wazi

Bug Juice is a Disney Channel reality series that premiered on February 28, 1998. The series focuses around 20 kids and their experiences at summer camp. Together, the kids work hard to excel in their activities and become friends. The phrase bug juice is a camping slang term for a very sweet juice drink made from powdered mixes, such as Kool-Aid, which are often served at summer camps.On August 4, 2017, Disney Channel announced a revival series based on the original, titled Bug Juice: My Adventures at Camp, which premiered on July 16, 2018.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania MOI yaandaa kambi ya upasuaji kwa Watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi itakayofanyika Aprili 20, 2024

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) kwa kushirikiana na Taasisi ya MO Dewji Foundation imeandaa kambi ya upasuaji kwa Watoto 50 wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi itakayofanyika 20/04/2024 katika Taasisi ya MOI. Akizungumza na waandishi wa habari, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa...
  2. JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi tunaomba kukujulisha kuwa Katibu wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro hayupo, nafasi Iko wazi

    Matokeo ya kukosekana Kwa Katibu wa CCM mkoa HUO, majibu haya hapa. Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi mkoa ambaye pia ni mjumbe wa kamati ya siasa mkoa, anatukana wanachama https://youtu.be/c7T6FjRrxHM?si=BVSP3wN3vUE6ZVsA
  3. F

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda ni wazi hatadumu Arusha

    Makonda anateuliwa kwa lazima fulani lakini huwa mambo hayo yana mwisho wake. Ana makosa flani anafanya kila wakati tangu alipokuwa RC Dar na ameendelea kuyafanya siku zote. Kitendo cha kuingia Arusha na msafara mrefu wa magari ndio kosa lake la kuanzia katika ajira yake mpya. Tayari bila...
  4. JamiiForums Tanzania Ushahidi wa video hii ni wazi Yanga ilinyimwa goli hapo jana

    Jana Yanga haikustahili kuishia hatua ya robo, ile goli ni halali kabisa na ushahidi wa video ni huu hapa. Mpira ulivuka mstari wa goal line kwa zaidi ya asilimia 100 kisha uka rebound tena.
  5. JamiiForums Tanzania TCRA mmeshindwa kufuatilia uhuni unaofanywa na Vodacom upande wa M-Pesa?

    Ni wiki ya pili sasa nimekuwa nikifuatilia hiki kitu kwa namba tofauti tofauti. Iko hivi: Sasa hivi ukiweka pesa kwa wakala yeyote yule, iwe unamtumia mtu, ama unaweka kwako hautumiwi sms kuonesha ya kwamba umewekewa kiasi fulani, wala kwa mpokeaji! Wakala anachoweza kukwambia ni kwamba...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali yaonesha ushabiki wa wazi kwa Yanga kupeleka mashabiki South Africa

    Nyuma ya mafanikio ya Yanga pia kuna mkono wa serikali, hii timu inapendelewa na serikaki. Mashabiki 40 wa Yanga wamepewa tickets za kwenda South Africa, ila kwa Simba ni tofauti as if haishiriki haya mashindano. Pia soma: Rais Samia kununua kila goli Tsh. Milioni 5 mechi za Simba, Yanga CAF
  7. F

    JamiiForums Tanzania Teuzi na tangua za Makonda ni wazi kuwa hafai ila kwasababu zisizoeleweka vizuri mamlaka zinajikuta zinamteua japo zinajua kuwa hafai

    Jambo la ajabu ni kuwa, japo Mama amemwona Makonda kuwa ni hatari kwa chama, lakini hajaweza kuachana naye kabisa. Afrika tuna safari ndefu kwa mambo haya ya teuzi zisizozingatia weledi na sifa stahiki. Paul Makonda ni wale watu Waingereza wanawaita controversial figures, watu wenye mtafaruku...
  8. JamiiForums Tanzania Ajira: Nafasi wazi za kazi Ikulu huwa zinatangazwa lini na wapi?

    Nimepitia mitaani, vijana ni wengi sana hawana ajira. Mmoja nimekutana naye ameniuliza Hilo swali hapo juu. Mwenye majibu tafadhali
  9. JamiiForums Tanzania Ni wazi Watanzania wote wameanza kuwaelewa Chadema, TEC na wengineo

    Sasa ni wazi kila mtanzania anaelewa wazi matamko ya kina Mwambukusi, Dr Slaa, Mdude, Chadema na TEC! Sasa hivi wote tuna nena lugha moja wote tunaongea lugha moja na wote tumeanza kuelewana na sote sasa tumeanza kuwa na utulivu na sote tuna tafakari! Sote kuanzia wafanyakazi wa bandari na...
  10. JamiiForums Tanzania Ofisi za TRA kuwa wazi nchi nzima tarehe 23 na 24 Machi, 2024

  11. JamiiForums Tanzania Suala la mchele imeonesha wazi kuwa nchi yetu ina hazina kubwa ya watu wenye akili ndogo

    Tangu huu Mchele ulipotolewa na Marekani nimewaona Watanzania kuwa wana akili ndogo sana. Ikiwa mnashindwa kuwapa watoto wenu chakula bora huko shuleni na wanakonda na kupata utapiamlo, then ghafla mnapata msaada mnakimbilia katika kichaka cha ushoga! Hizi nchi za watu wenye low minded people...
  12. JamiiForums Tanzania Utawala wa Awamu ya 5 kulikuwa na kampeni ya wazi ya kutaka aliyekuwepo aongoze milele, Sababu hasa ya kampeni hii ilikuwa nini?

