Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,734
- 6,292
Tatizo la huu mjadala yeyote anayehoji kuhusu Mambo ya kimkataba anaonekani ni Chura au utopolo na kuzimwa ghafla. Wanasimba tumeamua kutia Pamba masikioni kama tuko kwenye honeymoon tukifurahia mahusiano. What about the Dark days?
Tuliambiwa katika kanuni za huu mchakato wa uwekezaji wa Klabu ya Simba kanuni zinataka kuwe na wawekezaji watatu watakaogawana hiyo 49% . Ikumbukwe hata Bakhresa alitaka naye kuwekeza kupitia hizo kanuni akapotezewa. Swali ni kuwa huu mchakato wa uwekezaji wa Simba Sc uliwekwa kumkumbatia mtu mmoja?.. Kwa nini usitangazwe kama Hisa then watu waBID kuzinunua kupata hizo kampuni 3.
Anyway nakubali labda kuna imani kubwa kwa wanasimba kwa MO sababu pia ni mpenzi mkubwa wa mpira wa Miguu.
Tume ya Ushindani ilitaka kuwe na wawekezaji watatu kama kanuni zinavyosema. Mbona Mo ametoa 20B yeye mwenyewe kununua hizo 49% zote?
Je wanasimba hamuoni kuwa hili suala litakuwa na mgongano wa kisheria hapo mbele?, hamuoni kuwa utakuwa uwekezaji batili?
Kibaya Mtakuja na mihemko ya mabanda ya mpira kuliko kujibu hoja mtaanza kumshambulia mtoa hoja. Tufikirie Simba ya 2035 itakuwaje kama tukiingia mikataba ya hovyo mfano huu wa kuuza timu kiholela.