Chad yapiga marufuku mabinti wadogo kutoka nje ya nchi bila kibali cha wazazi

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,023
1,609
Waziri wa Usalama nchini humo, Jenerali Idriss Dokony Adiker amesema uamuzi huo ni kupambana biashara haramu ya watu na wimbi la wasichana wadogo kutumikishwa kingono katika nchi jirani

Aidha katazo hilo linapiga marufuku mashirika ya ndege na mashirika ya uchukuzi kuchukua wasichana wadogo kwenye ndege bila kuwa na wazazi au vibali vya wazazi vya kusafiri

Hata hivyo umoja wa Haki za Wanawake nchini humo umesema marufuku hiyo ni ya kijinsia kwa sababu haikutaja umri hasa wa wanairuhusiwa kusafiri na inawatenga wavulana wadogo ambao nao pia ni wahanga wa biashara haramu ya binadamu

.........................................................

Chad's government has banned young girls from leaving the country without parental permission, in a move which has been decried by women's rights groups who have called for a U-turn.

Security Minister General Idriss Dokony Adiker explained the decision by saying that "a migratory flow of young girls" was leaving the country for the "purpose of exploitation".

The announcement prohibits airlines and transportation agencies from taking young girls on board.

Gen Adiker's memo does not specify the age of the girls who were banned from travelling, or who had to give permission.

The Chadian Women's Rights League said the ban contradicted the principles of the fundamental freedom of young girls and human rights.

According to the group, the law is sexist because young Chadian boys are also victims of human trafficking.

A report by the global initiative against transnational crime said human trafficking in Chad has increased in recent years.

It also said there has been an increase in the number of Chadian sex workers in neighbouring countries in 2021.

SOURCE: BBC
 
Back
Top Bottom