waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene ana hoja ila simuamini

    Kuna clip nimekutana nayo kwenye social media ikimuonyesha Waziri Simbachawene akieleza "Mkakati" wa Serikali kuja na "USAWAZISHO" ili wafanyakazi waweze kuishi na wenza wao. Hoja zake ni chache ila ni nzito Sana kama ifuatavyo: - Moja, kutenganisha familia kwa kigezo cha Ajira ni kinyume na...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwandamizi Israel Jenerali Ben Gantz kufanyiwa upasuaji wa goti kufuatia ajali ya baiskeli

    Wadau hamjamboni nyote? Waziri mwandamizi na Jenerali wa Jeshi la Israel Ben Gantz atafanyiwa upasuaji wa goti kufuatia ajali aliyoipata akiendesha baiskeli Kusini mwa Israel Waziri huyo amepata ajali hiyo wiki moja tu baada ya Waziri wa Usalama wa nchi hiyo takatifu Itamar Ben Gvirs Irael...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa akagua urejeshaji wa mawasiliano ya Barabara Mkuranga, aeleza mikakati ya Serikali

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa Serikali kupitia Wakala wa Barabara (TANROADS) imejipanga kuhakikisha inarejesha mawasiliano ya barabara zote na madaraja yanayoharibiwa na mvua zinazoendelea kunyesha ndani ya muda mfupi pindi yanapoharibiwa. Aidha, Bashungwa amewaelekeza...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde Atoa Masharti Magumu ya Msaada wa Kiufundi kwa Wawekezaji

    - Ni Kampuni ya Xin Tai Mining Company Limited - Awataka wafanye utafiti na kuongeza thamani kama walivyoainisha kwenye mkataba - Serikali kutoa utaratibu mpya juu ya msaada wa kiufundi(technical support) Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde ameitaka Kampuni ya Xin Tai Mining Company...
  5. JamiiForums Tanzania Naomba kujua tofauti mfano waziri mstaafu na mstaafu waziri

    Kuna tatizo kidogo kwenye kiswahili maana kwa viongozi hata wakimaliza mda wao wanatanguliza vyeo walivotumia na kumalizia mstaafu. mfano raisi mstaafu,waziri mstaafu. ila kwa wengine ijalishi ni polisi,mwalimu,dokta wanatanguliziwa mstaafu wala sio cheo alichotumikia ili linakuwaje mfano...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Usalama Israel anusurika kwenye ajali mbaya akimbizwa hospital

    Wadau hamjamboni nyote Waziri wa Usalama mwenye msimami mkali wa Israel Itamar Ben Gvir anusurika kwenye ajali mbaya ya gari na amekimbizwa hospital anakopatiwa matibabu Polisi wanaendesha uchunguzi mkali kubaini chanzo cha ajali hiyo mbaya iliyotokea leo ijumaa Mungu ibariki Israel...
  7. JamiiForums Tanzania Diwani ashindwa jaribio la kumchafua kwa makusudi Waziri Mstaafu Kawambwa huko Bagamoyo

    Diwani mstaafu wa Kiromo anayeitwa Hassan Wembe, ambaye hana historia nzuri sana, amefanya jaribio la kihuni na kuudhi kwa kumzushia tuhuma za uongo aliyekuwa waziri Awamu ya Nne, mh. Shukuru Kawambwa. Clip iliyorushwa mitandsoni na kusambaa kama moto wa nyika, ilikuwa ikimtuhumu ati Kawambwa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Jerry Silaa ana kitu, atafika mbali, abarikiwe

    Salaam, Shalom! Nimefuatilia Kwa ukaribu jinsi waziri Jerry Slaa anavyofanya katika utatuzi wa migogoro ya ardhi, japo Bado ni mapema sana kusema kuwa anafanya vizuri, lakini Kwa sasa itoshe kusema ana kitu kinachoonekana, na atafika mbali, tuendelee kumwombea. Nimesikiliza Kwa Umakini jinsi...
  9. JamiiForums Tanzania Shukuru Kawambwa kwenye mgogoro wa ardhi na diwani mstaafu, Hassani Usinga. Watishiana kufungana pingu

    Alihudumu kama Waziri kwa vipindi vyote viwili vya Jakaya Kikwete kama Waziri wa Ujenzi kisha Elimu. Dkt. Shukuru Kawambwa ambaye baada ya kuwa Lecturer UDSM akagombea ubunge wa Bagamoyo. Kwenye clip anaonekana akiburuzwa na vijana kwenye changamoto ya viwanja eneo la Bagamoyo. Mafao ya ubunge...
  10. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Israel anamlalamikia Biden kuwa anaiumiza nchi yao

