wazi

Bug Juice is a Disney Channel reality series that premiered on February 28, 1998. The series focuses around 20 kids and their experiences at summer camp. Together, the kids work hard to excel in their activities and become friends. The phrase bug juice is a camping slang term for a very sweet juice drink made from powdered mixes, such as Kool-Aid, which are often served at summer camps.On August 4, 2017, Disney Channel announced a revival series based on the original, titled Bug Juice: My Adventures at Camp, which premiered on July 16, 2018.

View More On Wikipedia.org
  1. CONSCIOUS1996

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi: Tutasema Freeman Aikael Mbowe sio gaidi

    Tutasema " FREEMAN AIKAEL MBOWE SIO GAIDI" Kwako mhe. Freeman Aikael Mbowe. Ninapokuwa katika umri wangu huu wa karibu robo karne hakuna siku imewai kupita sijasikia jina Freeman au Mbowe maishani mwangu aidha niwe ndani ya nchi au nje ya nchi, aidha niwe online au offline. Tutasema " FREEMAN...
  2. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania NEC: Jimbo la Konde lipo wazi

    Dar es Salaam. Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imelitangaza Jimbo la Konde huko Pemba kuwa wazi baada ya mbunge mteule, Sheha Mpemba Faki kutangaza kujiuzulu kabla ya kuapishwa na taratibu za kujaza nafasi hiyo zitatangazwa hivi karibuni. Taarifa iliyotolewa leo na Mkurugenzi wa Uchaguzi, Dk...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais Samia Suluhu na timu ya Corona fanyeni haya kuboresha mapambano dhidi ya COVID19

    Mheshimiwa Rais, naomba nikupongeze kwa nia yako nzuri ya kuleta mbadiliko chanya katika ustawi wa taifa. Ama nikupongeze kwa juhudi kubwa unazofanya katika kuendeleza juhudi na upekee wa aliyekuwa rais wa JMT wa awamu ya 5 Rais John Pombe Magufuli. Muendelezo huu ni pamoja na kuboresha pale...
  4. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania CCM tuseme wazi kuwa tunaogopa katiba mpya, tuche visingizio vya kujenga uchumi kwanza

    Hii habari ya kusema eti kipaumbele ni kujenga uchumi kwanza wakati Magufuli pia alisema hivyo hivyo matokeo yake miaka mitano ikapita hajafanya lolote. Tusiwadanganye wananchi na wala tusitafute huruma yao, ni uchu wetu wa madaraka tu hakuna kiingine. Mnahisi na mnaufahamu udhaifu wa chama...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania hakuna Chama cha Upinzani bali wachumia tumbo

    Wananchi wengi wa kawaida na hata viongozi wa kada ya chini ya vyama wanaamini kuwa wanaviongozi wa upinzani mbele yao kumbe wanawasindikiza wachumia tumbo sikuzote hapa Tanzania. Kwanini basi: Tangia kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi hapa nchini mwaka 1992 makanjanja kibao walitokea CCM na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe: CHADEMA Isikubali kuonewa

    Ndugu Freeman! Mara nyingi umesikika ukitaka sana siasa za uungwana, siasa za akupigaye shavu la kushoto basi mgeuzie la kulia. Hilo ni jambo zuri lakini hiyo falsafa yako inafanya kazi katika nchi za watawala ambao ni sober minded, siyo katika nchi ambayo watawala wameamua liwalo na liwe kwenye...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Polisi, Madaktari na Mahakama wanavyoshughulikia kesi za kubaka watoto ni wazi Tanzania ni 'banana republic'. Inasikitisha, inatia hasira na aibu

    Hebu fikiria. Mtoto wako wa miaka sita anatoka shule. Akiwa njiani mjinga fulani mwenye akili mbaya kuliko mnyama anamkamata na kumvutia porini, kisha anambaka na kumuumiza sana. Mtoto huyu wa miaka sita analia kwa maumivu, lakini mbakazi anamziba mdomo na kumtishia kumuua ikiwa ataendelea...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa lawama anazopewa Hayati Magufuli na Antony Diallo wa Sahara Media ni wazi CCM ya 2015 - 2021 ina Dhambi za Dhuluma

    Kama muda huu unatizama 'Mubashara' Star Tv Mahojiano ya Mmiliki wa Sahara Media na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza Tajiri Antony Dialo huhitaji Elimu Kubwa kujua ya kwamba 'ameteseka' sana na 'kudharauliwa' mno na uliokuwa Utawala wa Hayati Rais Dkt. Magufuli na CCM yake. Na 99% ya Mazungumzo...
  9. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mbowe & CHADEMA: Kajipangeni Upya

    Kwako Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA Ni wazi CDM mnapoteza focus maana Kama alivyosema E Lowassa mwaka 2015 kuwa Chama chenu ni wana harakati zaidi kuliko wanasiasa. Wanaharakati huenda na matukio wakati wanasiasa huenda na mikakati. Kuna mabadiliko makubwa ya kisiasa, kijamii na...
  10. Dam55

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli za Mbowe na Mdude ni wazi Ole Sabaya ataachiwa huru

