wawili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ngorongoro: Radi yajeruhi watu wawili wakitumia simu wakati mvua inanyesha

    Watu wawili wakazi wa Olodonyokeri, Kata ya Ngorongoro Mkoa wa Arusha, wamejeruhiwa na radi wakiwa machungani na kusababisha majeraha sehemu mbalimbali za miili yao. RPC wa Arusha, ACP Justine Masejo amesema chanzo cha tukio hilo ni matumizi ya simu wakati wa mvua kubwa iliyokuwa ikinyesha...
  2. JamiiForums Tanzania Ole Sendeka, hawa ndugu zako wawili walioua faru uliwatuma?

    Baada ya kusikia upotoshwaji wa makusudi unaofanywa na ndugu zetu wanaoishi ndani na karibu ya maeneo ya Hifadhi zetu kuhimu adhimu kuwa wamasai ni wahifadhi kwa asili na hawafanyi ujangili. Ilinibidi nijipe Homework kuthibitisha hili, nilichogundua ni uongo mtupu. Tafadhali fuatilia 1...
  3. JamiiForums Tanzania Sudan: Idadi ya waliouawa na polisi wakati wa maandamano yafikia 80

    Maafisa wa usalama wa Sudan wamewaua kwa risasi waandamanaji wawili walipokuwa wanajaribu kuwatawanya maelfu ya waadamanaji, kwa kutumia gesi ya kutoa machozi kwenye mji mkuu wa Khartoum pamoja na mji pacha wa Omdurman siku ya Jumatatu. Kamati ya Madaktari wa Sudan inasema mwandamanaji huyo...
  4. JamiiForums Tanzania INASIKITISHA; Tuhuma nyingine nzito kwa Jeshi la Polisi, watuhumiwa wawili wafariki Morogoro na Tabora

    Tuhuma dhidi ya Jeshi la Polisi kuhusu kusababisha mauaji zimeendelea kushika kasi na leo hii Jumatatu Februari 14, 2022, Gazeti la Mwananchi limeibuka na tuhuma nyingine tena zinazohusu jeshi hilo. Mwananchi imeripoti juu ya matukio mawili ya kuuawa wa watuhumiwa,moja liamuhusu mmja wa vijana...
  5. JamiiForums Tanzania Ushauri: Nioe yupi Kati ya hawa wanawake wawili?

    Habari za siku wadau Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu katika mapambano ya kutafuta mwenza wa maisha nimejikuta naangukia kwa wanawake wawili ambao wote naona ni bora wanavigezo vile nilivyokuwa nahitaji. Mimi siku zote nimekuwa navutiwa zaidi na mwanamke ambaye hana tamaa ya vitu...
  6. JamiiForums Tanzania Kuoa wake wawili mpaka wanne kuna mantiki zaidi kuliko kuoa mke mmoja

    Hii ni kwa mujibu ya uoni wangu hafifu,kuoa Mke mmoja ilikuwa ni aina Fulani ya "uzazi wa mpango duniani"
  7. JamiiForums Tanzania Uliwahi kusikia nini kuhusu wawili hawa?

    Hapa ni Mh. Nape alipomtembelea Mh. Mwandosya nyumbani kwake na kupewa zawadi ya kitabu!
  8. P

    JamiiForums Tanzania Tanzania inaweza kuwa na mabalozi wawili katika nchi moja?

    Wajuzi habari za mchana wa leo. Juzi nimemsikia Raisi wa Zanzibar akiagana na mabalozi wanaokwenda kuwakilisha ktk nchi mbalimbali. Ila sikujua kama ni hawahawa wa Tz alikuwa akiagana nao au amefanya uteuzi wa mabalozi kutoka ZNZ. Nilishangaa zaidi baada ya kuona kuna balozi anakwenda Brazil...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai kaa na Mama Makinda akufunde, hukufundika vyema

    huyu jamaa siku hizi kama simwelewi yupo upande upi, inaonesha wakati anakabidhiwa usipka hakupata shule ya kutosha kabisa kutoka kwa bi mkubwa Makinda. mfano angalia hapo chini kauli 2 tofauti za JOB Ndugai 1: Bunge tunakupongeza Rais Samia kutuletea mkopo Trillion 1.3, hii ni boost kubwa...
  10. JamiiForums Tanzania Kwangu Mimi Manyerere Jackton aliyepata 'Masters' yake SAUT juzi ndiyo Msomi na siyo wale 'Wasanii' Wawili waliopata 'PhD's' zao za UDOM hivi karibuni

    Awali ya yote nianze kwa Kukupongeza sana na kwa Furaha mno 'Poti' wangu wa Kizanaki kutoka Mkoani Mara na Mkurugenzi Mwenza wa Gazeti la JAMHURI Kaka Manyerere Jackton kwa kupata Masters Degree yako ya Mass Communication kutoka Chuo Kikuu changu 'pendwa' Tanzania nzima cha SAUT Mwanza. Kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Anahitajika Afisa Mikopo elimu iwe diploma au degree, intern pia katika fani ya microfinance anahitajika mmoja au wawili