    Amichai Chikli: Biden admin. doesn't project power, I would choose Republicans Jamaa analalama Biden anaiumiza Israel kwa sera na kauli zake. Ameenda mbali zaidi na kusema laiti kama angekuwa mwananchi wa US basi angempigia Trump kura yake. Anachozungumza huyu waziri wa mambo ya diaspora...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde Afuta Maombi ya Leseni za Madini 227

    WAZIRI MAVUNDE AFUTA MAOMBI YA LESENI ZA MADINI 227. -Awataka wadau kuzingatia matakwa ya Sheria -_wamiliki wa akaunti za uombaji na usimamizi wa leseni kwa njia ya mtandao ambao sio waaminifiu kusitishiwa akaunti zao -Zoezi la ufutaji wa maombi na Leseni kuwa endelevu -Amtaka kila mmoja...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Jerry Silaa, kwanini hushughuliki na maafisa ardhi? Jifunze kutoka Libya ya Gaddafi pia

    Katika muendelezo wa kile waziri wa ardhi Jerry Silaa anachokiita kliniki ya ardhi na kutatatua changamoto za ardhi ameendelea kupuuza kabisa documents/nyaraka halali za serikali na mahakama za wale wanaodaiwa kuwa ni wavamazi au wanunuzi matapeli waliojimilikisha ardhi za watu wengine. Yani mtu...
  13. JamiiForums Tanzania Argentina yatoa amri ya kukamatwa kwa Waziri wa Iran aliyelipua bomu nchini humo

    Hilo bomu alilipua mwaka wa 1994 kule Argentina...... --- The Argentinian Foreign Affairs Ministry made an official request to arrest Iranian Interior Minister and former Quds Force commander Ahmad Vahidi for his role in the 1994 AMIA bombing, the ministry announced Wednesday morning. The AMIA...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Jafo: Tanzania Bara kuingia Zanzibar kwa pasipoti ni kujirudisha nyuma

    Bunge limepitisha bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Waziri mwenye dhamana, Dkt Selemani Jafo akisema hoja ya kutaka kurejesha utaratibu wa watu wa Tanzania Bara kuingia Zanzibar kwa pasipoti ni kujirudisha nyuma. Jafo amesema hayo jana Jumanne Aprili 23, 2024 akitoa...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy ataadharisha unywaji wa pombe uliokithiri unavyochangia ongezeko la magonjwa yasiyoambukiza nchini

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema kuwa unywaji wa pombe nchini unazidi kukithiri licha wastani wa wanaokunywa kupungua kutoka 26% mpaka 20%, hali ambayo amedai kuwa imekuwa ikichangia angezoko la magonjwa yasiyoambukiza. Akizungumza leo April 23, 2024 alipokuwa akifungua mkutano wa kujadili...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa atoa miezi miwili kwa CRB na NCC kuunda Mabaraza ya Wafanyakazi

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Balozi Mhandisi Aisha Amour kuhakikisha anazisimamia Taasisi za Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC) na Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB) kuhakikisha zinaunda Mabaraza ya Wafanyakazi ambayo yanaundwa kwa mujibu wa...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima, Serikali yetu Inaruhusu Gender Reassignment Surgery?

    Jielekeze kwenye tangazo la gazeti la Mwananchi hapa chini. Kuna Daktari anaitwa Sanjay Pandey toka India anakuja nchini kufanya tiba ya mambo mbalimbali ikiwamo "gender assignment surgery" (kubadilisha jinsia). Naomba kuuliza ni lini Serikali yetu kupitia Bunge la JMT lilipitisha sera ya...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Chachu yangu ni kupata nafasi ya kudumu sekta ya afya ili niendelee kutoa huduma kwa wagonjwa

    Mimi ni kijana ninayejitolea katika moja ya hospital hapa nchini katika kitengo cha mapokezi kwa miaka zaidi ya sita napenda hii kazi ya kuhudumia wagonjwa, changamoto yangu sina uhakika wa ajira kwa hapa nilipo kwa yoyote mwenye mawasiliano hata email ya waziri wa afya tafadhali anisaidie...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa: Wanafunzi Wapewe Elimu ya Matukio ya Dharura

    Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa Viongozi na Wasimamizi wa Shule za Serikali na binafsi kutoa elimu kuhusu matukio ya dharura yanayoweza kutokea katika mazingira ya shule ikiwa ni pamoja na elimu juu ya majanga ya moto ambayo yamekuwa yakitokea...
  20. M

    JamiiForums Tanzania KERO Waziri Simbachawene ingilia kati mfumo wa ESS unakwamisha maisha ya Watumishi

    Kwa ujumla huu mfumo ni mzuri sana. Maana umeondoa ukiritimba wa maafisa utumishi kwa watumishi. Tatitizo kubwa ni kuwa sasa hivi watumishi wa umma wanatakiwa kutumia mfumo wa Ess kwa kufanya kila jambo linalowahusu. Kuanzia uhamisho, likizo, na hata appraisal. Lakini mpaka sasa huduma nyingi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…