waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Mhe. Waziri wa Afya, umepata malalamiko juu ya maziwa mapya ya Lactogen?

    Yapo malalamiko ya ubora wa maziwa mapya ya Lactogen ambayo yanatoka nchi jirani au yanatengenezwa kwa ubia na viwanda vya jirani yetu. Je, ubora wa maziwa haya ya watoto umeangaliwa vyema? Nini kimebadilika kwenye maziwa hayo? Kwanini maziwa ya Lactogen manufacturer France yamepotea sokoni...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya, Dorothy Gwajima na Mumewe wakipiga nyungu na kufanya mazoezi

    Mazoezi ni muhimu Mazoezi ni Afya Mhesh Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto leo Februari 7, 2021 ameshiriki mazoezi pamoja na Mumewe Wakili Gwajima.
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Jafo: Asiyekuwa na kitambulisho au hana kundi asiruhusiwe kufanya biashara

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo amewapa wiki mbili Viongozi wa Sekretarieti za Mikoa, na Mamlaka za Serikali za Mitaa kuhakikisha kuwa ndani ya wiki mbili kuanzia sasa wawe wamesimika mfumo wa kutambua orodha ya majengo na mabango yaliyopo...
  4. JamiiForums Tanzania Mbunge anasema hakujawahi kuwa na chanjo ya Malaria; Waziri msomi yuko kimya. Ukweli tujitizame, kuna mahali hapako sawa

    Nimemsikiliza Mbunge mmoja bungeni jana kama sijakosea ni Mbunge wa Maswa, akisema Wazungu wanabagua aina ya magonjwa na chanjo zake ili watufanyie biashara. Akatolea mfano wa Malaria kuwa hawajawahi kutafuta chanjo huku wakijua ndiyo inauwa watu wengi Afrika. Na, wanahangaika na chanjo ya...
  5. JamiiForums Tanzania Video: Hili ndio Bunge la viwango la kijani la awamu hii, msikilize Waziri wa Afya

    Ni vituko juu ya vituko !
  6. JamiiForums Tanzania Hatimaye waziri shoga nchini Marekani ala kiapo kulitumikia Taifa

    Moja ya mambo yanayoleta utofauti kati ya Donald Trump na huyu American presida wa sasa Joseph Biden ni msimamo katika baadhi ya mambo. Twende kwa mada; Masaa machache yaliyopita makamu wa Rais wa marekani mwanamama Kamala Harris, amemwapisha waziri wa usafirishaji na miundombinu nchini humo...
  7. JamiiForums Tanzania Baraza la kwanza la Mawaziri, Mwalimu Nyerere akiwa Waziri Mkuu

    HILI NDILO BARAZA LA MAWAZIRI LA KWANZA KABISA KWA SERIKALI YA TANGANYIKA BAADA YA KUPATA UHURU MWAKA 1961. Baraza hilo lilikuwa na Waafrika 8, Wazungu 2 na Mhindi 1, Jumla Mawaziri walikuwa 11. Siku hiyo ya uhuru ilipigwa picha ya Baraza hilo la Mawaziri. Katika picha hiyo, anakosekana Sir...
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Maswali matatu kwa Waziri wa Afya

    Ndugu Waziri wa Afya, naomba kukuuliza MASWALI matatu tu ili nisikuchoshe. Nikiwa mwananchi wa nchi hii ninahitaji majibu sahihi kutoka kwako tena yawe ya kitaalamu na si ya kisiasa: 1) Je, korona ipo au haipo hapa Tanzania, na kama ipo Ni ya aina gani, ya China au ya South Africa? 2) Je...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mpango anapaswa kujibu swali la Hawa Mchafu kwa vitendo

    Nimekutana na clip ya sessions za bunge kuhusu swali tata lakini genuine la Hawa Mchafu ambalo limehoji very specific kwa nini fedha za dawa na fedha za deni la MSD hazijapelekwa kulipia dawa. Swali hilo limejibiwa na Waziri wa afya ingawa majibu hayajajotosheleza sababu kubwa ya majibu...
  10. JamiiForums Tanzania CHADEMA wawasha moto Bungeni, Bulaya auliza swali zito kwa Waziri, Mdee naye ajiandaa

    Kwa sisi wakazi wa Bunda hii barabara ni muhimu sana. ===== Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA Ester Bulaya, leo ameingia Bungeni pamoja na baadhi ya wabunge wenzake wa chama hicho na kueleza kuwa suala la kutokamilika kwa ujenzi wa miundombinu ya barabara limekuwa ni tatizo sugu na kuhoji...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania yasema haina mpango kupokea chanjo za Covid19

