waziri mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya Kijeshi Mali: Rais Ibrahim Boubacar Keita na Waziri Mkuu Boubou Cisse watiwa nguvuni na Vikosi vya Jeshi

    Habari! Kulingana na vyanzo mbalimbali vya taarifa hivi sasa ninapoandika haya, kuna uwezekano wa kutokea kwa Mapinduzi ya Kijeshi nchini Mali ambapo kumekuwa na mvutano mkubwa kati ya Serikali na vikosi vya Jeshi nchini humo. Taarifa zaidi zitafuata hapo baadaye! ==== SASISHO: Katibu Mkuu...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa "amekosea" kwamba Tanzania inaongoza Afrika kusambaza umeme kiwango cha 80% kwa sababu sio kweli

    Siamini kwamba kauli ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwamba Tanzania inaongoza Afrika kwa kusambaza umeme ameitoa yeye mwenyewe bila kuongozwa na washauri. Na kama ni washauri wake wamempa hizo taarifa potofu basi wanapaswa kuwajibishwa kwa kusababisha Waziri Mkuu kutoa kauli ya "uwongo" bila...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu anapohubiri amani wakati Jimboni kwake Wagombea wa Upinzani wakifanyiwa vitendo vya kinyama

    Leo nimemsikiliza waziri mkuu ndugu Majaliwa akiwa kwenye kongamano la viongozi wa dini la kuisifu serikali. Waziri Mkuu ameutangazia umma wa Watanzania kuwa serikali italinda Amani wakati wote hata kipindi cha uchaguzi mkuu, na akataka siasa za kistaarabu. Wakati akiyasema hayo, viongozi wa...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa ashangaa kukuta wanafunzi wanakaa chini Mkuranga, atoa wiki mbili madawati yapatikane!

    Waziri mkuu mh Majaliwa amefanya ziara ya kushtukiza katika moja ya shule za wilaya ya mkuranga na kukuta wanafunzi wa msingi na sekondari wamekaa chini. Mh Majaliwa ameshangazwa na hali hiyo na kutu muda wa wiki mbili madawati yapatikane na watoto wote wakae. Majaliwa amesema wilaya hiyo ina...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 ACT Wazalendo: Mgombea Ubunge wetu jimbo la Ruangwa avamiwa na kutekwa akiwa nyumbani kwake. Apatikana akiwa ametupwa porini Mkuranga

    UTEKAJI UMERUDI NCHINI TAARIFA KWA UMMA TUMECHOSHWA NA UNYAMA HUU Chama cha ACT-Wazalendo kimepokea kwa mshutuko taarifa za kuvamiwa, kutekwa akiwa nyumbani kwake na baadaye kupelekwa kusikojulikana mwanachama wetu, Joackim Gerion Ng’ombo na watu ambao hawajafahamika. Ng’ombo ambaye alishika...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Jimbo la Ruangwa tumuache Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa apite bila kupingwa

    Wana Lindi wenzangu habari Leo nimependa niwakumbushe wakati tunaenda katika uchaguzi mkuu , Nina waomba Wana Lindi bila kujali ITIKADI, Jimbo la Ruangwa tumuache waziri mkuu ,mhe KASIMU MAJALIWA apite bila kupingwa ,ni heshima Kwa mikoa yetu ya kusini, Sisi sio wa Kwanza kufanya hivyoo Mikoa...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu ametoa muda wa wiki moja kwa Wizara ya Elimu kubaini vyuo ambavyo vimeshindwa kuwasilisha michango ya wanafunzi katika Mfuko wa Taifa Bima

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa muda wa wiki moja kwa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kukutana na Wakuu wa Vyuo Vikuu nchini ili kubaini vyuo ambavyo vimeshindwa kuwasilisha michango ya wanafunzi katika Mfuko wa Taifa Bima ya Afya (NHIF) licha ya wanafunzi kulipa fedha hizo. “Katibu...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Kauli ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ya kusema Wagombea wa Upinzani wasiwachafue wagombea wa chama tawala una lengo la kutaka kuwatisha

    Habari kubwa kwenye magazeti ya Leo ni kauli aliyoitoa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ya kuwapiga mkwara mzito, wagombea wa vyama vya upinzani kuwa wasitumie majukwaa ya kisiasa katika kipindi hiki cha kampeni kuwachafua wagombea wenzao. Ingawa hakuwataja kwa majina wagombea hao, ni dhahiri...
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA ni lazima ioneshe mshikamano juu ya mgombea mmoja, Lissu awe Waziri Mkuu

    Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu wana CHADEMA kwa umoja wetu ni lazima tukae na tufikiri kwa kina Bwana B Membe tumpishe kwa nafasi ya Urais na Ndg yetu Lissu aje kukaa kwa nafasi ya Uwaziri Mkuu kwa makubaliano ya kimaandishi kabisa although kushinda huwa ni ndoto ya mfalme juha kutokana...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Utekelezaji wa maagizo ya Mh. Waziri Mkuu kuhusu kampeni za kistaalabu.

