waziri mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Waziri Mkuu wa Australia aonya waAustralia wasijaribu kwenda pigana na majeshi ya Russia nchini Ukraine

    Waziri Mkuu wa Australia kawaonya raia wa nchi yake wasijaribu kusafiri kisirisiri kwenda kupewa silaha na rais wa Ukraine ili kupigana na majeshi ya Russia. Onyo hilo la Waziri Mkuu limejiri baada ya rais wa Ukraine kuomba msaada wa raia wa nchi nyingine waende Ukraine wakasaidie kupambana...
  2. Waziri Mkuu auponda mpango wa kutumia viberenge kupanda Mlima Kilimanjaro

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka wadau wanaopendekeza matumizi ya viberenge katika kupanda Mlima Kilimanjaro kutathimini kwa kina mpango huo ambapo ameonyesha kutoridhia mikakati hiyo. "Nasikia mnataka kuweka kiberenge cha kupanda Mlima Kilimanjaro, mnataka kuua mlima? Mkiweka...
  3. J

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye kongamano la Wamachinga kitaifa na uzinduzi Wamachinga Saccos

    KONGAMANO LA WAMACHINGA KITAIFA NA UZINDUZI WA MACHINGA SACCOS Shirikisho la Wamachinga (SHIUMA) Kwa kushirikiana na Machinga Mkoa wa Dar es salaam wanakukaribisha kushiriki (kufuatilia) Uzinduzi wa Machinga SACCOS utakaofanyika katika kongamano la Kitaifa la Wamachinga. Saccos ya Wamachinga...
  4. M

    Waziri Mkuu kuna Ufisadi wa Kutisha AUWSA, tuma kamati

    Mheshimiwa Waziri Mkuu tunakusalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Waziri Mkuu kuna Ufisadi wa Kutisha katika Miradi ya Maji inayosimamiwa na Mamlaka ya Maji Arusha ( AUWSA), Hizi Taarifa zimefika PCCB Arusha, Bodi ya AUWSA chini ya DR Masika Kwa Waziri wa Maji Ndg Juma Aweso...
  5. M

    Waziri Mkuu Kassmu Majaliwa awanyooshea kidole TARURA, awataka kusimamia miradi kwa weledi na uaminifu

    MAJALIWA : TARURA SIMAMIENI MIRADI KWA WELEDI NA UAMINIFU === WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaagiza wahandisi wa TARURA wasimamie miradi kwa weledi, uadilifu na uaminifu huku wakizingatia mikataba husika na pia wawe wabunifu kutumia teknolojia mpya, sahihi na rafiki kulingana na upatikanaji wa...
  6. TANZIA Dkt. Mwele Ntuli Malecela afariki Dunia, aligombea Urais wa JMT 2015

    Mwele Ntuli Malecela (alizaliwa tarehe 26 Machi 1963) alikuwa mkurugenzi wa taasisi ya tafiti za kiafya Tanzania (NIMRI). Aliwania nafasi ya mgombea wa uraisi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015. Kuanzia Aprili 2017 Mwele Malecela amekua akifanya kazi na...
  7. Kuhusu Kusafiri Usiku; Waziri Mkuu awaagiza ama RC, DC

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameliagiza Jeshi la Polisi kupitia kamati za ulinzi na usalama za mikoa na wilaya ziendelee kufanya tathimini juu ya utoaji wa vibali vya mabasi ya abiria kusafiri usiku. Majaliwa alikuwa akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum Sophia Mwakagenda katika kipindi cha...
  8. M

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aagiza Wabunge wote waelezwe kinachoendelea Ngorongoro

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Maliasili na Utalii iandae semina kwa wabunge wote ili kujenga uelewa wa pamoja kuhusu yanayoendelea katika hifadhi ya Ngorongoro. Mheshimiwa Majaliwa ametoa maagizo hayo leo (Jumatano, Februari 9, 2022) wakati alipochangia taarifa ya Kamati ya...
  9. M

    GSM acheni kuwatumia Wasemaji na Wazee wa Yanga SC Kuwachafua Waziri Mkuu Majaliwa na Rais wa TFF Karia kwa Maslahi yenu ya Kibiashara

    Nimependa nilipoona TFF imetoa ONYO juu ya Upuuzi huu wa Wasemaji na Wazee wa Yanga SC ila nashangaa na nasikitika mpaka leo Wizara husika ya Utamaduni, Sanaa na Michezo na BMT wakiwa Kimya kitu ambacho ni Hatari na kinaweza kuibua Hisia Mbaya juu yao. Baada ya GSM kuona Mkakati wao Kufeli...
  10. Waziri Mkuu wa Libya, Abdulhamid Dbeibah, anusurika kuuawa baada ya msafara wake kushambuliwa

    Picha: Waziri Mkuu wa Libya, Abdulhamid Dbeibah Watu waliokuwa na silaha wameshambulia msafara wa Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Abdulhamid Dbeibah Jijini Tripoli. Shambulio hilo linakuja wakati kuna mvutano mkali kuhusu udhibiti wa Serikali. Dbeibah ambaye ametoka salama baada ya tukio hilo...
  11. J

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amuagiza IGP Sirro kuwasimamisha kazi Mabosi wa Polisi Mtwara na Kilindi kupisha uchunguzi wa mauaji