    Ni suala la muda tu na kujipa subira kidogo tutajionea kwa macho yetu Mungu akitupa uzima. Jana tulishuhudia mh. Mbowe akitamka kauli tata zenye vitisho na amri dhidi ya Rais wa nchi. Swali jiulize kama Rais wa nchi anatamkiwa maneno kama yale hadharani je vipi kuhusu mkuu wa wilaya tena pale...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Xinjiang machoni mwangu: Mandhari ya kuvutia ya milima ya Tian Shan mjini Xinjiang yaniacha kinywa wazi

    Katika safari yangu ya mkoa unaojiendesha wa Xinjiang Uygur, nimebahatika kutembelea kwenye vivutio kadhaa, ila cha kwanza ambacho nina hamu sana ya kukielezea na ambacho kiliniwacha kinywa wazi kwa kushangaa ni mlima maarufu sana wa Tianshan. Ilituchukua takriban mwendo wa saa mbili hivi hadi...
  12. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Ni wazi Hakimu Michael Mteite na Thomas Simba walitoa hukumu zenye utata dhidi ya Sugu na akina Mbowe

    Mwezi Februari mwaka 2018 Hakimu Michael Mteite wa Mbeya alimukumu Mbunge Joseph Mbilinyi (CHADEMA) miezi 5 jela kwa kosa la kumkashifu Rais wa Tanzania. Hukumu hiyo ilitenguliwa mnamo April 2018 na JAJI UTAMWA wa Mahakama Kuu Kanda ya Mneya baada ya Sugu kuwasikisha ombi la rufaa. Mnamo...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa DG wa TAKUKURU

    Kamanda heshima yako, Napenda kukufahamisha kuwa tumekutumia email ya malalamiko dhidi ya maofisa wako wanajihusisha na vitendo vya rushwa. Email hii tuliyokutumia tumetumia dgeneral@pccb.go.tz. Tumeona tukutumie ujumbe kupitia jf hapa kwani tunaamini wewe unapitia hapa lakini pia uenda hiyo...
  14. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kama hiki wanachoshangilia CHADEMA ni tumaini jipya ni wazi kuwa hawajitambui

    Kila mwana CHADEMA sasa hivi anasikika akinog'ona kwa maneno na maandishi. Mama ndio kiongozi maana amerudisha uhuru wa kuongea na kufanya ziara za kisiasa. Pia, wanafurahi sana pale wanapoona askari wa miguu (infatry soldiers) waliokuwa bega kwa bega na JPM wakipata madhira. Mbaya na isiyofaa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Ally Saleh akatazwe kugombea Urais TFF? Ni ubaguzi wa wazi

    Tanzania ni muungano wa nchi mbili yaani Tanganyika na Zanzibar. Hilo halina ubishi kabisa. Pia ni kweli Zanzibar tunacho chama cha soka yaani ZFA. ZFA ni mwanachama wa CECAFA NA CAF lakini wamekataliwa kuwa wanachama wa FIFA KWA SABABU SIO NCHI HURU. Kwa kuwa FIFA wameamua hivyo kutokana na...
  16. Z

    JamiiForums Tanzania Ni wazi Serikali haina mikakati ya tatizo la Ajira kwa vijana

    Wanasiasa wote ndani ya CCM na upinzani wamekuwa wakilitaja tatizo la ajira lakini kwa hotuba ya leo ya Rais Samia, ni wazi serikali haina ufumbuzi wa tatizo hili. Kujiajili hiyo siyo mbinu ya serikali, ni jambo la mtu binafsi kuamua. Serikali lazima itengeneze ajira. Kupunguza kodi siyo mbinu...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kumtambulisha Nusrat Hanje kama mwakilishi wa BAVICHA huko Nyamagana ni uongo wa wazi na ni kumdanganya Rais Samia

    Kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kumtambulisha Nusrat Hanje kama kiongozi wa Bavicha, na kwamba ule ndio uwakilishi wa vijana wa Chadema kwenye Mkutano wa Rais na Vijana huko Nyamagana Mwanza ni kumpiga changa la macho Mh Rais .BAVICHA haikuhudhuria mkutano huo na wala haikutuma mwakilishi...
  18. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa mradi wa barabara nane Kimara-Kibaha umekwama kwa sababu serikali haina pesa ya kumlipa mkandarasi?!

    Ukweli ni kwamba huo mradi umekwama na hauendelei tena kwa kasi ile ya kipindi cha JPM. Mkandarasi inasemekana hajalipwa pamoja na kupeleka certificate karibia tatu za kuomba alipwe na halipwi! Ukweli na usemwe makusanyo ya kodi yamepungua maradufu ndiyo maana malipo ya miradi mingi imekwama.
  19. Fohadi

    JamiiForums Tanzania BARUA YA WAZI KWA Mr. Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer

    Ni muda mrefu sana huyu jamaa nimekuwa namfatilia huyu jamaa..Anaandika vitu vingi some are logical na mengine are not logical...Hapa simlaumu maana kila mtu ana uhuru wa kuandika anachojisikia as long as havunji sheria za JF. Tatizo kubwa la huyu ndugu yetu ni kuamini kila anachokifahamu yeye...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mwaka wa Fedha 2019/2020

    Salaam Wakuu, Hapa chini ni Muhtasari wa ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Mwaka wa Fedha 2019/2020 === Mhe. Naghenjwa Kaboyoka (Mb), Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya PAC; Mhe. Grace Tendega (Mb), Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya LAAC; Mhe. Daniel Sillo (Mb), Mwenyekiti...
Back
Top Bottom