    Anahitajika Afisa Mikopo elimu iwe diploma au degree, intern pia katika fani ya microfinance anahitajika mmoja au wawili, anaye hitaji kazi hii natakiwa awe anaishi Meru au mpakani mwa Arusha na Moshi au Wilaya ya Hai maeneo ya Bomangombe. Intern anahitajika mmoja au wawili katika fani hiyo...
  12. JamiiForums Tanzania Hawa mabinti wawili watanitoa roho

    Wana bodi, heshima kwenu. Kadri muda unavyozidi kwendaa ndio nazidi kuchanganyikiwa, sielewi.. moja haikai, mbili haikai. Niko kwenye mahusiano na mabinti wawili kwa muda miaka 3+ sasa.. Mmoja ni mzuri sana, mrembo, presentable na udambwiudabwi wa kila aina kwenye masula ya mapenzi na mambo ya...
  13. JamiiForums Tanzania Huduma bora za afya: Mbona bado wakina mama wanaojifungua wanalazwa hadi watatu kitanda kimoja?

    Serikali yetu kupitia wizara ya Afya naona ipo busy na kampeni za chanjo za Uviko19 huku ikijisahaulisha huduma muhimu huko kwenye Hospital za serikali. Jana nilienda kutembelea mama mmoja jirani yangu Alieenda kujifungulia Mt Meru hosp,na mtoto kuwekwa chumba cha joto kwa muda wa wiki mbili...
  14. JamiiForums Tanzania Muhudumu wa afya na mwanafunzi wa udaktari (intern) hospitali ya wilaya Kaliua, mkoani Tabora wasimamishwa kazi kwa kufanya mapenzi wodini

    Mkuu wa wilaya ya Kaliua, Paul Chacha amewasimaisha kazi watumishi wawili wa hospitali ya wilaya hiyo kwa tuhuma za kushiriki mapenzi hovyo wodini. Chacha amesema awali ulifanyika uchunguzi baada ya wagonjwa kulalamikia vitendo vya wauguzi hao kufanya mapenzi wodini wakiwa zamu za usiku. Mmoja...
  15. JamiiForums Tanzania Katazo la kulala wanaume wawili Lodge

    Ni Jumatatu tulivu tenaaa Hivi hili katazo ambalo tunakutana nalo kwenye nyumba za kulala wageni iwe lodge, guest au hotel ya kuwa hawaruhusiwi kulala wanaume wawili limekaaje wandugu? Au limezingatia nini hasa hadi kuwekwa maana ka wengine naona sio sawa kabisa wengine tuna safari tunafikia...
  16. JamiiForums Tanzania Hii picha ilipigwa mwaka 1937, hawa vijana wawili wa mbele ni watoto wa wapigiwa kura, kule nyuma wamesimama watoto wa wapiga kura

    Wenye hats wanaliitwa toff kids.
  17. JamiiForums Tanzania Babu akasema: Pesa ina maadui wawili mjukuu wangu

    BABU AKASEMA; PESA INAMAADUI WAWILI, JE WAWAJUA? Anaandika , Robert Heriel. © Maandishi ya Robert Heriel Kwa lugha ya Kiswahili. TAIKON Anawasilisha. " Upepo unapotoka hatuuoni na wala unakoelekea hatupajui, ndivyo ninyi Vijana wa Zama hizi mlivyo, mmejigeuza upepo, hamtaki kujua wapi...
  18. JamiiForums Tanzania Mama achinja wanea wawili na kisha kujiua.

    Katika hali ya kushangaza mwanamke mmoja mkazi wa Lalago wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu amewachinja watoto wake wawili kwa kisu kisha yeye mwenyewe kujiua. Zaidi tazama video. 👇
  19. S

    JamiiForums Tanzania CCM iliendaga na hawa mgwiji wawili wa siasa. Hivi Sasa CCM iko mochwari

    Hawa jamaa ndiyo walijua namna ya kufanya siasa na kuifanya ccm ichanue tena ndani ya mioyo ya watanzania. Walijua waseme nn, wakati gani na kwa faida gani? CCM ilinga'ara na kupendwa sana. Chaguzi zilipofika kulikuwa na mtifuano wa haki wa kisiasa baina ya CCM na wapinzani. Baada ya wao...
  20. JamiiForums Tanzania Hii kesi ya ugaidi inatumika kupiga ndege wawili kwa jiwe moja, ila mmoja ndiyo analengwa zaidi

    Hii kesi ya ugaidi inatumika kupiga ndege wawili kwa jiwe moja, ila mmoja ndiyo analengwa zaidi, kwa bahati mbaya mshika manati ndiyo anapoteza zaidi. Nakumbuka miaka ya 2000 kuja 2005 ilikuwa ukipita mitaani chama kilichokuwa kwenye headlines ni CCM. Ndicho chama kilichokuwa kinatrend sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…