Kampuni ya Alpha Homes inahitaji wafanyakazi wawili (Accountant na Civil Technician).

Kajabwite

Member
Dec 17, 2020
9
45
Alpha Homes ni kampuni inayohusika na ukarabati wa nyumba yenye ofisi zake mtaa wa Ohio (Posta) jijini Dar es Salaam. Ili kufanikisha malengo yetu tunahitaji wafanyakazi wawili ambao ni Accountant na Civil Technician.

Sifa za waombaji;
1) Muombaji awe na elimu ya ngazi ya Diploma kwenye fani husika hapo juu.
2) Uzoefu wa kazi angalau mwaka mmoja na kushuka.
3) Kwenye nafasi ya Uhasibu ni mwanamke anahitajika.
4) Civil Technician nafasi ni kwa ajili ya mwanaume.

MAWASILIANO

1. Namba : +255222196813

2. Barua Pepe : info@alphateqsolutionsltd.com
 
Frank mtanganyika

JF-Expert Member
Aug 10, 2018
200
500
Wenye uzoefu wa miaka hata miatano haturusiwi kuapply? Hali ni mbaya mtaani
Alpha Homes ni kampuni inayohusika na ukarabati wa nyumba yenye ofisi zake mtaa wa Ohio (Posta) jijini Dar es Salaam. Ili kufanikisha malengo yetu tunahitaji wafanyakazi wawili ambao ni Accountant na Civil Technician.

Sifa za waombaji;
1) Muombaji awe na elimu ya ngazi ya Diploma kwenye fani husika hapo juu.
2) Uzoefu wa kazi angalau mwaka mmoja na kushuka.
3) Kwenye nafasi ya Uhasibu ni mwanamke anahitajika.
4) Civil Technician nafasi ni kwa ajili ya mwanaume.

MAWASILIANO

1. Namba : +255222196813

2. Barua Pepe : info@alphateqsolutionsltd.com
 
jaranono

JF-Expert Member
Jun 24, 2015
1,799
2,000

Uhasibu mwanamke! haya ila kuna wanawake wenye fani ya civil .
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom