wawekezaji

  1. Tuseme sasa wawekezaji basi tujikite na kukuza wawekezaji wa ndani

    Hii siasa ya kuleta wawekezaji naona imekuwa mwiba kwa nchi hii mikataba mingi ni ya hovyo kabisa. Kuna wawekezaji Tanzania wazalendo wamewekeza pesa nyingi kuliko wageni kwanini tusijikite kukuza wawekezaji wa ndani ya nchi. Tatizo siyo uzoefu wapewe wafanye makosa ndio wajifunze. Sidhani...
  2. NEMC inawakumbusha Wawekezaji kupata cheti cha Tathmini ya Athari kwa Mazingira (TAM) kabla ya kuanza utekelezaji wa miradi

    Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira linapenda kuwakumbusha wawekezaji wa miradi juu ya takwa la sheria ya mazingira linaloelekeza miradi kupata cheti cha Tathmini ya Athari kwa Mazingira (TAM) kabla ya kuanza utekelezaji wa miradi. Wito huo umetolewa na Afisa Elimu ya Jamii wa...
  3. M

    SoC03 Mfumo wa kukutanisha wawekezaji na wabunifu kupitia kituo cha uwekezaji Tanzania (TIC)

    Bila shaka unawafahamu marafiki zako wengi wenye mawazo makubwa ambayo hawajafanikiwa kuyafanyia kazi kutokana na sababu mbalimbali. Hebu fikiri tena jinsi mawazo yao yalivyo mazuri na muhimu lakini yamelala, wala hayatambuliki duniani, na unaweza kudhani hayapo kabisa. Sababu zinazopelekea...
  4. J

    SoC03 Nini kifanyike ili kukabiliana taharuki ya mkataba wa bandari wa DPW nchini Tanzania

    DPWORLD ni kampuni kubwa ya biashara yenye makao makuu yake Dubai ambayo inajishughulisha na uwekezaji katika maeneo ya bandarini. Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizopata bahati ya kuingia mkataba na Kampuni ya DPWORLD,hatua hii ya makubaliano Kati ya Tanzania na DPWORLD ili lenga kuboresha...
  5. Kuhusu 'Wawekezaji'... anaandika Maalim Nash

    Kisiasa na kijamii, Je, ujumbe huu wa Maalim Nash una reflection yoyote kwenye maisha ya Tanzania kwa sasa? Sikiliza kuanzia mwanzo hadi dakika ya 1:30 -Kaveli-
  6. Mikataba yote iliyovunjwa na kuingiwa makubaliano mapya na JPM, wawekezaji wataendelea kulipwa kwa sababu ni wakati wa ulaji kwa wanasheria wa serikal

    Je, huu ni wakati wa wanasheria wa serikali kulamba asali kupitia kesi za kimikataba na kimataifa? Mikataba mingi iliyovunjwa na JPM, ilivunjwa kwa negotiation ya win win stuation ili kuanza upya! Tokea miaka ya 2018 huko miaka mitano nyuma, mwekezaji kampuni ya Nickel ambaye haijulikani...
  7. R

    Wawekezaji baada ya kutengeneza faida lukuki wameamua kutufilisi kwa kufungua kesi huko Mahakama za kimataifa. Wanasheria wetu wanafanya nini?

    Pamoja na hasara kubwa tuliyopata kwenye mikataba ya madini na rasilimali nyingine ikiwemo gesi hali ya kuifilisi Tanzania inayoendelea huko mahakama za kimataifa inatia kinyaa Kinachoendelea sasa hivi; mwekezaji akigombezwa kidogo tu na serikali anakwenda kufungua kesi nje. Akifungua kesi...
  8. Bandari na DP World: Dkt. Slaa asema ni uuzaji wa Nchi. Adai Serikali iliyopo ina uhalali wa wasiwasi

    Balozi Dkt. Willibrod Slaa anazungumza na Wanahabari katika Hoteli ya Regency Jijini Dar es Salaam, leo Juni 13 2023 kuhusu hati ya makubaliano yaliyoingiwa kati ya Tanzania na DP World. Soma hapa hotuba nzima ======= Dkt. Slaa: Hadi kufikia hatua ya azimio hili kuridhiwa na Bunge, ikumbukwe...
  9. Maxence Melo: "Machawa" sio wawakilishi wa Vijana

    Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Forums, Maxence Melo akiwa katika Maadhimisho ya Siku ya Mapambano dhidi ya Rushwa Afrika, yaliyofanyika Jijini Arusha, Tanzania amesema vijana wanaongoza katika mapambano ya rushwa na ni vema vijana wakashirikishwa katika maamuzi Akieleze mchango wa Vijana katika...
  10. J

    Madini waanisha fursa kwa Wawekezaji kutoka India

    Sekta ya Madini imekuwa miongoni mwa Sekta zilizopata nafasi ya kunadi fursa zake za uwekezaji kwa ujumbe wa Wawekezaji kutoka Jimbo la Haryana nchini India. Ujumbe huo wa wawekezaji takribani 150 unashiriki katika Maonesho ya 47 ya Kimataifa ya Biashara SabaSaba yanayoendelea jijini Dar Es...
  11. Mbunge Msambatavangu Aitaka Serikali Kuweka Imani kwa Wawekezaji wa Ndani