    Tunaendelea na nyuzi zetu za mwezi wa 3, ambao ni mwezi wa Mungu. Ni wazi kila mwananchi anafahamu kuhusu kampeni za wazi kabisa za kutaka Rais wa awamu ya 5 Dkt John Magufuli aongezewe muda wa utawala wake kinyume kabisa cha Katiba ya Tanzania, yaani baada ya kumaliza utawala wake wa miaka...
  13. JamiiForums Tanzania Kuhusu msaada wa mchele, ni wazi kuwa tuliuomba huo msaada

    Ada ya mja hunena, muungwana ni vitendo. Ni wazi kuwa kuna watu waliandika andiko la kuonesha uhitaji wa chakula mashuleni na kuomba msaada kwa wahisani. Kinyume na matarajio, tumeletewa nafaka halisi tena zenye virutubisho. Tulitarajia tuletewe fedha ili tujue cha kufanya (tuzipige) kama...
  14. JamiiForums Tanzania Matokeo ya 1-1 Liverpool na Man City yaipa faida Arsenal kwenye EPL

    Mchezo kati ya Liverpool dhidi ya Manchester City umemalizika kwa sare ya 1-1 kwenye Uwanja wa Anfield, matokeo ambayo yanaipa faifa Arsenal kubaki kileleni katika Premier League kwa faida ya magoli mengi ya kufunga Magoli yaliyoamua mechi ya leo Machi 10, 2024 yamefungwa na John Stones kwa...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwako, Dr. Haya Land

    Kwako Mkuu Dr, Binafsi Mimi ni Kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 23, mwanafunzi mwaka wa tatu moja ya a chuo kikuu hapa jijini (DSM), binafsi Dr, naona wewe ni mtu humble, passionate na mwenye utu sana. Dr Haya Land, mm binafsi naona na mengi sana ya kujifunza Toka kwako hasa inje ya...
  16. JamiiForums Tanzania Mjadala kwa Wanaume: Kwa nini ndoa za mitala zinapigwa vita sana? kasoro yake nini? Tuoe bana kila mtu kwa uwezo wake

    Ndugu zetu Islam na wazee wa Mila wameweza kudumisha ndoa za wenza wengi na kutokana na elimu waliyonayo ni jambo linalowezekana sana na linatibu jamii ambayo infidelity imekuwa order of the day. Wakristo na Serikali wamejikita kwenye ndoa ya mme mmoja to mke mmoja ambapo ukiangalia ratio ya...
  17. JamiiForums Tanzania Historia ya Ali Hassan Mwinyi kama Rais haiko wazi

    HISTORIA YA UONGOZI YA ALI HASSAN MWINYI KAMA RAIS HAIKO WAZI UTANGULIZI Makala hii nimeiandika baada ya kuulizwa maswali baada ya kufanya kipindi cha Maisha ya Rais Ali Hassan Mwinyi na Afrika TV2. Najaribu hapo chini kujieleza. Katika kipindi hiki cha televisheni yapo mengi katika maisha...
  18. JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi kwa Dkt. Dorothy Gwajima na Nape Nnauye

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.@ Dk Dorothy Gwajima Na... Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya habari Mhe. Nape Moses Nnauye. Wasalaam, Poleni kwa kazi. Ninakuandikieni barua hii ili kuwajulisha na suala linaloleta wasiwasi mkubwa ambalo...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa yanayoendelea ni wazi kuwa kuna watu wanamhujumu Rais Samia. Hatua za haraka zichukuliwe kuwadhibiti

    Mgao mkali wa umeme, gharama kubwa za Internet (mabando), uhaba wa sukari na vitu kuchelewa kutoka bandarini. Ni wakati sahihi Mama kufuatilia wazembe wanaomhujumu na kuwachukulia hatua kali. Asiwachekee. Hizi siasa za waziri Bashe sio za kusikiliza. Apigwe tu chini maana kashindwa kazi...
  20. JamiiForums Tanzania Quran inasema wazi hakuna nchi itaendelea kwa kuongozwa na Mwanamke. Ila yetu nasema itaendelea

    Mimi nasema Tanzania itaendelea mtake msitake. Pamoja na maneno haya kusemwa na Quran naamini itakuwa si kwa ajili ya nchi yetu. Labda kwa maeneo mengine. Tuendeleeni kumuunga mkono samia katika harakati zake. Haya mambo mengine yasitutoe kwenye mstari. Lazima tukubaliane dunia imebadilika. Au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…