Habari zenu Wana Jamiiforums.
Mimi ni kijana ambaye umri wangu upo kwenye mid 20's.
Nipo chuo kimoja hapa nchini ambapo nasomea kozi ya uuguzi.
Nia na madhumuni ya kuleta Uzi huu ni kuomba ushauri kuhusu ni jinsi Gani ninaweza kushikilia msimamo wangu kuhusu Nini nataka kwenye maisha yangu...
Wazazi wengi hasa walioenda shule wanapenda watoto wao wa some Elimu ya juu yaani kidato cha tano, sita na kwenda chuoni kusoma degree na ikiwezekana apate na masters.
Unapowalea watoto wako tangu wakiwa wadogo unaweza kuelewa mwenye kumbukumbu nzuri na mwenye kuelewa haraka. Pamoja na kuwa na...
Kwa sisi makabila ya kusini mara tu mtoto (wa kike na kiume) anapopitia jando na unyago,hua ndio tiketi ya kuacha kuingia chumbani kwa wazazi wetu, ulingana na mafundisho tunayopewa kule,
Haijalishi una umri gani yani hata uingie jando na miaka 8 Ni MARUFUKU KABISA na kamwe hautakaa uingie...
habari zenu.
samahani nahitaji msaada ninafanya maombi ya passport kubwa ya kusafiria lakini nilipofika kwenye page ya kuingiza taarifa za wazazi baba na mama ninapata error inayosema tarehe siyo sahihi na wakati tarehe hizo zipo sahihi naweza kufanya nini maana bila kurekebisha hapo siwezi...
Usafi ni moja ya nyenzo bora za mtu kuwa na afya njema. Ili mtu awe na afya bora, hana budi kuzingatia usafi wa mwili, mazingira anayoishi na anavyokula.
Usafi wa Ngozi: Pamoja na kazi nyingi, ngozi hufanya kazi ya kulinda mwili dhidi ya vimelea vya magonjwa. Tunashauriwa kuzitunza ngozi za...
Binti mrembo aliyebahatika kuolewa na kijana mhangaikaji sana. Yule kijana alifikia kufungua mini supermarket. Aliagizs tambua na makopo ya nyanya kutoka Italy, sabuni, na vyombo vya ndani kutoka Uturuki na bidhaa nyingi kutoka chini. Yote haya yalimfanya kijana kuwa busy mno, muda wake wa...
Miaka kadhaa nyuma when i introduced my wife to my father, I desperately hoped he’d get on. Mshua akanitoa pembeni akaniuliza are you sure she’s faithful to you?
My father simply couldn’t accept that someone as good looking as my wif’ wouldn’t be cheating on me at every opportunity, a wave of...
Mzazi ukiwa Na watoto wa kike Na watoto wa kiume walio fikia umri wa balekhe hakikisha unaweka ukuta Kati Yao ili usije kupata hasara.
Dunia ya Sasa hivi watu hawana maadili kabisa. Maadili ni kama yalisha kufa Na kuzikwa..
Kama una Mtoto WA kike ameisha vunja ungo hakikisha unamwambia asikae...
Kuna namna nyingi sana mtoto wako anaweza kufikia maudhui tofauti kwa kupitia vipindi vya televisheni na filamu kwa urahisi.
Watoto wa kizazi hiki wamekuwa na fursa nyingi zaidi za kutazama maudhui yasiyofaa. Uelewa wa mzazi kuhusu aina za filamu na vipindi vya TV au video za mtandaoni ni...
Wakuu, kuna story nyingi positive zinazowahusu waafrika. Kuna nyingine zinadai kua waafrika walikua powerful sana, sikatai, hili tunaweza lithibitisha hata sasa hv kwenye wakati huu. Kua waafrika wanafit kila sehemu kuanzia kwenye michezo hadi ubunifu na uwezo wao mkubwa wa kuhimili magonjwa na...
1) Kuwaeleza Watoto umuhimu wa kuweka nywila (Password) kwenye vifaa vyao, na kutompa mtu mwingine hata kama wana ukaribu
2) Kuzungumza na Watoto, na kuwaonesha wanaweza kuwafuata pale wanapopata matatizo mtandaoni ikiwemo CyberBullying (Uonevu Mtandaoni)
3) Kuhakikisha Mtoto haweki taarifa...
Wazazi tulianza kufanyia kazi ushauri wa IGP alitushauri vizuri tu tena kwa roho safi kua wazazi tusizae majambazi na magaidi kama HAMZA naamini lengo lilikua kudumisha amani na utulivu nchini ni sawa wazazi tulipokea ushauri huo kwa mikono yote miwili.
Vipi yeye sasa kuongoza waporaji wa mali...
"Sababu zinazopelekea wazazi kutoelewana na wakwe zao, ni pamoja na matarajio ya pande zote mbili, wazazi wengi wamekuwa wanatarajia wakwe zao wawe na mwonekano fulani au na tabia fulani."
"Wazazi wengi wanataka wakwe zao wawe na tabia kama za watoto wao kitu ambacho hakiwezekani kwa sababu sio...
Kumekuwapo na matamko ya kuzuia michango shuleni lakini ukweli ni kwamba hawa wanaotoa matamko haya watoto wao hawasomi shule hizi za kata na ajenda yao ni kuwafanya Watanzania tuendelee kuwa wajinga na wapumbavu.
Kikawaida fidia ya elimu bure ni Tsh 20000 kwa kila mwanafunzi, kiasi hiki cha...
Mimi nina Elimu ya Chuo Kikuu. Nilimaliza mwaka 2003. Nikafanya fanya kazi maeneo kadhaa nikawa naacha wakinizingua. Huwa sipendi kuzinguliwa kazini. So usitegemee utaniajiri halafu ulete za kuleta eti nikuache.
Kama sijakuwamba makofi basi naweza kukupa maneno ambayo hutasahau maishani mwako...
Leo Baraza la mitihani limetangaza matokeo ya kidato cha 2,4 na mitihani ya ufahamu kwa wanafunzi wote waliofanya hiyo mitihani mwaka 2021.
Mwezi june 2022 itatutangazia matokeo ya form 6 pia kama kawaida ya miaka yote, kila mwaka ni matokeo ya ulinganifu wa nani kafanya vizuri na nani kafanya...
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, Alhaji Majdi Mwanga, ametishia kuwakamata na kuwafikisha mahakamani wazazi na walezi watakaoshindwa kuwapeleka shuleni watoto waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza.
Mwanga alisema hayo mjini hapa katika mkutano wa hadhara na wananchi kuhusu...
Kumekua na ungezeko la watoto kuua mama zao wa kuwazaa hivi karibuni jambo linaloibua huzuni na hofu kwenye jamiii.
Asilimia kubwa imekuwa wahanga ni kina mama zaidi ya kina baba nimewaza jambo hili kwa kina ndani ya siku mbili hizi kuna mambo nayohisi yanaweza kuchangia kwa kiasi kikubwa zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.