CDF Gen. Mkunda tafadhali tupitie pamoja hizi baadhi ya Kauli za Raia waliopokea Kipondo cha MP wako Lugalo na Kauli za Wazazi wao kisha tuzielewe

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,646
109,031
Kijana aliyepokea Kipondo kikali cha MP wa Lugalo tokea Juzi na Jana Jioni Kuachiwa

"Yaani nashindwa Kutembea hivi huku Macho yangu hayaoni vizuri kutokana na Adhabu na Kipigo. Labda hawa Wanajeshi wasije kushinda nasi huku Kawe Kisasi nitakilipiza tu"

Mdada aliyepokea Kichapo kutoka kwa MP wa Lugalo akiwa Zahanati maarufu Kawe leo akipokea Matibabu

"Tukio kafanya mwingine sasa Sisi Wanawake ( akina Mama hapa tunahusikaje? ) na hivi Nimeshaathirika kwa UKIMWI na hupenda Kunitongoza kutokana na huu Urembo wangu sasa natangaza rasmi Kisasi changu nitakilipiza kwa Kutembea nao Wote bila Kinga ili niwapukutishe vizuri labda wahame Kawe hii"

Mzazi wa Mtoto aliyepokea Kichapo cha uhakika kutoka kwa MP wa Lugalo tokea Juzi na karudishwa Kwao jana jioni akiwa anatambaa kwa kutojiweza

"Hawa Wanajeshi wote Walionitesea Mwanangu kwa idadi yao iliyokuwepo na wakila Krismasi hii ijayo Wakatambike makwao. Kesho Asubuhi naenda Kwetu Bagamoyo na nitahakikisha Wote wanakuja hapa Kwangu wakiwa Wanatambaa huku wakiwa wanatokea na Vinyesi. Wao si wanaringia Miguvu yao na Mimi nalingia Babu yangu Kijijini tutaheshimiana tu"

Wakazi wa maeneo ya Kawe ( hasa hasa Jirani na Kambi ) husika ya Lugalo

"Kiukweli wamezidi Kutuonea na hawajatundea Haki na kuna baadhi kwa Ubabe waliingia hadi Majumbani mwa Watu na Kuvujja Milango wakidai Wanawatafuta Vijana Wahuni na kudai Sisi tunawaficha. Wameshasababisha tuwachukie na Sisi Raia tukiamua Kuwamaliza vizuri tu tunaweza"

CDF Gen. Mkunda najua upo nasi tena sana tu hapa JamiiForums na nimeambiwa kuwa Threads zangu mbili za Juzi na Jana umezisoma zote na sijashangaa kusikia ( kama ni kweli kulingana Mtoa Taarifa wangu ) kuwa Jana ama Wewe au Mnadhimu Mkuu Mmoja wenu alienda Lugalo Jeshini kujua nini Kinaendelea na ulipoona Vijana Wengi waliokamtwa Juzi ( wakati wa Oparesheni yao ) wako Kambini huku wengine Wanalia na Wakiugulia Majeraha ya Vipigo Vikali vilivyovipata haraka sana Uliamuru waachwe na wachache mno Wanaoshukiwa waendelee Kuhojiwa.

Waziri wa Ulinzi Dkt. Stegormena Tax jana GENTAMYCINE nilikuomba uje hapa JamiiForums na Verified Account yako kwakuwa nina yangu ya muhimu ya Kukuambia umenipuuza ipo Siku utakuja Kuomba Ushauri na tutakuangalia huku mambo yakiharibika zaidi.
 
Hivi nani aliamua kuwa ukivaa gwanda unakuwa mnyama?

Mbona wajeda duniani tunapishana nao kama hawapo vile
Na raia wamezidi woga pia
Kuna siku kashuka mwanajeshi kwenye lorry, fala mmoja akaropoka ooh huyo peke yake anaweza akawapiga watu 10 tena bila silaha
Nilibaki nacheka tu na kusononeka pamoja
Yaani wamekuwa SAS sasa
Yaani dereva daa
Acheni kuwapa vichwa hao
Mkuu wa majeshi atoe tamko ni marufuku mjeda kwenda kupiga raia kisa kavaa gwanda na marufuku kuitana kisa mmoja wao kalewa au kazidiwa kete na dume kwa mwanamke halafu anaenda analia kambini na kuja na battalion kama wanaingia vitani
 
Inawezekana Askari Jeshi wetu hawana shughuli ya kuwaweka 'Bize?'
 
