wawili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Wasiojulikana wazidi kuua, miili ya wawili yapatikana, idadi ya waliouawa wafikia 29

    Miili miwili kati ya mitatu ya watu iliyopatikana juzi Ijumaa ilikutwa ikielea katika Mto Yala Nchini Kenya. Mmoja ulikutwa umetobolewa macho huku ukiwa umekunjwa na kitambaa katika mdomo, mwingine ukiwa umezungushiwa nailoni juu ya kichwa na kufunika uso. OCPD Charles Chacha wa Yala...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, na Marais Wastaafu wa Tanzania Visiwani nao hujaliwa kwa 'First Class Treatment' kama waliobakia Tanzania Bara?

    Na je, na hao wa huko Tanzania Visiwani (Zanzibar Isles ) na Wao Nyumba zao zote (hata zile ambazo) hazikujengwa na Serikali (kwa mujibu wa Sheria) pia huwa zinalindwa sana hata kama Mstaafu yuko zake Kijijini anakula Mananasi au Mihogo na Nyumba zake za Mjini ziko tu na Mbwa wa Kijerumani? Na...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ajali Morogoro: Gari la abiria lagonga lori kwa nyuma, wawili wafariki dunia

    Watu wawili wamefariki dunia na wengine 15 kujeruhiwa baada ya gari la abiria aina ya Toyota Coaster kuligonga kwa nyuma lori lililokuwa limeegeshwa pembezoni mwa barabara kuu ya Dar es Salaam- Morogoro eneo la Oilcom Nanenane. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, SACP Fortunatus Muslimu...
  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Wawili wafariki magari yakigongana na kuwaka moto Mbozi

    Picha: Eneo ambalo ajali imetokea Watu wawili wamefariki na wengine watatu kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha magari mawili likiwamo lililobeba mafuta na kuwaka moto katika ajali iliyotokea maeneo ya Old Vwawa wilayani Mbozi Mkoa wa Songwe. Ajali hiyo imetokea jana Machi 7, 2022 majira ya...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, ni Mwanasiasa yupi kati ya hawa Wawili Wewe utampenda, utamheshimu na hata Kumuombea Mema katika Siasa?

    Mwanasiasa A Ambaye amekamatwa, kabambikiwa Kesi mbaya, Kachafuliwa, Kafilisiwa, Kateswa na Kanyanyasika huku akiwa amekaa muda mwingi Jela na akiombwa aombe Radhi ili aachiwe na anakataa mpaka Haki dhidi yake itendeke na ikitendeka akitoka hajipendekezi bali anaendelea Kuuwasha Moto wake ule...
  6. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Kati ya hawa wawili nimuoe nani?

    Nilikuwa na mahusiano na mwanamke toka nchi moja barani ulaya tiliishi kwa muaka mitano,tukajaaliwa waroto wawili,mkataba ulipoisha akarudi kwao na watoto wangu nikabaki na boksa yangu tu. Sasa nataka kuoa tena katika umri wangu huu wa miaka arobaini ila sijui nimuoe nani kati ya hawa. 1 Sara...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya hawa Washambuliaji Wawili wa NBC Premier League Lusajo na Mayele nani ni Mshamba Juha na nani ni Mstaarabu Mwerevu?

    Lusajo (Namungo FC ) mwenye Goli 10 ila hana Mbwembwe na Kwake ni Kawaida na Mayele mwenye Goli 7 tu ila Mbwembwe Tanzania nzima? Nasubiri Majibu yenu huku nikijiandaa kuendelea kuiletea Heshima zaidi Tanzania hasa kwa Mambo makubwa na ya Kimataifa baada ya kutoka Niger juzi nikalala Ulaya...
  8. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Ngorongoro: Radi yajeruhi watu wawili wakitumia simu wakati mvua inanyesha

    Watu wawili wakazi wa Olodonyokeri, Kata ya Ngorongoro Mkoa wa Arusha, wamejeruhiwa na radi wakiwa machungani na kusababisha majeraha sehemu mbalimbali za miili yao. RPC wa Arusha, ACP Justine Masejo amesema chanzo cha tukio hilo ni matumizi ya simu wakati wa mvua kubwa iliyokuwa ikinyesha...
  9. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania Ole Sendeka, hawa ndugu zako wawili walioua faru uliwatuma?

