wazazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wazazi wengi wa Mtwara wana tabia ya kubadilisha majina ya watoto kisa talaka

    Zaidi ya asilimia 70 ya wazazi Wilaya ya Mtwara huenda wakakosa haki za watoto wao kutokana na tabia ya kubadilisha majina ya watoto kwenye vyeti vya kuzaliwa, sababu ikitajwa kuwa ni talaka. Akizungumza Oktoba 31 katika kampeni ya kusajili na kutoa vyeti vya kuzaliwa katika Wilaya ya Mtwara...
  2. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Je, ni sawa kwa wazazi/walezi kuwabusu watoto wao mdomoni kama ishara ya kuonesha upendo?

    Salaam Wakuu, Leo nimekuja na huu mjadala ambao umechochewa na mambo kadhaa ninayoshuhudia au kukutana nayo mtaani. Binafsi ninaishi katika nyumba ya kupanga yenye watu wengi hivyo nashuhudia mengi hasa malezi na mahusiano ya watu wengi katika familia mbalimbali. Natambua kuwa ni muhimu sana...
  3. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Nawapa Siri wazazi kuhusu kuwasaidia watoto wenu

    Habari zenu Watu wengi wanalalamika kuhusu watoto wao kuwa wanafanya Sana Uzinzi, uchafu, ushoga, wizi, tabia zote chafu chafu wanafanya wao tu. Jambo la kuwa nalo makini hata Kama wewe husali au huamini uwepo wa Mungu hiyo Ni wewe tu. Watoto ukitaka wawe mfano Bora katika jamii na wapate...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wazazi wawatishia watoto kifo endapo watafaulu mitihani ya Darasa la Saba

    Baadhi ya wazazi wilayani Makete mkoani Njombe wamedaiwa kuwatisha watoto wao wanaohitimu elimu ya msingi kufanya vibaya kwenye mitihani kwa madai kuwa wakifaulu wao watafariki dunia. Ameeleza hayo Ofisa Mtendaji wa Kata ya Lupila , Tumwanukye Ngakonda kwamba baada ya wanafunzi hao kuhojiwa...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wazazi wanapaswa kupewa elimu ya njia za kumwadhibu mtoto kuepusha vifo na ulemavu

    Kuna haja wazazi na walezi kupewa elimu ya malezi ili kupunguza vifo vya watoto wao wanaowaua kwa kuwapa adhabu kubwa au hata ulemavu, kuwaachia makovu na majeraha moyoni kwa kuwapiga kupindukia wakiamini wanawaonya. Matukio mengi ya wazazi na walezi kuwapiga watoto hadi kuwajeruhi zama hizi...
  6. BigTall

    JamiiForums Tanzania Wazazi, Walezi na Walimu acheni kupiga watoto kama ngoma zama zimebadilika, kitawakuta kitu

    Umri wa wale ambao wamezaliwa kuanzia miaka ya 90 kurudi nyuma, kufika hadi miaka ya 80 na kuendelea huko nyuma, matukio ya mzazi kumpiga mtoto kama vile anapiga mwizi anaekamatwa mtaani ilikuwa ni kawaida. Yaani ilikuwa mzazi akikukamata kukupa kichapo ilikuwa ni kichapo hevi kinomanoma, hiyo...
  7. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Inakuaje wazazi wenye tattoos mwili mzima wanazaa Mtoto asiyekuwa na tattoo hata moja?

    Hili swali nimejiuliza muda mrefu Sana lakini nimekosa jibu. Yaani mama amejaa tatoo mwili mzima baba pia amejaa wino mwili mzima lkn Mtoto anazaliwa Hana hata tone la tattoo. Wataalam wa sayansi nipeni msaada wa hili suala
  8. R

    JamiiForums Tanzania Nactevet toeni matokeo ya mitihani vijana wajue fate yao, wazazi wajiandae na ada za mwaka 2022/2023 (vyuo vinafunguliwa 17/10/22)

    Muda ni mchache kwa wazazi kujiandaa na ada na mengineyo. Huwezi kulipoa ada kabla ya kujua fate ya mtoto. NACTEVET toeni matokeo ya mitihani maana vyuo vinafunguliwa tarehe 17/10/2022. Muda umeisha!
  9. Breaking bad

    JamiiForums Tanzania Kama wazazi wetu ni Adam na Hawa, kwanini kuna races tofauti duniani?