    Serikali kupitia Wizara ya afya imesema kuwa haina mpango wa kupokea chanjo ya Covid19 ambayo imekuwa ikiripotiwa kuwepo na kutumika katika mataifa mengine. Hayo yamesemwa leo Jumatatu Februari Mosi, 2021 na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Doroth Gwajima wakati...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima afafanua dawa ya asili ya Corona (NIMRCAF), waweza itengeneza mwenyewe nyumbani

    Waziri wa Afya Dk Gwajima azindua dawa ya Asili ya Corona waweza itengeneza mwenyewe nyumbani MCHANGANIKO WA DAWA LISHE NA MITI DAWA KWA AJILI YA TIBA YA KORONA Namna ya kuandaa DAWA LISHE Mahitaji: 1 Tangawizi ya urefu wa kidolegumba chako vipande 5 2 Kitunguu swaumu punje 10 3 Pilipili...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Kalemani: Tanzania itakuwa nchi ya kwanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika!

    Waziri wa nishati mh Kalemani amesema Tanzania itakuwa ni nchi ya kwanza itakapoanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika. Kalemani alikuwa akikagua ujenzi wa reli ya SGR na miundombinu yake ya umeme na amesema Tanesco imetenga megawatt 70 kwa ajili ya mradi huo. Ukaguzi huo umefanyika mjini...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri mkuu wa DRC, Sylvestre Ilunga ajiuzulu

    Sylvestre Ilunga Ilunkamba amejiuzulu rasmi kama waziri mkuu wa Jamuhuri ya kisemokrasi ya Congo, na kuwasilisha barua yake kwa Rais Félix Tshisekedi. Bw Ilunga, ambaye ni mshirika mkuu wa mtangulizi wa Rais Tshisekedi, Joseph Kabila, ameongoza baraza la mawaziri la serikali ya Muungano kwa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Nimefuatilia ziara ya waziri Gwajima mikoani, kiukweli madudu ni mengi. Yule Ummy alikuwa anapiga siasa tu!

    Kila eneo analopita waziri wa afya Dkt. Gwajima katika ziara zake mikoani ni vilio tu, wananchi wanalalamikia Huduma hafifu, uhaba wa dawa nk. Kiukweli hii wizara ina madudu mengi sana na sielewi waziri aliyetangulia Da Ummy Mwalimu na wasaidizi wake walikuwa wanafanya kazi gani!? Chapa kazi...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna Video iliyokuwa ikionesha Polisi/traffic wa Inyala, Mbeya wakimshusha kwa nguvu dereva wa lori. Polisi wadai amekufa kwa homa ya mapafu

    Salaam wakuu, Kumekuwa na video mitandaoni ikionesha polisi/traffic wa Inyala, Mbeya wakimshusha kwa nguvu dereva wa lori na kumuangusha chini, na baada ya hapo imeripotiwa dereva huyo amefariki. Tunaomba mamlaka husika itolee majibu sintofahamu hii, na ni nini kinachopelekea matumizi ya nguvu...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kigwangalla amuomba Rais Magufuli kutolea kauli ombi walilompelekea Waziri Bashe, lakini Bashe apangua hoja kwa data!

    Leo Rais Magufuli amesimama katika mji wa Puge na kumtaka mbunge wa Nzega vijijini kuelezea matatizo ya jimbo hilo. Ndipo alisimama mh Kigwangalla na kusema wao walipeleka ombi la kujengewa scheme ya umwagiliaji kwa naibu waziri wa kilimo mh Bashe lakini kwa kuwa Rais Magufuli yupo jimboni hapo...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu, Waziri wa OR- TAMISEMI na Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) watumbueni Wakuu wa shule za sekondari mijini

    Ndugu wana Jf ,habari za wakati huu na hongereni kwa kuuona mwaka mpya 2021.Nami pia ninawatakieni kheri ya mwaka huu! Hili ni chapisho langu la kwanza kwa mwaka huu 2021 tangu nilipoonekana humu kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Kama mada yangu inavyojibeba kupitia jina lake,ningependa...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwambe: Mafuta ya kula yako ya kutosha upandaji bei umesababishwa na kupanda production cost huko nje!

    Waziri wa viwanda na biashara mh Mwambe amesema kuna stock ya kutosha ya mafuta ya kula nchini hivyo wananchi wasiwe na wasiwasi wowote. Mwambe amesema wanatafiti kujua kwanini wafanyabiashara wanapandisha bei lakini taarifa za awali ni huenda gharama za uzalishaji huko nje zimepanda. Chanzo...
  20. JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango awataka watumishi fedha kujihadhari na Corona

    Waziri wa Fedha na Mipango Dk Philip Mpango, amewataka watumishi wa wizara hiyo kuchukua tahadhari zote kuhusu ugonjwa wa corona, licha ya kukiri kuwa Tanzania haina maambukizi ya virusi hivyo kwa sasa. Dk Mpango alitoa kauli hiyo jana wakati akifungua mkutano wa baraza la wafanyakazi wa Wizara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…