    Baada ya kusikia upotoshwaji wa makusudi unaofanywa na ndugu zetu wanaoishi ndani na karibu ya maeneo ya Hifadhi zetu kuhimu adhimu kuwa wamasai ni wahifadhi kwa asili na hawafanyi ujangili. Ilinibidi nijipe Homework kuthibitisha hili, nilichogundua ni uongo mtupu. Tafadhali fuatilia 1...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Sudan: Idadi ya waliouawa na polisi wakati wa maandamano yafikia 80

    Maafisa wa usalama wa Sudan wamewaua kwa risasi waandamanaji wawili walipokuwa wanajaribu kuwatawanya maelfu ya waadamanaji, kwa kutumia gesi ya kutoa machozi kwenye mji mkuu wa Khartoum pamoja na mji pacha wa Omdurman siku ya Jumatatu. Kamati ya Madaktari wa Sudan inasema mwandamanaji huyo...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania INASIKITISHA; Tuhuma nyingine nzito kwa Jeshi la Polisi, watuhumiwa wawili wafariki Morogoro na Tabora

    Tuhuma dhidi ya Jeshi la Polisi kuhusu kusababisha mauaji zimeendelea kushika kasi na leo hii Jumatatu Februari 14, 2022, Gazeti la Mwananchi limeibuka na tuhuma nyingine tena zinazohusu jeshi hilo. Mwananchi imeripoti juu ya matukio mawili ya kuuawa wa watuhumiwa,moja liamuhusu mmja wa vijana...
  12. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nioe yupi Kati ya hawa wanawake wawili?

    Habari za siku wadau Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu katika mapambano ya kutafuta mwenza wa maisha nimejikuta naangukia kwa wanawake wawili ambao wote naona ni bora wanavigezo vile nilivyokuwa nahitaji. Mimi siku zote nimekuwa navutiwa zaidi na mwanamke ambaye hana tamaa ya vitu...
  13. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Kuoa wake wawili mpaka wanne kuna mantiki zaidi kuliko kuoa mke mmoja

    Hii ni kwa mujibu ya uoni wangu hafifu,kuoa Mke mmoja ilikuwa ni aina Fulani ya "uzazi wa mpango duniani"
  14. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Uliwahi kusikia nini kuhusu wawili hawa?

    Hapa ni Mh. Nape alipomtembelea Mh. Mwandosya nyumbani kwake na kupewa zawadi ya kitabu!
  15. P

    JamiiForums Tanzania Tanzania inaweza kuwa na mabalozi wawili katika nchi moja?

    Wajuzi habari za mchana wa leo. Juzi nimemsikia Raisi wa Zanzibar akiagana na mabalozi wanaokwenda kuwakilisha ktk nchi mbalimbali. Ila sikujua kama ni hawahawa wa Tz alikuwa akiagana nao au amefanya uteuzi wa mabalozi kutoka ZNZ. Nilishangaa zaidi baada ya kuona kuna balozi anakwenda Brazil...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai kaa na Mama Makinda akufunde, hukufundika vyema

    huyu jamaa siku hizi kama simwelewi yupo upande upi, inaonesha wakati anakabidhiwa usipka hakupata shule ya kutosha kabisa kutoka kwa bi mkubwa Makinda. mfano angalia hapo chini kauli 2 tofauti za JOB Ndugai 1: Bunge tunakupongeza Rais Samia kutuletea mkopo Trillion 1.3, hii ni boost kubwa...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwangu Mimi Manyerere Jackton aliyepata 'Masters' yake SAUT juzi ndiyo Msomi na siyo wale 'Wasanii' Wawili waliopata 'PhD's' zao za UDOM hivi karibuni

    Awali ya yote nianze kwa Kukupongeza sana na kwa Furaha mno 'Poti' wangu wa Kizanaki kutoka Mkoani Mara na Mkurugenzi Mwenza wa Gazeti la JAMHURI Kaka Manyerere Jackton kwa kupata Masters Degree yako ya Mass Communication kutoka Chuo Kikuu changu 'pendwa' Tanzania nzima cha SAUT Mwanza. Kwa...
  18. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Anahitajika Afisa Mikopo elimu iwe diploma au degree, intern pia katika fani ya microfinance anahitajika mmoja au wawili

    Anahitajika Afisa Mikopo elimu iwe diploma au degree, intern pia katika fani ya microfinance anahitajika mmoja au wawili, anaye hitaji kazi hii natakiwa awe anaishi Meru au mpakani mwa Arusha na Moshi au Wilaya ya Hai maeneo ya Bomangombe. Intern anahitajika mmoja au wawili katika fani hiyo...
  19. Ubungo Mataa

    JamiiForums Tanzania Hawa mabinti wawili watanitoa roho

    Wana bodi, heshima kwenu. Kadri muda unavyozidi kwendaa ndio nazidi kuchanganyikiwa, sielewi.. moja haikai, mbili haikai. Niko kwenye mahusiano na mabinti wawili kwa muda miaka 3+ sasa.. Mmoja ni mzuri sana, mrembo, presentable na udambwiudabwi wa kila aina kwenye masula ya mapenzi na mambo ya...
  20. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Huduma bora za afya: Mbona bado wakina mama wanaojifungua wanalazwa hadi watatu kitanda kimoja?

    Serikali yetu kupitia wizara ya Afya naona ipo busy na kampeni za chanjo za Uviko19 huku ikijisahaulisha huduma muhimu huko kwenye Hospital za serikali. Jana nilienda kutembelea mama mmoja jirani yangu Alieenda kujifungulia Mt Meru hosp,na mtoto kuwekwa chumba cha joto kwa muda wa wiki mbili...
Back
Top Bottom