Kwanini wazazi wengi hamthamini malazi ya watoto

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
4,460
9,394
Asilimia kubwa ya familia zetu waswahili wenye kipato na wasiyo n kipato ukienda angalia mahali ambapo watoto hulala unapata maswali sana

Unakuta watoto wanalalia godoro limechoka,
Unakuta watoto hawana shuk wanajifunika mitandio, wengine khanga, wengine vitenge au shuka zimechakaa
Unakuta chumba cha watot kichafu kama vile mlezi hayupo
Unakuta chumba cha watoto nguo zimetupwa tupwa yani hakuna mpangilio, wakati mama yupo, baba yupo

Hii hali si kwa watu wenye kipato cha chini tu hata wenye kipato cha kati wengine kipato kikubwa ambao wana uwezo wakunua mashuka ya kujifunika ila wao watoto hawawajali kabisa

Wewe hapo unayesoma uzi huu vipi wanao wanalala Mazingira mazuri ebu kakague chumba cha watoto uone
 
Picha iko wapi support huu uzi
 
Kuna jamaa mmoja alikua akileta stori nyingi kuhusu hekaheka zake na mama J, basi skumoja hakuacha pesa ya meza nyumbani kwake ambapo alijinadi kwamba ni mambo safi.
Jioni alipo rudi akakuta ameandaliwa mchemsho wa jogoo aliekufa kwenye banda, basi akaja kututambia hapa ndani akatupia na picha.....๐Ÿคฃ
Hapo ndipo kosa lilipo anzia, maana wana Jf hawaku muacha salama kwa picha ya bakuli lile la bati lililo choka ndio anakulia mchemsho wa supu...๐Ÿ˜œ
Aloooooo.... skuhiyo nilicheka sana....๐Ÿ˜
 
Asilimia kubwa ya familia zetu waswahili wenye kipato na wasiyo n kipato ukienda angalia mahali ambapo watoto hulala unapata maswali sana

Unakuta watoto wanalalia godoro limechoka,
Unakuta watoto hawana shuk wanajifunika mitandio, wengine khanga, wengine vitenge au shuka zimechakaa
Unakuta chumba cha watot kichafu kama vile mlezi hayupo
Unakuta chumba cha watoto nguo zimetupwa tupwa yani hakuna mpangilio, wakati mama yupo, baba yupo

Hii hali si kwa watu wenye kipato cha chini tu hata wenye kipato cha kati wengine kipato kikubwa ambao wana uwezo wakunua mashuka ya kujifunika ila wao watoto hawawajali kabisa

Wewe hapo unayesoma uzi huu vipi wanao wanalala Mazingira mazuri ebu kakague chumba cha watoto uone
Uzi usio na picha ni chuki tu kwa watu
 
Asilimia kubwa ya familia zetu waswahili wenye kipato na wasiyo n kipato ukienda angalia mahali ambapo watoto hulala unapata maswali sana

Unakuta watoto wanalalia godoro limechoka,
Unakuta watoto hawana shuk wanajifunika mitandio, wengine khanga, wengine vitenge au shuka zimechakaa
Unakuta chumba cha watot kichafu kama vile mlezi hayupo
Unakuta chumba cha watoto nguo zimetupwa tupwa yani hakuna mpangilio, wakati mama yupo, baba yupo

Hii hali si kwa watu wenye kipato cha chini tu hata wenye kipato cha kati wengine kipato kikubwa ambao wana uwezo wakunua mashuka ya kujifunika ila wao watoto hawawajali kabisa

Wewe hapo unayesoma uzi huu vipi wanao wanalala Mazingira mazuri ebu kakague chumba cha watoto uone
 
Kuna jamaa mmoja alikua akileta stori nyingi kuhusu hekaheka zake na mama J, basi skumoja hakuacha pesa ya meza nyumbani kwake ambapo alijinadi kwamba ni mambo safi.
Jioni alipo rudi akakuta ameandaliwa mchemsho wa jogoo basi akaja kututambia hapa ndani akatupia na picha.....๐Ÿคฃ
Hapo ndipo kosa lilipo anzia, maana wana Jf hawaku muacha salama kwa picha ya bakuli lile la bati lililo choka ndio anakulia mchemsho wa supu...๐Ÿ˜œ
Aloooooo.... skuhiyo nilicheka sana....๐Ÿ˜
Umewaza nini mkuu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ
 
Mleta mada anajinadi kwa usafi wa vyumba vya watoto wake, lakini siku likija kumkuta jambo na majirani wakaona watoto wake wanapo lala ndio itakua kama ya baba J na bakuli la bati wakati anaduka la vyombo standard vya nyumbani..๐Ÿคฃ
 
Yani hadi nimerudi tena kwenye ule uzi...nimecheka kweli yani๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
mtoto katoka kuoga katupa nguo sakafuni, anatafuta za kuvaa anatoa kwenye bag harudishi. godoro kila siku linalowa mikojo, shuka nazo kila siku mikojo. Yote sawa umeamka umetoa godoro kuanika, umefua shuka umepanga chumbani kwao safi kabisa. Mchana wameenda kupumzika chumbani ni kuchangua chumba vululu vululu haya usingizi umewapitia wameamka godoro limelowa tena shuka zimelowa tena. baada ya muda Godoro linachoka shuka zinafubaa...
 
Asilimia kubwa ya familia zetu waswahili wenye kipato na wasiyo n kipato ukienda angalia mahali ambapo watoto hulala unapata maswali sana

Unakuta watoto wanalalia godoro limechoka,
Unakuta watoto hawana shuk wanajifunika mitandio, wengine khanga, wengine vitenge au shuka zimechakaa
Unakuta chumba cha watot kichafu kama vile mlezi hayupo
Unakuta chumba cha watoto nguo zimetupwa tupwa yani hakuna mpangilio, wakati mama yupo, baba yupo

Hii hali si kwa watu wenye kipato cha chini tu hata wenye kipato cha kati wengine kipato kikubwa ambao wana uwezo wakunua mashuka ya kujifunika ila wao watoto hawawajali kabisa

Wewe hapo unayesoma uzi huu vipi wanao wanalala Mazingira mazuri ebu kakague chumba cha watoto uone
Acha umbea
 
Ukweli mtupu
 
Kuna jamaa mmoja alikua akileta stori nyingi kuhusu hekaheka zake na mama J, basi skumoja hakuacha pesa ya meza nyumbani kwake ambapo alijinadi kwamba ni mambo safi.
Jioni alipo rudi akakuta ameandaliwa mchemsho wa jogoo basi akaja kututambia hapa ndani akatupia na picha.....๐Ÿคฃ
Hapo ndipo kosa lilipo anzia, maana wana Jf hawaku muacha salama kwa picha ya bakuli lile la bati lililo choka ndio anakulia mchemsho wa supu...๐Ÿ˜œ
Aloooooo.... skuhiyo nilicheka sana....๐Ÿ˜
Deep pond
 
Back
Top Bottom