    . MSABATAVANGU AITAKA SERIKALI KUWEKA IMANI KWA WAWEKEZAJI WA NDANI "Mmeanza kutubagua watanzania kwa kuwapa watu wenye uwezo wa fedha tusio na uwezo tusiwekeze kwakuwa miradi yetu ni midogomidogo, hao mabilionea ndiyo wawekeze 'This is not right' ni lazima watanzania wapewe fursa sawa ya...
  12. Mbunge Ndaisaba aishauri Serikali kuhusu makato ya kodi kwa wawekezaji Madini

    "Badala ya kutuletea Kodi ya Mapato ya 2% tuwekeeni ya Asilimia 1 mtujaribu kwanza wachimbaji wa madini tuone kama inatekelezeka hii 1% kwanza mkileta asilimia mbili watu wataona ni kubwa na matokeo yake watu wataanza kupitisha madini kwenye njia za panya" - Mhe. Ndaisaba Ruhoro, Mbunge wa...
  13. Waziri Dkt. Ashatu Kijaji Akitaka Kituo cha Uwekezaji Nchini (TIC) Kusimamia Mikataba ya Wawekezaji

    WAZIRI DKT. ASHATU KIJAJI AKITAKA KITUO CHA UWEKEZAJI (TIC) KUSIMAMIA MIKATABA YA WAWEKEZAJI Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) akitaka Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) kusimamia mikataba ya wawekezaji mahiri na wa kimkakati ili kujenga uchumi imara wa nchi...
  14. M

    Maoni: Watanzania hawataki tena kuwa tu manamba na vibarua, wanataka pia kuwa sehemu ya wawekezaji kwenye Bandari

    Nyakati zimebadilika. Hivi sasa ni mwaka 2023; sio 1961 ambapo tulijinyakulia uhuru na kujitosa katika uendeshaji wa taifa bila ujuzi wa kutosha, tukijaribu utekelezaji wa sera mbalimbali kama vile ujamaa na kujitegemea; sio miaka ya 1980 mpaka 1990 ambapo tulimiliki mashirika mengi ya umma bila...
  15. Lema anakubali mpango wa Rais Samia kuleta wawekezaji bandarini

    Jana Lema alikuwa Serena Hoteli kwenye mjadala uliohusu uwekezaji kwenye maeneo mbalimbali ya nchi yetu ikiwemo bandari. Alikuwa pale na kina Mzee Ulimwengu, Rostam Aziz, Wasira na watu wengu wengine. Kwenye meza yake, Lema alikaa na Zito Kabwe na watu wengine mashuhuri. Lema alipochangia...
  16. S

    Serikali yakaribisha wawekezaji kutoka Urusi

    Serikali ya Tanzania imewakaribisha Wafanyabiashara na Wawekezaji kutoka Serikali ya Urusi kuwekeza Tanzania kwa maslahi ya pande zote mbili na ustawi wa Dunia kwa ujumla. Mwaliko huo umetolewa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk...
  17. IPP Media na Clouds Media uzeni kampuni zenu kwa wawekezaji vijana, bado mpo kizee sana

    Ipp Media na Clouds Media uzeni kampuni zenu kwa wawekezaji vijana wafumue na kuunda upya vituo vyenye muonekano wa kushawishi vijana kutazama channel zenu kwasababu mpo kizee sana channel zenu zimekaa kizee ndio maana vijana wamewakimbia na kwenda Wasafi Media ninyi mmeabaki na wazee na vijana...
  18. Tanzania yawakaribisha wawekezaji kutoka Urusi, Balozi Mbarouk atoa neno

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewakaribisha wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Serikali ya Urusi kuwekeza nchini kwa maslahi ya pande zote mbili na ustawi wa dunia kwa ujumla. Mwaliko huo umetolewa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi...
  19. Ninafuraha Kwa sababu nimezaa Wawekezaji Wawili na Nchi

    Habari Mkuu! Ilikuwa ndoto yangu kubwa kuwa mwekezaji mkubwa katika taifa langu. Ndoto hiyo ya muda mrefu sasa inaenda kutimia. Miaka miwili iliyopita nilikuwa kwenye Project moja ambayo inaendeshwa na Taifa la Marekani. Hapo ndipo nilikutana na pass ya wazi kabisa Baada ya kuonana na Skyler...
  20. Wafanyabiashara wa Kariakoo wagoma kuhama kupisha Wawekezaji

    Wafanyabiashara wa maduka kutoka soko la Kariakoo wamefika makao makuu na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kupinga notice walizopewa na shirika hilo kwa kuwataka kuhama ndani ya siku 90 kupisha mwekezaji mpya katika eneo hilo. Wafanyabiashara hao wamesema, wao hawapingi maendeleo lakini muda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…