wazazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Doctor Mama Amon

    Ushauri kwa UWT, UVCCM, Jumuiya ya Wazazi: Namna bora ya kumsafisha Rais Samia dhidi ya vumbi la mkataba wa Dubai hii hapa

    Mary Chatanda, Mwenyekiti wa Taifa wa UWT (Taifa) Leo mchana wa tarehe 03 Julai 2023, Mwenyekiti wa Taifa wa UWT (CCM), Mary Chatanda, amehutubua Taifa kupitia TBC, akiwa mkoani Njombe. Ameonyesha dhamira ya kupangusa “uchafu” unaotishia kuzima nyota ya Rais Samia. Lakini mbinu aliyoitumia ni...
  2. Von_Lufuta

    Kwa hili nililoliona, Wazazi kuweni makini sana kuweka uangalizi kwa watoto wadogo wa kiume

    Habari zenu wakuu.. Hope mpo vizuri. Bila kupoteza muda, Wiki 3 zilizopita nikiwa Mkoa X, nilikutana na tukio la kusikitisha sana. Sio mimi tu, hata watu wa mtaa ule wanawake kwa wanaume waliishia kushika vichwa na wengine kumwaga machozi kabisa. Ilikuwa hivi.. Kuna nyumba fulani ambayo...
  3. Dr Matola PhD

    Swali: Hivi kwa sisi wazazi ukisikia mtoto wako wa kiume anavuta sigara, unamkanyaje?

    Tufanye wewe ni mzazi ambaye unainvest pesa nyingi kwa mtoto ambaye bado hajafika University, just yuko high school na ameanza uvutaji wa Sigara kwa siri unafanyaje? Watoto mkae pembeni kwanza, nataka kusikia maoni ya Wazazi, maana Watoto wa sasa sijui tuwalee kwa style ipi? Cc: Dr Lizzy say...
  4. beatboi

    Malezi ya Mama pekee husaidia kugundua kipaji kuliko ya wazazi wote wawili

    Naamini kila binadamu amezaliwa na kipaji ila ukija kwenye uhalisia inakuwa tofauti, 1. Watoto waliolelewa malezi bora(baba na mama) wanakosa muda wa kuangalia vipaji vyao kwa kubanwa pande zote mbali. huwa na vipaji vya elimu? wenyewe wanakwambia wana vipaji vya kusoma japo wengine wananunua...
  5. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Juma Usonge awataka wazazi kushirikiana na Walimu kuwahimiza wanafunzi kusoma kwa Bidii

    Mbunge wa Jimbo la Chaani Mhe. Juma Usonge amesema hayo alipokuwa akizungumza na wanakijiji kwenye kikao cha kuratibu shughuli ya kuadhimisha miaka 50 tangu kuanzishwa Skuli ya Sekondari ya Pwani Mchangani kwenye ukumbi wa Skuli ya Sekondari Pwani Mchangani iliyopo Wiliya ya Kaskazin A Unguja...
  6. Wilson Gamba

    Wazazi wa sasa tufuate nyayo za wazazi wetu waliotulea kuokoa wanetu

    Sitaki kusema mengi Ila tumefeli Sana kwenye malezi tofauti na wazazi wetu waliotulea Hadi tukawa watu wazima wenye manufaa kwenye jamii zetu. Watoto wengi wamekoswa misingi ya malezi bora, kudekezwa tu bila kukanywa na Ndo maana Kuna shida kubwa na badala yake tunawabebesha walimu lawama kumbe...
  7. Li ngunda ngali

    Chongolo: Wazazi wafundisheni watoto tabia njema

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi ndugu Daniel Chongolo amewakumbusha wazazi kuwalea watoto wao kwa misingi ya uadilifu na tabia njema. Hayo ameyasema mbele ya hadhara aliposimama barabara huko Wilayani Kondoa anapoendelea na ziara yake Mkoani Dodoma. Kidumu Chama cha Mapinduzi!
  8. Roving Journalist

    Dkt. Mtahabwa: Wazazi na Watoto wao wawe pamoja na kushirikiana, la sivyo mzazi anajiandalia bomu

    Kamishna wa Elimu, Dkt. Lyabwene Mtahabwa amesema anaiona Tanzania ya neema ya watu wanaojitambua na wanaoshirikiana kupitia Montessori. Kamishna wa Elimu, Dkt. Lyabwene Mtahabwa Ameyasema hayo wakati alipokuwa mgeni rasmi katika Kongamano la 26 la Wana-Montessori Community of Tanzania...
  9. Magidu

    Wazazi vaeni viatu vya wazazi wenzenu, inaumiza sana

    Nawasalimu nyote, Jana ni siku ambayo sitaisahau kutokana na story yakusikitisha niliyosimuliwa na binti wa miaka18. Binti huyu ni mwanafunzi wa mwaka wakwanza katika moja kati ya vyuo vikuu maarufu hapa nchini. Aliripoti chuoni Mwezi October Mwaka jana akionekana mtoto mtulivu na mwenye...
  10. NALIA NGWENA

    Wazazi kuweni makini na watu wanaowatania watoto wa kike kwa kuwaita wachumba

    Nazungumza haya huku nikiwa serikali za mtaa baada ya kumuadhibu kipigo kitakatifu mwanaume mmoja wa makamo mwenye miaka arobaini na tano (45). Baada ya kumkuta akimshika shika maziwa (chuchu) mtoto wangu wa kike mwenye miaka mitano huku akifurahi sana kwa kumuita mchumba na mtoto mdogo nae...
  11. Stephano Mgendanyi

