wazazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania TAFAKURI: Utajisikiaje endapo utaambiwa Wazazi uliohisi wamekuzaa na kukulea kwa miaka mingi si wazazi wako halisi?

    Katika pita pita zangu na tafakuri za hapa na pale kwenye kichwa changu. Nikawaza kuwa itakuwaje endapo Utapata Taarifa kuwa wazazi ulionao/Waliokulea Sio wazazi wako halisi Huenda umekuwa ukijua kuwa ni wazazi wako kwa Takribani miaka 50s, 40s ,30s au hata 20s ya kuishi duniani.. Je...
  2. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi 12 Shule ya Umoja wa Wazazi CCM walia mishahara, waandika barua kwenda kwa Rais Samia

    Waliokuwa watumishi (wastaafu) na ambao bado ni watumishi wakiwemo Walimu katika Shule ya Sekondari Bulima, iliyoko Halmashauri ya Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu, inayomilikiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Jumuiya ya Wazazi ya Chama hicho (UWT) wamelalamikia kutolipwa mishahara yao kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Walimu wasotea mshahara miaka 11 Shule ya Wazazi CCM

    Watumishi 14 wakiwamo walimu wa shule ya Jumuiya ya Wazazi ya CCM), Bulima Sekondari iliyopo Wilaya ya Busega mkoani Simiyu, wamekuwa katika sintofahamu baada ya shule hiyo kubinafsishwa bila kupewa taarifa. Aidha, walimu hao wamekuwa na madai matatu dhidi ya mwajiri wao ambayo ni barua ya...
  4. JamiiForums Tanzania Wazazi na ndugu zako bado wanaishi

    Mwanaume unayetarajia kuoa au ambaye umeshaoa, pamoja na majukumu mengi uliyonayo, lakini unapaswa kukumbuka kuwa wazazi na ndugu zako bado wanaishi. Neno la Mungu linasema, MWANZO 2:24 "Kwa hiyo mwanamume ATAMWACHA baba yake na mama yake naye ATAAMBATANA na mkewe, nao watakuwa MWILI MMOJA."...
  5. JamiiForums Tanzania Hakikisheni Watoto Wachanga Hawapati Shida Watumiapo Kadi za Wazazi Wao

    Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amewataka watendaji wa mfuko wa bima ya afya na vituo vyote vya huduma za afya nchini kuhakikisha watoto na wazazi hawapati shida iwapo mama atakuwa na kadi yake inayoonyesha ushahidi wote kuhusu mtoto husika na ni mtoto wangapi kwenye familia. Dkt...
  6. JamiiForums Tanzania CDF Gen. Mkunda tafadhali tupitie pamoja hizi baadhi ya Kauli za Raia waliopokea Kipondo cha MP wako Lugalo na Kauli za Wazazi wao kisha tuzielewe

    Kijana aliyepokea Kipondo kikali cha MP wa Lugalo tokea Juzi na Jana Jioni Kuachiwa "Yaani nashindwa Kutembea hivi huku Macho yangu hayaoni vizuri kutokana na Adhabu na Kipigo. Labda hawa Wanajeshi wasije kushinda nasi huku Kawe Kisasi nitakilipiza tu" Mdada aliyepokea Kichapo kutoka kwa MP wa...
  7. JamiiForums Tanzania Jokate Mwegelo: Siku hizi wazazi wanawaogopa Watoto

    Akizungumza na Wanahabari, leo Ijumaa Oktoba 27, 2023, Jokate Mwegelo Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) amesema viongozi bora wanatakiwa kutengenezwa kuanzia ngazi ya chini. Amesema “Hatuwezi kuwa na viongozi bora bila kutengenezwa, viongozi bora wanatoka kwenye familia, wanatoka...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini bado wazazi waliofanikiwa kibiashara ni waoga kuwashirikisha, kuwaamini na kuwatumia watoto wao kuendeleza miradi yao ?

    Nashangaa kuona bado hizi fikra za kale zinaendelea "kila mtu ajitafutie cha kwake", mtoto wa mfanyabiashara anafika miaka 23 hana utofauti na watoto wa mwalimu, yani hajui kitu kuhusu biashara kiasi kwamba hata akimaliza chuo anafikiria mshahara, hata akikosa ajira mzazi kwenye account ana...
  9. JamiiForums Tanzania Kuna wazazi wanawaandaa watoto wao kuwa watumwa katika hii nchi. Mtoto anamaliza darasa la 7 hata wiki haiishi anapelekwa kusoma pre form one.

    Kwa sasa serikali ina wastani wa watumishi 700k, sekta binafsi wenye mikataba ya maana ni kama millioni 1 tu. Tuseme hivi waajiriwa wenye maslahi angalau hapa nchini ni kama millioni 2 tu. Wengi ni vibarua, nikimaanisha wengi wana mikataba mifupi . Idadi ya wasomi inaongezeka kila leo. Zamani...
  10. JamiiForums Tanzania Shule za binafsi (msingi na sekondari) kutoza wazazi/ walezi bima za afya wanafunzi kwa kila mwaka Ummy mwalimu unalifahamu hilo?