    Waafrica, wachina wahindi, wakorea, warusi, wazungu na waarabu. Ukiwaangalia wawa wote unaweza kuwatambua kwa race zao kutokana na kutofautiana kwao. Ni kwa nini ipo hivi kama origin yetu ni moja (adam na hawa)? Ni kwa nini hapa africa kwa mfano, kusingekuwa na mchanganyiko wa races kwa asili...
  10. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Wazazi zungumzeni na watoto wenu kuhusu Ubakaji na Ulawiti

    Nimekuwa nikisikia hili suala la wazazi kuzungumza na watoto wao, lakini sikuwahi kulifuatilia kwa kuwa mtoto wangu ndiyo kwanza ana miaka sita. Sikuwahi kuona kama kuna kitu cha maana kinachoweza kutuweka chini kuzungumza zaidi ya kumtuma lete hiki na kile na kumsaidia kazi zake za shule. “Ila...
  11. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Wabakaji sasa wamekuwa Mapadre, Masheikh, Wachungaji na Wazazi

    Kuna li mtu ni libakaji ,ni linajisi...limeamua kuwa Sheikh. Limeamua kuwa Padre, Limeamua kuwa Mchungaji na Lingine limeamua kuwa Baba. Limeamua haya yote huku lina akili ile ile ya kubaka, kulawiti na kunajisi. Usihukumu Dini. Angalia Dini inasemaje suala la mtu mzima kutembea na mtoto...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Umekumbuka kuwatumia chochote wazazi walezi au ndugu zako?

    Tarehe kama hizo najua baadhi yetu mifuko imetuna,Kwa wale majobless msikonde iko siku..nirudi kwenye mada,je umekumbuka kutuma chochote Kwa wazazi wako,walezi au pengine hata ndugu zako..? Tujitahidi tutume chochote Kwa wazazi tusisubiri kuombwa kwani ndio baraka zilipo..kumwagilia Moto sio...
  13. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Msele mwenyekiti mpya Jumuiya ya Wazazi CCM Hai kwa kumshinda mteule wa saashisha Mafue

    Mbunge wa Jimbo la Hai leo tar 25.9.2022 amepata pigo baada ya mjumbe aliyekuwa anampigania kushindwa na mr Msele kwenye jumuia ya wazazi ccm Hai.
  14. kavulata

    JamiiForums Tanzania Bunge litunge sheria ya kuwalinda wazazi

    Wazazi wanatumia rasilimali vitu, pesa, watu na pesa kumfikisha mtoto wao hadi kujitegemea. Rasilimali ambazo kama angeziwekeza zingemsaidia hata uzeeni kwake. Wazazi wanaporwa haki na mali zao na vijitu na majitu kwa kisingizio Cha ndoa kwakuwa hakuna sheria inayosimamia haki zao. Ndoa...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Na nyie mnaamini wazazi ni chanzo kikuu cha panya road?

    Ni moja ya sababu lakini sababu kubwa ya kuwepo kwa panya road ni hali ngumu ya maisha, mfumuko wa bei, kukosa ajira na kunyimwa mazingira ya kujiajiri hasa 'umachinga'. Wanaokamatwa sasa hivi siyo watoto ni vijana wakubwa na wengine ni wababa kabisa, bado tu kuna sababu ya kuwatupia lawama...
  16. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Onyo na ushauri wa bure kwa Panya Road, ndugu na wazazi wao

    Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Ndugu zangu nimepata taarifa kutoka kwa baadhi ya ma homeboyz kwamba kuna baadhi ya vijana wa panya road wako katika process za kutaka kuikimbia nchi ili waje Kaburu kwa lengo la kukwepa mkono wa...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wazazi acheni kudekeza watoto ni hatari

    Wazazi nchini wameaswa wasiwadekeze watoto, ikiwa ni pamoja na kuzuia wasifanye kazi shuleni kwani ni hatari kwao siku za usoni. Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Shule ya Msingi Rockeni Hill na Shule ya Sekondari Anderlek Ridges, wilayani Kahama, mkoani Shinyanga, Alexander Kazimili na...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Ommy Dimpoz naunga mkono msimamo wako, ila tupo wazazi tunaohukumiwa tofauti na makosa yetu

    Nimesoma na kusikiliza maoni mbalimbali kuhusu nachoweza kuita kutowajibika kwa malezi kwa baba yake Ommy kwa mwanae. Hapa nitaeleza mkasa unaonihusu mimi wa kutowajibika kulea mtoto wangu. Mwaka 2001 binti niliyekuwa na mahusiano naye aliniambia kuwa ana mimba, sikuikataa. Jirani a...
  19. T

    JamiiForums Tanzania SoC02 Pesa inayotafutwa kwa jasho na wazazi inavyogeuka kilio

    PESA INAYOTAFUTWA KWA JASHO NA WAZAZI INAVYOGEUKA KILIO Imeandaliwa na Tulibumi Richard Kasebele ”Sitaki wanangu wateseke kama mimi nilivyoteseka” ni kawaida wazazi kusema maneno haya kama hamasa kwao kufanya kazi jambo ambalo ni la msingi katika maisha, Pongezi nyingi ziwafikie wazazi...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Wazazi wanawaficha watoto wenye VVU

    Afisa Muuguzi Mwandamizi wa Hospitali ya Mangaka Wilaya ya Nanyumbu, Janeth Chikawe ameeleza kuwa Mkoa huo umekuwa na idadi kubwa ya wazazi ambao hawawapeleki watoto kupata dawa za kufubaza makali ya Virusi Vya Ukimwi kwa kuwafungia ndani. Amesema watoto wengi wanaokosa huduma hiyo ni wenye...
Back
Top Bottom