    Ndugu wapendwa nawasalimu kwa majina makuu. Waziri Mkuu ametoa maelekezo kuwa tufanye kampeni za kistaalabu zisizo beza, kashfu au tukana mtu au vitu vilivyofanywa na seriali. Naomba wenye clip, au matamko yakistaalabu yaliyotolewa na wana CCM dhidi ya wapinzani ili tuone mfano wa yanayotakiwa...
  11. JamiiForums Tanzania Kifo cha Rais Mkapa: Burundi yatangaza siku 3 za maombolezo kuanzia leo. Waziri Mkuu wake afika kuhudhuria msiba

    Serikali ya Burundi imetangaza siku 3 za maombolezo kufuatia kifo cha Rais mstaafu wa Tanzania Benjamin Mkapa. Kwa siku zote tatu Bendera zitapepea nusu mlingoti ikiwa ni kuanzia leo, jumatatu.
  12. JamiiForums Tanzania Uchumi wa Kati: Waziri Mkuu akisalimiana na bibi Asumin Milanzi huko Ruangwa

    Waziri Mkuu Mh Kasim Majaliwa alikuwa kwenye ukaguzi wa mradi wa kisasa wa kilimo cha mboga mboga. Hawa ndio Watanzania wa uchumi wa kati. Pichani akisalimiana na bibi Asumini ambaye ni mpiga kura wa Ruangwa.
  13. P

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Waziri Mkuu wa Ivory Coast afariki dunia baada ya kuzimia kwenye kikao

    Waziri Mkuu wa Ivory Coast, Amadou Gon Coulibaly amefariki dunia ghafla baada ya kuzimia, Bw Coulibaly alizimia ghafla wakati akiwa kwenye kikao cha Mawaziri Baada ya kuzimia alichukuliwa ni kukimbizwa Hospitalini ambako baada ya muda alitangazwa kuwa amefariki Bw Coulibaly alikuwa anatarajiwa...
  14. JamiiForums Tanzania Aibu: Ziara ya Waziri Mkuu Tunduma yageuka Mkutano wa Kampeni, Silinde na Mwambe wahutubia

    Tunaposema CCM imekufa huwa hatubahatishi, Mh Kasimu Majaliwa ambaye yuko Tunduma kwa kinachoitwa ziara ya ukaguzi wa ujenzi wa hospitali ya Mji wa Tunduma, hatimaye ametimiza kile kilichompeleka hasa ambacho ni kutafuta uwanja wa Msaliti Silinde kuhutubia baada ya kubainika kwamba, kwa sasa...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Tuongezee bidii ili tufikie uchumi wa juu

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewataka Watazania waendelee kazi kwa bidii ili nchi iendelee kukua kiuchumi na kufikia uchumi wa juu kwa kuwa tayari imekuwa ya uchumi wa kati. “Kama ni mkulima lima kwa bidii, mtumishi wa umma fanya kazi kwa bidii, mlio viwandani fanyeni kazi na mamalishe nanyi...
  16. JamiiForums Tanzania Je, hizi Ratiba nyingi za Kikazi na Mizunguko za Waziri Mkuu Kassim Majaliwa zinazingatia pia na Kujali Afya yake kama Kiongozi Mwandamizi nchini?

    Napenda sana na mno Uchapakazi wake Waziri Mkuu wa sasa ( Awamu hii ya Tano ) Mheshimiwa Kassim Majaliwa Kassim ila kuna mahala kama vile naona hapako sawa hasa upande wa mlundiko wa Ratiba zake nyingi ambazo zinahusisha Kusafiri kwa Gari au Ndege ndani na nje ya nchi pasipo hata Kupumzika. Je...
  17. JamiiForums Tanzania Mfahamu Waziri Mkuu wa zamani wa Israel bwana Ariel Sharon aliyelazwa kwenye Coma kwa miaka 8

    Alikuwa Waziri Mkuu wa Israel mwaka 2001. Amekuwa mahututi tangu mwaka 2006 kufuatia mfululizo wa matatizo ya kiharusi. Ariel Sharon alikuwa askari wa vita na baadae kuwa kiongozi wa nchi. Alipokuwa mwanajeshi, alijulikana kwa ushujaa wake katika uwanja wa mapambano kwa miongo kadhaa kufuatia...
  18. JamiiForums Tanzania Selemani Jaffo jiandae Kuulizwa uwe Waziri Mkuu 2020 hadi 2025 uchukue nafasi ya Kassim Majaliwa au uandaliwe kuwa Rais 2025 hadi 2035

    Kuanzia sasa Ndugu Selemani Jaffo jiandae kuwa na Majibu Kamili juu ya hayo Mambo Mawili makubwa niliyokuambia katika headline yangu hapa.
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Tumetengeneza ajira laki 6.5 | Rais: Tumetengeneza ajira milioni 6+; Nani tumwamini?

    Waziri mkuu wakati akitoa hotuba ya kuaga bunge alisema ametengeneza ajira laki 6.5, Jana Mheshimiwa, mkuu, mtukufu Rais kasema wametengeneza ajira milioni 6+. Nataka kujua, nimesikia vibaya au? Na nani nimwamini? Na hizo ajira milioni 6 za nchi hii au wapi?
  20. JamiiForums Tanzania UTABIRI: Ndugai kuwa Naibu Waziri Mkuu ajaye na Tulia kuwa Spika wa Bunge lijalo

    Mheshimiwa Ndugai hongera kwa kuumaliza mwendo vyema na kwa hakika ulimfaa sana JPM katika yote na ulijua vyema kucheza ngoma ya bwana mkubwa huyo. Kwahivyo, kwa yote mema ni rasmi unaenda kuwa na cheo alichopata kuwa nacho ndugu Augustine Mrema. Na kila lililo la kheri mwanadada Tulia kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…