waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ado ampigia simu Waziri Aweso kuhusu shida ya maji Tunduru, asema atatuma timu kutoka Wizarani

    Mbunge Ado Shaibu Ado alipiga simu Waziri wa Maji Aweso wakati wa mkutano na wananchi katika kijiji chake ili kuwasilisha changamoto kubwa za maji.Wananchi walikuwa wamelalamika kwa muda mrefu kuhusu maji machafu yanayotolewa kwenye visima, hali iliyowafanya kunywa maji yasiyo safi. Waziri...
  2. W

    JamiiForums Tanzania GIZA HALIJAWAZUIA SOMANGA KUMPOKEA WAZIRI AWESO , ATOA MPANGO WA DHARULA

    https://www.instagram.com/p/Ddu3mhyoS9n/
  3. W

    JamiiForums Tanzania GIZA HALIJAWAZUIA SOMANGA KUMPOKEA WAZIRI AWESO , ATOA MPANGO WA DHARULA

    https://www.instagram.com/p/Ddu3mhyoS9n/
  4. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Waziri Akwilapo azindua kliniki ya ardhi ya kidijiti Mtwara

    MTWARA Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo, amezindua rasmi Kliniki ya Ardhi kidijiti mkoani Mtwara huku akiwataka wananchi kutumia fursa hiyo kupata elimu na huduma mbalimbali za ardhi, ikiwamo upimaji, upangaji na umilikishaji. Uzinduzi huo umefanyika...
  5. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Waziri mzima unaenda kugombania usupply jezi badala ukomae timu inashinda vipi

    Mimi Taifa Stars nimeshaitoa kwenye list ya timu ntakazoshangilia , kitendo cha Waziri kwenda front na yeye kutaka auze jezi mtaani kimetoa morari yangu juu ya hii timu. Kwa sasa hata wakitaka kuweka sura ya mama kwenye jezi waweke kabisa au kuweka jembe na nyundo waweke pia.
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa ACT dhidi ya Operesheni ya Serikali kuwaondoa Wamachinga Nchini

    https://www.youtube.com/live/NMGmvwH9P-w Waziri Kivuli wa TAMISEMI, Kulthum Mchuchuli anazungumza na Waandishi wa Habari, Septemba 25, 2026 Chama cha ACT Wazalendo kimepokea kwa masikitiko makubwa na kinapinga kwa nguvu zote operesheni zinazoendelea katika maeneo mbalimbali nchini za kuwaondoa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hekaya za Muuza Kangala: Wananchi wanasema jezi zinafaa, Waziri anasema ni mbaya kunani?

    Kati ya watu mil 67 wanaoishi hapa Tanzania wamekubali na kusema kuwa jezi alizotengeneza Sandaland kwa mkataba halali ni nzuri na zinafaa. Ila mtu mmoja tu ambaye ni waziri anadai kwenye macho yake ni mbaya na hazifai. Kuna nini? Kuna ka ten pasenti kamempita kushoto?
  8. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo Sept 23, 2026 ameungana na Mawaziri wenzake kutoka TAMISEMI pamoja na Malias

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo Sept 23, 2026 ameungana na Mawaziri wenzake kutoka TAMISEMI pamoja na Maliasili na Utalii katika mkutano wa hadhara kutafuta ufumbuzi wa mgogoro wa muda mrefu unaohusu mipaka ya kiutawala na mpaka wa msitu wa Kazimzumbwi...
  9. figganigga

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe kulamba Ubunge wa kuteuliwa na Unaibu Waziri.. Salum Mwalimu anaamini Samia hatamtupa

    Ni Makubaliano ya kile kinachoitwa nusu Mkate kati ya ACT Wazalendo na CCM. Hii ni nafasi ambayo Mbowe alikuwa anaitamani, bahati mbaya chama chake kikasusia Uchaguzi. Hata CHAUMMA wameshiindwa kufikia lengo. Kwani walisema wana nguvu ya kuisambaratisha CHADEMA, wakaomba wapewe Chopa za...
  10. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mabasi kama sio mbunge au waziri basi achana nayo.