    Waziri Mkuu mh Majaliwa amemuagiza IGP Sirro kuwasimamisha kazi RPC na RCO wa Mtwara na OCD na OCID wa Kilindi Tanga ili kupisha uchunguzi wa Tume aliyoiunda. Pia, Waziri Mkuu Mkuu Kassim Majaliwa ameunda timu maalum ya watu 9 yenye watu kutoka ofisi mbalimbali za serikali ambayo imepewa...
  12. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aagiza zawadi ya cheni aliyopewa mkewe iuzwe ili kujenga bweni la Wanafunzi Simanjiro

    MAJALIWA AAGIZA CHENI YA MKE WAKE IUZWE. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameishukuru kampuni ya Tanzanite Forever Lapidary (T) LTD ya mkoani Manyara,kwa kumzawadia mkewe, Mama Mary Majaliwa mkufu wa Tanzanite. Hata hivyo,Waziri Mkuu ameagiza mkufu huo uuzwe, ili ipatikane fedha,itakayosaidia...
  13. Wakati Uingereza wanashinikiza Waziri Mkuu wao ajiuzulu, sisi hapa Tanzani, Polisi anamchoma sindano mfanyabiashara na kumuua tumekaa kimya!

    Ni jambo la kushangaza Sana, wakati wananchi wa Uingereza wakiandamana na kushinikiza Waziri Mkuu wao, Boris Johnson, ajiuzulu kwa ajili tu ya wafanyakazi wa Ikulu walifanya karamu wakati wa corona, hapa kwetu nchini, imedaiwa kuwa Askari Polisi amemchoma sindano ya sumu, mfanyibiashara, wa...
  14. Raia wa Rwanda ambao hawajachanjwa hawataruhusiwa maeneo ya umma - Waziri Mkuu

    Baadhi ya watu wamekimbia nchi ili kuepuka chanjo ya corona Baadhi ya watu wamekimbia nchi ili kuepuka chanjo ya coronaImage caption: Baadhi ya watu wamekimbia nchi ili kuepuka chanjo ya corona Raia wa Rwanda na wakazi lazima wawe wamepewa chanjo kamili dhidi ya Covid ili kuruhusiwa kufika...
  15. Uingereza: Barakoa hazitakuwa lazima, kufanya kazi tokea nyumbani kufikia tamati

    Waziri Mkuu wa Uingereza ametangaza kuwa uvaaji wa barakoa na sheria nyingine za kujikinga dhidi ya COVID-19 zitatupiliwa mbali baada ya nchi hiyo kuwa na maambukizi madogo ya corona baada ya kupata chanjo ya nyongeza. Kuanzia Januari 26 hakutakuwa na ulazima wa kuvaa barakoa shuleni na maeneo...
  16. Afghanistan: Kaimu Waziri Mkuu asema Uongozi wa Taliban umekidhi vigezo, utambuliwe kimataifa

    Mullah Hasan Akhund anayekaimu nafasi ya Waziri Mkuu wa Nchi hiyo amesema Utawala wa Taliban umekidhi vigezo vyote hivyo itambuliwe na Serikali za Kimataifa Akhund ameeleza hayo katika hotuba yake ya kwanza tangu akaimu nafasi hiyo Septemba 2021. Serikali zimekuwa zikisita kuitambua #Taliban...
  17. Uingereza: Waziri Mkuu Johnson aomba radhi kwa sherehe ya unywaji pombe

    Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson ameomba radhi kwa kushiriki katika sherehe ya kunywa pombe iliyofanyika katika bustani ya ofisi yake wakati nchi hiyo ilipokuwa chini ya vizuizi vikali vya watu kujumuika. Hata hivyo, kiongozi huyo amepuuza miito ya upinzani ya kumtaka ajiuzulu...
  18. Waziri Mkuu haondolewi kirahisi mnavyodhania. Akiondolewa Baraza la Mawaziri linavunjwa lote

    Mnapiga ramli juu ya PM Kassim kuondolewa mnadhania ni rahisi kama mnavyodhania? Akiondolewa basi mtambue kuwa baraza zima linavunjwa na raisi anateua na kuapisha upya. Someni ibara ya 57(2)(e) ya katiba ya JMT na muache kukurupuka kupiga ramli za kishamba.
  19. Kama kweli Rais Samia alimaanisha hicho, basi huenda Lukuvi ni Waziri Mkuu anayengoja kuapishwa

    Kama Rais Samia kile alichokisema kuhusu Lukuvi (kuwa amemtoa kwenye uwaziri na sasa anamleta ikulu kuja kumsaidia kuwasimamia mawaziri, na atampa kazi maalum ambayo watanzania tusubiri kuja kutangaziwa) basi huenda ikawa ni nafasi ya uwaziri mkuu! Huenda kinachofanyika sasa ni kupima upepo wa...
  20. Kikatiba, Waziri Mkuu ndiye Msimamizi wa Mawaziri wote. Sasa Lukuvi na Kabudi watasimamia Mawaziri vipi?

    Rais Samia leo amesema amewaondoa kwenye baraza la mawaziri Lukuvi na Kabudi ili wabakie ikulu kuwasimamia (kuwachapa viboko!) mawaziri wengine wote. Pia Rais Samia amesema nafasi za Kabudi na Lukuvi haziko popote kwenye muundo wa serikali (yaani haziko kikatiba). Sasa hoja iko hapa. Katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…