    Kuna wimbi limeingia kwenye wizara ya elimu shule binafsi kutoza bima ya afya 300, 000 kila mwanafunzi kwa kila mwaka. Hizi bima ni halali au wazazi/ walezi tuna upinga mwingi!
  11. JamiiForums Tanzania Hivi wazazi na walezi mnawezaje kuishi watoto viburi majumbani kwenu?

    Mimi ni mtoto wa pili katika familia ya watoto 8 nina miaka 27, bado naishi nyumba ya kifamilia bado mambo bila bila (maisha magumu kuhama) nimepoteza mzazi wa kike na wakiume anaishi mbali kidogo na sisi ila tunashukuru hajakataa uzazi wake. Kama mnavyojua katika familia lazima baadh ya muda...
  12. JamiiForums Tanzania Mbunge Ntate: Wazazi Kuweni Makini na Malezi Hasa ya Watoto wa Kike

    Mbunge wa Viti Maalum (Anayewakilisha Wafanyakazi Nchini) Anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Janejelly James Ntate amewaasa wazazi na walezi kuwa makini na malezi ya watoto hasa watoto wa kike kwa kuwa watoto hao wapo hatarini sana kutokana na kukumbana na vishawishi vya kila aina tofauti...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa mambo haya acha vijana wa sasa wadharau Mila za Wazazi na Wazee wao

    KWA MAMBO HAYA ACHA VIJANA WA SASA WADHARAU MILA ZA WAZAZI NA WAZEE WAO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Vijana wa sasa wanaonekana kama hawana maadili lakini ukilinganisha na wazazi au Mababu zao utakuja kugundua vijana wa sasa wana maadili kuliko wazazi na wazee wao. Taikon katika...
  14. JamiiForums Tanzania Mwanangu Ally K wa ilala hauoni aibu kuishi kwa wazazi wako hapo maskani

    Sina haja ya kumdhalikisha mtu hapa nipo kuusema ukweli hapa kuna mambo yananikera sana hapa na muhusika yupo hapa jukwani hii thread anaiona bila shaka hapa Ally k wazazi wako wanachukizwa na hiyo tabia yako ya kuishi hapo kwenu wazazi wako wamenilalamikia kwamba unawanyima uhuru na halafu sie...
  15. R

    JamiiForums Tanzania NACTE toeni matokeo ya mitihani wazazi wajiandae na wanafunzi wajue fate yao

    Vyuo hivyo vya kati vinafunguliwa 9/10/2023. matokeo ya mitihani bado...yaani mwanafunzi aende chuoni halafu arudi nyumbani in case he/she is discontinued Mzazi unajiandaa lini na ada? Rutayugwa take note of this
  16. F

    JamiiForums Tanzania Wazazi kamwe msiwaruhusu watoto wenu kuangalia filamu za kutisha (zombie & violent movies), kuna mkakati hatari wa shetani kwenye movie hizi!

    Same. Mwanafunzi wa darasa la sita shule ya msingi Majengo wilayani Same, mkoani Kilimanjaro Brian Elisha Godson (12) amejiua kwa kujinyonga akitaka kuigiza kama filamu ya kujinyonga aliyoipenda kuiangalia akiamini hatakufa. Godson anadaiwa kufanya jaribio hilo kwa kujinyonga na shuka saa 12...
  17. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wazazi wa watoto waliomaliza darasa la saba

    Wakati unakimbizana na mtoto kufanya interviews kwenye shule mbali mbali kwa ajili ya kuingia Form One zingatia yafuatayo: 1. Angalia kwanza uwezo wa mtoto wako kabla ya kulipia hela ya usahili. Kuna shule hata ungezitaka vipi kwa uwezo wa mwanao, hatopata, unapoteza pesa bure. Tafuta za uwezo...
  18. JamiiForums Tanzania Wazazi wakitengana huwaacha watoto ni nusu mayatima..

    Hili limekuwa ni tatizo japo watu wengi kwenye jamii hawalitambui kabisa, ishu ya wazazi kutengana inaweza kuwa ni kuachana tu kwa kupeana taraka. Imefanya watoto wanaochwa kukosa utetezi, na mwisho wa siku hupitia mazingira magumu kufikia ukuwaji wao.
  19. JamiiForums Tanzania Liwale, Lindi: Wazazi huwachoma Watoto Sindano za kuzuia Mimba na kuwaweka Vijiti wanapovunja Ungo

    Mkuu wa Wilaya ya Liwale Mkoani Lindi amesema kumekuwepo na tatizo la wazazi wilayani humo kukwepa majukumu ya kuwasomesha watoto wao hali inayopelekea kuwachoma sindano za kuzuia mimba watoto wenye umri wa miaka 12 na kuwawekea vijiti watoto pindi wanapovunja ungo. Ameeleza "Mtoto...
  20. JamiiForums Tanzania Wazazi acheni kulazimisha vijana wawatatulie changamoto zenu ambazo nyie mlishindwa kuzitatua kwa uzembe wenu

    Toka ujana wako wote mpaka unafikia umri huo hukujenga hata kichumba na kisebule eti unasubilia kijana wako uliemzaa asome kuanzia kindigate mpaka chuo, atafute ajira, ahangaike weee!! Ndo aje akujengee??? Aaahhh! Uzembe ulioje huo? Yaani wewe miaka yote ya ujana wako mpaka unazeeka ulishindwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…