Wakenya wawili wamequalify kuenda Tokyo Olympics kukimbia mbio za 100 metres

Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
16,017
16,427
Sheria za Olimpiki za Tokyo zinasema kwamba ili mwanariadha kufuzu kuenda Tokyo itabidi akimbie 100 metres chini ya sekunde 10.05. Wakenya wawili wamefikisha muda huo. Yaani kuanzia marathon hadi 100 metres this time tunajaza nafasi kote kote. Malazy endeleeni kulala

Tuko huku

1078675_saisStartups-SAIS_052821-01-702x336.png

5 African startups secure $5k grant funding each from SAIS, Seedstars​

0
BY TOM JACKSON ON JUNE 8, 2021
Five African startups have been awarded US$5,000 each in grant funding from the Southern Africa Innovation Support programme and Seedstars after completing the Investment Readiness Programme.

Run by Southern Africa Innovation Support and Seedstars, the Investment Readiness Programme 2019-2020 selected 15 startups with SDG-focused tech solutions and provided them with tools and knowledge that brought their solutions closer to being investment-ready.

The programme has a focus on 10 countries, namely Botswana, Namibia, South Africa, Tanzania, Zambia, Angola, Democratic Republic of Congo (DRC), Malawi, Mauritius, and Mozambique.

It was then followed by the Investor Roadshow, where the participating startups had the opportunity to present their companies and meet with investors. Five startups were then selected to receive the US$5,000 grant, sponsored by SAIS.

The five startup recipients were Zambian fintech startup Mangwee, Tanzanian FMCG distribution platform SUMET, Mozambican city planner app UBI, South African legal information service Luma Law, and th DRC-based Astech-Congo, which allows users to stay connected to their school or university.

Nimeiona Mganda Mwanamke Waku Sprint,Amekimbia akiwa Nyuma ya watu wengine akawapita ka Ndege,mpaka mtu aliekuwa kwa Mike Akasema Woooow🔥🔥Yani ilibaki tu kidogo hivi Ashinde Mkenya,Ugandans are upcoming🔥🔥
Ugandans wako sawa,kuna vijana wamechukua medals kadhaa wa kule. Na hivyo ndivyo inafaa, EA kutambulika, ila kuna wenzetu wamebobea kula chipsi mayai, sijui tutawasaidia vipi? 😂 😂 😂
 
Tuko huku

1078675_saisStartups-SAIS_052821-01-702x336.png

5 African startups secure $5k grant funding each from SAIS, Seedstars​

0
BY TOM JACKSON ON JUNE 8, 2021
Five African startups have been awarded US$5,000 each in grant funding from the Southern Africa Innovation Support programme and Seedstars after completing the Investment Readiness Programme.

Run by Southern Africa Innovation Support and Seedstars, the Investment Readiness Programme 2019-2020 selected 15 startups with SDG-focused tech solutions and provided them with tools and knowledge that brought their solutions closer to being investment-ready.

The programme has a focus on 10 countries, namely Botswana, Namibia, South Africa, Tanzania, Zambia, Angola, Democratic Republic of Congo (DRC), Malawi, Mauritius, and Mozambique.

It was then followed by the Investor Roadshow, where the participating startups had the opportunity to present their companies and meet with investors. Five startups were then selected to receive the US$5,000 grant, sponsored by SAIS.

The five startup recipients were Zambian fintech startup Mangwee, Tanzanian FMCG distribution platform SUMET, Mozambican city planner app UBI, South African legal information service Luma Law, and th DRC-based Astech-Congo, which allows users to stay connected to their school or university.

Unaleta mambo ya innovations hapa, juzi sikukupa kionjo of what Kenyan youths are into? Hizo ma awards unaonyesha hapo, huku vijana wa UoN na JKUAT wamezizoea. ✌️
 
Sheria za Olimpiki za Tokyo zinasema kwamba ili mwanariadha kufuzu kuenda Tokyo itabidi akimbie 100 metres chini ya sekunde 10.05. Wakenya wawili wamefikisha muda huo. Yaani kuanzia marathon hadi 100 metres this time tunajaza nafasi kote kote. Malazy endeleeni kulala

Hao jamaa nawaaminia, wacha tuone potential yao, hiyo 100m kwanza tunafaa ku motivate vijana wajaribu sana, atleast idadi iongezeke kwa hiyo category.
 
Huyo Wamanyala ni wazimu. Naona akifika semi finals au hata finals. His fastest time is 10.01 seconds. Na ako very consistent. He will motivate younger boys to take up this sport.
 
Sheria za Olimpiki za Tokyo zinasema kwamba ili mwanariadha kufuzu kuenda Tokyo itabidi akimbie 100 metres chini ya sekunde 10.05. Wakenya wawili wamefikisha muda huo. Yaani kuanzia marathon hadi 100 metres this time tunajaza nafasi kote kote. Malazy endeleeni kulala

hongereni mbio za masafa sasa mmeona mmetosha mmeenda na kuwachachafya wajamaica na wamerkani sasa
 
Sheria za Olimpiki za Tokyo zinasema kwamba ili mwanariadha kufuzu kuenda Tokyo itabidi akimbie 100 metres chini ya sekunde 10.05. Wakenya wawili wamefikisha muda huo. Yaani kuanzia marathon hadi 100 metres this time tunajaza nafasi kote kote. Malazy endeleeni kulala

Duh hongera kwenye kufukuza upepo hatuwawezi...ila nimeku-mind kutuita malazy kenge we! :D:D:D
 
Huyo Wamanyala ni wazimu. Naona akifika semi finals au hata finals. His fastest time is 10.01 seconds. Na ako very consistent. He will motivate younger boys to take up this sport.
Hizi ma record ziliwekwa za 100m zinafaa kuvunjwa bhana! 🤣 🤣 🤣
 
Hili nalo jambo la kuanzisha thread!?
Yani mtu kwenda Japan ndio unaanzisha thread!!?
Mungu wangu.
 
Wacha upumbavu wewe. Nchi ya Tanzania haijawahi kupeleka mwanariadha yeyote kukimbia kwenye olimpiki mita mia moja.
 
Hili nalo jambo la kuanzisha thread!?
Yani mtu kwenda Japan ndio unaanzisha thread!!?
Mungu wangu.
Kama hujawahi kufanya jambo na jirani yako ameweza basi mpongeze. Usiwe unasema kwamba ni jambo rahisi ilhali nyinyi mumeshindwa kulifanya. Kama ni jambo dogo mbona nyinyi mumeshindwa kulifanya?
 
Back
Top Bottom