    Kuna biashara zengine ukiziona kwa kuambiwa au kusikia bila kuingia unaweza kusema biashara ndio hii. Kwa jinsi ilivyo sasa hii biashara ya usafirishaji ilivyo kama sio mbunge au waziri,unaweza kujikuta umefirisika. Kwa nini naeleza ili japo wengi hizi biashara asilimia kubwa wanazani ni watu...
  11. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Waziri Akwilapo azindua mpango wa KKK eneo la shamba la Mwakinyumbi Korogwe

    KOROGWE WAZIRI wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo amezindua rasmi mpango wa kupanga, kupima na Kumilikisha Ardhi (KKK) katika eneo la Shamba la Mwakinyumbi lililopo Kata ya Hale, Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga huku akiwataka wananchi wanaoishi eneo...
  12. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Waziri Makonda na Lamine Yamal uso kwa uso Jijini Barcelona

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye, Paul Makonda, amefanya ziara ya kikazi nchini Hispania ambapo ametembelea Jiji la Barcelona na kukutana ana kwa ana na nyota kijana wa mpira wa miguu duniani na klabu ya FC Barcelona, Lamine Yamal. Ziara hiyo ya kiserikali imefanyika wiki...
  13. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Usalama wa Taifa wa Israel, Itamar Ben-Gvir: awasaidie Watu wa Gaza wakae Mkao wa kuondolewa huko Gaza!!

    Waziri wa Usalama wa Taifa wa Israel, Itamar Ben-Gvir: Hali ya watu huko Gaza si nzuri. Nataka kuwatoa Gaza. Mimi ni mtu mwenye kujali utu, sawa? Ninawafanyia wema. Ninawatoa huko Kama wataendelea na ugaidi wao!!!!
  14. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Pongezi Prof. Adolph Mkenda, ni Multi Talented, Sio tuu ni Profesa, Mbunge,Waziri na Mwanasiasa, Prof. Mkenda ana Kipaji, ni Bonge la Mtangazaji!

    Wanabodi, Hili ni bandiko la Pongezi kwa Waziri wa Elimu, Prof. Adolph Mkenda, ni multi talented, Sio tuu ni profesa wa sayansi, mhadhiri wa chuo kikuu, mbunge, waziri na mwanasiasa, Prof. Mkenda pia ana kipaji cha utangazaji, nimemtazama na kumsikiliza leo, katika kipindi chake cha kwanza...
  15. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Je, Mheshimiwa Waziri hajakiuka Kifungu cha 19 cha Katiba ya FIFA?

    1\. Kwa uelewa wangu mdogo, na niko tayari kurekebishwa, Waziri wa Michezo haruhusiwi kisheria kuingilia masuala ya kibiashara au kiutawala ya Shirikisho la Soka la Taifa (FA), ikiwemo zabuni za kibiashara za jezi za timu ya taifa. 2\. Chini ya Kifungu cha 19 cha Katiba ya FIFA, mashirikisho...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Kwa mda mfupi niliokaa jamii forum hum na kwa upeo wangu mdogo nimegundua yafuatayo

    Kama hizi mbinu zote mmefeli CHADEMA ni dude kubwa 1.Divide and rule>kugawa kundi Ili lisipate nguvu ya pamoja 2.Reward and punishment>kutumia zawadi na adhabu kusimamia tabia 3.Framing>Kueleza jambo kwa mtazamo frani Ili wanaokusikiliza waelewe kwa namna hyo 4.Complomise>Kila upande kutoa...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo amuwakilisha Makamu wa Rais kwa Rais wa Mfuko wa OPEC

    Mheshimiwa Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo, (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, alimwakilisha Mheshimiwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius John Ndejembi kwenye mazungumzo na Dkt. Abudlhamid Alkhalifa, Rais wa Mfuko wa Maendeleo wa OPEC...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Sio kila kiberiti nichakutikisa, vingine nivya gesi, vitakulipukia - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba.

    Sio kila kiberiti nichakutikisa, vingine nivya gesi, vitakulipukia - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba. Ametoa kauli hiyo jana (Jumanne, Septemba 15, 2026) wakati akizungumza na wananchi wa Bariadi Mjini, mkoani Simiyu katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya CCM Saba Saba.
  19. H

    JamiiForums Tanzania Leah Masunga alivyokabidhiwa hati yake, siku moja tu baada ya agizo la Waziri Mkuu.

    Leah Masunga alivyokabidhiwa hati yake, siku moja tu baada ya agizo la Waziri Mkuu. 📍Simiyu
  20. H

    JamiiForums Tanzania Kitambulisho chenyewe kama nchi tumeingia gharama, tumeahirisha baadhi ya shughuli za maendeleo ili tutoe - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Kitambulisho chenyewe kama nchi tumeingia gharama, tumeahirisha baadhi ya shughuli za maendeleo ili tutoe vitambulisho. Lakini tunapokuwa tumetoa kitambulisho, halafu mhusika haendi kuchukua, haya ni mambo ambayo yanakwamisha malengo mapana - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba. Amesema hayo...
Back
Top Bottom