    Waajiri watakiwa kuwa na Ubinadamu kwa Wazazi Wanaojifungua Watoto Njiti

    Waajiri watakiwa kuongozwa na ubinadamu wa Mamlaka waliyopewa kwa kuwaongezea likizo Wazazi wa watoto Njiti ili kuepuka athari zinazoweza kujitokeza kwa mtoto ikiwemo kifo kwa kukosa uangalizi wa karibu wa mama yake. Wito huo umetolewa na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya...
  12. D

    SoC03 Tunaweza kujilinda dhidi ya utamaduni wa Kimagharibi

    Kama ilivyo kwa kila nchi kuwa na sheria na kanuni zake ambazo ni ngumu kukuta kwa nchi nyingine basi hata jamii ina tamaduni zake ambazo zilikuwepo tangu hapo zamani enzi za mababu na mabibi zetu na hazikuwekwa tu bila sababu bali zilitokana ili kuilinda jamii na watu waliomo ndani take dhidi...
  13. Mwizukulu mgikuru

    Wazazi acheni kuwatuma watoto pombe na sigara

    Nimekuwa nikishuhudia watoto wadogo wenye umri kati ya miaka 7 mpaka 15 wakitumwa hizi pombe viroba vilivyochangamka zinauzwa kwenye vichupa kama vile smart gin, kitoko, ambiance na robort watoto wanatumwa dukani kuwapelekea wazazi wao. Kwangu mimi naona huu ni ushenzi mtoto mdogo utamtuma...
  14. Mwesiga frolian

    SoC03 Ipo siku wazazi wangu watanyanyua vichwa vyao na kutizama mbingu kwa furaha watasema "ahsante sana Mungu kwa kutupatia mtoto huyu"

    UTANGULIZI Andiko hili ni maalum kwa vijana wote wapambanaji wenye ndoto ya kurejesha, amani, furaha ya familia iliyopotea, dhiaka, dharau na kulipa madeni wazazi wetu waliyokopa pindi wanatuhangaikia. Ungana nami kwa kusoma nilichokiandika ukivutiwa nacho naomba usapoti andiko hili kwa...
  15. Engager

    Kwa wazazi, walezi na wanafunzi mliochaguliwa kujiunga kidato cha 5

    Nimeona mijadala humu. Mwanafunzi anauliza nimechaguliwa shule flani, wazazi na walezi wanauliza mwanangu kachaguliwa shule flani, mkitaka kujua kama shule hizo ni nzuri ki ufundishaji na ufaulu kwa ujumla. Niwape tu general information. Shule nyingi za serikali ni tiamaji tiamaji. Shule...
  16. Desierto

    Leta ushuhuda wako wa watoto walioonekana wa maana kwa wazazi wako kuliko wewe wakati huo, lakini sasa...

    Kusema ukweli iko hivi kwenye familia yetu tuko watoto 27 ukitoa walio tangulia, wakati niko mdogo baba yangu alinipenda sana ila cha ajabu ni mm pekee nilikuwa naongoza kwa kupigwa hata kwa makosa yasio stahili kupigwa. Kuanzia chekechea mpaka la darasa la 3 nilikuwa nashika nafasi ya 2 mpaka...
  17. sky soldier

    Furaha ya mama ni mtoto kufurahi, ikitokea wazazi wameachana, mtoto analilia kumuona baba lakini baba anaomba penzi ili afanye hivyo, mama atakataa ?

    Huwaga najiuliza sana, lets say wazazi wawili walitengana, sasa imefika kipindi mtoto yupo na miaka mitatu hivi analilia baba kila siku, baba akatoa sharti kwa kusema au kimafumbo kwamba ili kufanya hivyo inabidi awe anapewa penzi walau kwa lisaa, Mwanamke anaweza kuchomoa hapa ? Na hapo...
  18. Suley2019

    Dhamira (theme) ya mepenzi ya jinsia Moja inapenyezwa kwenye baadhi ya filamu za watoto. Wazazi tuwe makini

    Habari wanajamvi, Filamu za watoto imekuwa miongoni mwa sehemu muhimu sana ya kulea watoto wetu. Filamu hizi zinajumuisha katuni, TV Shows, Filamu za watu halisi na nyinginezo zilizotengenezwa kumlenga mtoto. Sote tunajua kuwa filamu na wahusika wa filamu wamekuwa na Athari kubwa kwenye tabia...
  19. M

    Wazazi na walezi kuna vyuo vya ufundi kwa watu wenye ulemavu, tuvitumie

    Ndugu zangu Watanzania kwanza nianze kwa kutoa ufafanuzi kidogo juu ya VYUO hivi vya ufundi Kwa watu wenye ULEMAVU. Hivi ni VYUO vilivyoanzishwa maalum kwaajili ya kuwasaidia walemavu kupata ujuzi na stadi za maisha Ili waweze kujitegemea na pia kujichanganya na jamii wanamo ishi. VYUO hivi...
  20. sky soldier

    Case study: Tangu nikiwa mdogo ni kawaida kukuta watoto wa kikristo wana malezi ya wazazi wote ila kwa waislam ni mama tu, nini chanzo?

    Walengwa ni watoto ambao wazazi wao walifunga ndoa, Ukweli familia nyingi za kiislamu watoto kukua na mama bila baba kuwa karibu ni kawaida sana Nilianza kuyaona haya nilipofika darasa la tano, nakumbuka nikiwa naenda kwenye nyumba ya rafiki yangu wa kiislam kwenda kucheza game namkuta mama...
Back
Top Bottom