Kijana aliyepokea Kipondo kikali cha MP wa Lugalo tokea Juzi na Jana Jioni Kuachiwa

"Yaani nashindwa Kutembea hivi huku Macho yangu hayaoni vizuri kutokana na Adhabu na Kipigo. Labda hawa Wanajeshi wasije kushinda nasi huku Kawe Kisasi nitakilipiza tu"

Mdada aliyepokea Kichapo kutoka kwa MP wa Lugalo akiwa Zahanati maarufu Kawe leo akipokea Matibabu

"Tukio kafanya mwingine sasa Sisi Wanawake ( akina Mama hapa tunahusikaje? ) na hivi Nimeshaathirika kwa UKIMWI na hupenda Kunitongoza kutokana na huu Urembo wangu sasa natangaza rasmi Kisasi changu nitakilipiza kwa Kutembea nao Wote bila Kinga ili niwapukutishe vizuri labda wahame Kawe hii"

Mzazi wa Mtoto aliyepokea Kichapo cha uhakika kutoka kwa MP wa Lugalo tokea Juzi na karudishwa Kwao jana jioni akiwa anatambaa kwa kutojiweza

"Hawa Wanajeshi wote Walionitesea Mwanangu kwa idadi yao iliyokuwepo na wakila Krismasi hii ijayo Wakatambike makwao. Kesho Asubuhi naenda Kwetu Bagamoyo na nitahakikisha Wote wanakuja hapa Kwangu wakiwa Wanatambaa huku wakiwa wanatokea na Vinyesi. Wao si wanaringia Miguvu yao na Mimi nalingia Babu yangu Kijijini tutaheshimiana tu"

Wakazi wa maeneo ya Kawe ( hasa hasa Jirani na Kambi ) husika ya Lugalo

"Kiukweli wamezidi Kutuonea na hawajatundea Haki na kuna baadhi kwa Ubabe waliingia hadi Majumbani mwa Watu na Kuvujja Milango wakidai Wanawatafuta Vijana Wahuni na kudai Sisi tunawaficha. Wameshasababisha tuwachukie na Sisi Raia tukiamua Kuwamaliza vizuri tu tunaweza"

CDF Gen. Mkunda najua upo nasi tena sana tu hapa JamiiForums na nimeambiwa kuwa Threads zangu mbili za Juzi na Jana umezisoma zote na sijashangaa kusikia ( kama ni kweli kulingana Mtoa Taarifa wangu ) kuwa Jana ama Wewe au Mnadhimu Mkuu Mmoja wenu alienda Lugalo Jeshini kujua nini Kinaendelea na ulipoona Vijana Wengi waliokamtwa Juzi ( wakati wa Oparesheni yao ) wako Kambini huku wengine Wanalia na Wakiugulia Majeraha ya Vipigo Vikali vilivyovipata haraka sana Uliamuru waachwe na wachache mno Wanaoshukiwa waendelee Kuhojiwa.

Waziri wa Ulinzi Dkt. Stegormena Tax jana GENTAMYCINE nilikuomba uje hapa JamiiForums na Verified Account yako kwakuwa nina yangu ya muhimu ya Kukuambia umenipuuza ipo Siku utakuja Kuomba Ushauri na tutakuangalia huku mambo yakiharibika zaidi.
 
Attachments

  • 63E404A6-431E-449E-A72F-7BCBD90BC608.jpeg
    63E404A6-431E-449E-A72F-7BCBD90BC608.jpeg
    160.6 KB · Views: 4

Genta
Umesalimika na kichapo kweli?

Hizi taarifa zinaleta majonzi mazito. Katiba na sheria zetu ni geresha tu
 
pole sana vijana walionyoroshwa vilivyo na vijana wa Lugalo, nawaombea mpone haraka maumivu na majeraha.

Binafsi nimefedheheshshwa sana na matikio yote mawili, lile la mauaji wa Askari na hili la utesaji wa vijana wasio husika na lolote. Mambo ya ajabu sana..
Nawahakikishie hatua muhimu zitachukuliwa kwa kila moja aliehusika kwenye jambo hili.....
 
Na mimi nitaendelea kusisitiza tena na tena:

An army unit without discipline is nothing but a bunch of hooligans

Na kamwe hiyo unit haiwezi kushinda vita yo yote ile ama ya ndani au ya nje. Uhusiano mzuri kati ya jeshi na raia ni wa muhimu mno maana kila mmoja anamtegemea mwenzake. Askari wa Idd Amin walikuwa na tabia kama hizi hizi za hawa wetu wa kisasa na athari zake Amin alikuja kuziona japo kwa kuchelewa sana - wakati huo raia wameshaligeuka jeshi lao wenyewe!
 
Na ndio maana yale mabomu ya mbagala yalidhihirisha hilo ilikuwa aibu!! Kuna baadhi ya raia walionyesha ujasiri kuliko wanajeshi wenyewe!!
Wewe!

Jiulize vizuri,mbagala imekuwepo kwa miaka mingapi hadi mabomu yake yalipuke kipindi kile!!?

We unafikiri ni coincidence tu kwamba yalipuke kipindi kile!!?

Tuachane nayo hayo!!

Ishu ya wajeda kutoa kichapo huko kawe tujiulize kwanini kipindi hiki ikawa hivyo!!?

Kwani hiyo kambi siku zote haikuwepo!!?

Kacheki gem ya Chelsea mkuu Bado bila bila!
 
Inawezekana Askari Jeshi wetu hawana shughuli ya kuwaweka 'Bize?'
Naona hata mazoezi hawafanyishwi
Maana hayo mazoezi wanayorusha watu vichura wangekuwa wanarushwa wao sidhani hata kama wangepata mda wa kulewa na kutafuta mademu na kuonea watu wasiokuwa na hatia

Ila majeshi yetu yote ni uonezi tu
 
Back
Top Bottom