini, tunaomba ufafanuzi kuhusu uhalali wa uongozi wa FEMATA! Ukizingatia kuwa FEMATA haina katiba

    Mheshimiwa Waziri wa Madini, Kuna maswali mazito yanayohitaji majibu kuhusu uendeshaji na uhalali wa uongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Wadogo wa Madini Tanzania (FEMATA). Inadaiwa kuwa FEMATA inaendeshwa bila Katiba inayotambulika na wanachama wake, huku uhalali wa uongozi wake wa...
  12. A

    Samia huyo mpemba wako waziri wa Uchukuzi yuko wapi, wamekufa watu zaidi ya 30, nauli zinaongezwa holela Makame Mbarawa Mnyaa wala hana taarifa!

    Huyu Samia nani kamlazimisha kugombea huu urais? Huyo mzanzibari hataki hii kazi, ni Kikwete? Kwa maslahi ya nani? Ni wazi zahv hatuna Rais wa JMT, mwezi wa Februari wamiliki wa vyombo vya usafiri walijiongezea nauli walivyoona wao inafaa, hatumwona waziri wala naibu wake wala mkurugenzi mkuu...
  13. Dr Adam Francis

    Rais wa JMT, waziri kiongozi wa Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar na waziri mkuu wa Tanganyika, ndio muundo sahihi kwa changamoto za Muungano.

    Swala la Katiba mpya limeendelea kuwa hoja inayojadiliwa zaidi miongoni mwa watanzania. Pamoja na mambo Mengi yanayojadiliwa, swala la muundo wa muungano limeendelea kuwa na umuhimu wa kipekee sana. Nakili kwa uwazi sijafanya utafiti rasmi unaowezesha kuwa na takwimu za kitaifa. Kwahiyo maoni...
  14. Kipenzi Changu

    Wizara ya Katambi haina Vision kiasi cha Waziri kupata muda wa kudeal na petty issues?

    Wizara haina muda na utekaji Wizara haina muda na mauaji Waziri hutamsikia akizungumzia mkakati uliopo wa kuzuia na kukamata wauaji na watekaji Wizara haina muda na maslahi ya watumishi wake Wizara huiskii ikizungumzia mikakati ya uokozi licha ya idara ya zimamoto uokozi kuwa choka mbaya...
  15. G

    Barua kwa Waziri mkuu na wizara ya Ardhi, Upimaji Haramu wa Ardhi wilaya ya serengeti.

    Nikiwa kama mdau wa maendeo nchini napenda kujua kwa nini halmashauri ya wilaya ya serengeti mkoani Mara imeruhusu upimaji wa viwanja na Mashamba bila kutoa stakabadhi za EFD wananchi wanabaki na makaratasi ambayo serikali haiyatambui nani yuko nyuma ya hili zoezi gharama ziko juu wananchi...
  16. H

    Waziri Mkuu kufungua Jukwaa la Uwekezaji Tanzania nchini Uingereza

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameondoka nchini leo, Oktoba 6, 2026, kuelekea Uingereza kwa ziara ya kikazi ya siku tano, ambapo atafungua Jukwaa la Uwekezaji la Tanzania nchini Uingereza. Katika ziara hiyo, Waziri Mkuu pia ataongoza ujumbe wa Tanzania kukutana wadau, wawekezaji na...
  17. H

    𝗗𝗞𝗧. 𝗠𝗪𝗜𝗚𝗨𝗟𝗨 𝗔𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗭𝗨𝗡𝗚𝗨𝗠𝗭𝗢 𝗡𝗔 𝗠𝗔𝗞𝗔𝗠𝗨 𝗠𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘𝗞𝗜𝗧𝗜 𝗪𝗔 𝗕𝗨𝗡𝗚𝗘 𝗟𝗔 𝗩𝗜𝗘𝗧𝗡𝗔𝗠

    𝗗𝗞𝗧. 𝗠𝗪𝗜𝗚𝗨𝗟𝗨 𝗔𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗭𝗨𝗡𝗚𝗨𝗠𝗭𝗢 𝗡𝗔 𝗠𝗔𝗞𝗔𝗠𝗨 𝗠𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘𝗞𝗜𝗧𝗜 𝗪𝗔 𝗕𝗨𝗡𝗚𝗘 𝗟𝗔 𝗩𝗜𝗘𝗧𝗡𝗔𝗠 Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, Oktoba 5, 2026, amefanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Vietnam, Mhe. Nguyen Hong Dien, katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC), kando ya Mkutano wa 153 wa Umoja...
  18. H

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, alivyowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) ambapo amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, alivyowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) ambapo amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani IPU. Mkutano huo unaofanyika leo Oktoba 5, 2026 jijini Arusha...
  19. Wizara ya Ardhi

    Waziri Akwilapo atoa Rai maandalizi ya EL NIÑO kulinda makazi

    DODOMA Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo, ametoa rai kwa mamlaka za miji, taasisi na wananchi kuanza kuchukua hatua za maandalizi dhidi ya athari zinazoweza kujitokeza wakati wa mvua za El Niño na kusisitiza umuhimu wa upangaji bora wa maeneo ya makazi...
  20. Holota

    wale wa "passed and stored in databank" waziri kasikia kilio chenu labda jambo zuri linakuja

    mwenyekiti wa umoja wa vijana ACT Abduli nondo alitoa maoni yake na mtazamo wake kuhusu haya mambo ya data bank , uzuri waziri mwenye dhamana akaona na kutoa comment kama unavyo ona apo chini kwneye instagram ya Abdul nondo na labda wanaweza kulifanyia kazi tusubiri huo mrejesho
Back
Top Bottom